anakaa vizuri huyo, tena ikiwezekana anapakatwa kabisaa, wala hapati tabu!!
walivunja míguu na alipofika wakamvalisha ya bandia. Chezea mafisad wewe!
Kwene meli anaingia amesimama, sio lazima ndege.
Moola's the motive
huyo huwa anaingizwa kwenye cage anakaa,safari inakwenda
VUA GAMBA,PASUA GWANDA,VAA UZALENDO! HAKUNA MBWEMBWE KATIKA UKOMBOZI WA RASILIMALI ZA NCHI!
Alikatwakatwa.
Mijitu mingine ni mijinga sana. Hivi wewe unaviona videge vikiruka juu, unafikiri ni kama kunguru zile?
haahahah nimekumbuka kipande cha mr 2 bungeni .. labda walitoboa ndege
Maswali ni mengi kuliko majibu,ila watakuwa walimpiga sindano ya usingizi wakamlaza
WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.
Aliambiwa alale!
Together in Poverty Apart in Riches
Alikunjwa akawekwa kwenye gunia kichwa kikatolewa nje ili apumue vizuri.
Mimi nimeshasafirisha wengi sana kabla ya huyo. Kihalali kabisa na vibali vyote na chanjo zote a Serikali nimewapiga, si huyo tu, nimeshasafirisha hata binaadam (manpower recruiter au modern slavery agency) na nna baraka zote za Kimataifa kwa hilo na wewe ukipenda sema tu ntakupeleka kwa watu wanaolipa ukifanya kazi.
Comrade mzigo wa mwizi ni balaa ye mwenyewe huubeba lakini akikamatwa tu hawezi kuuinua tena
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Pumba zipi, madudu wafanye wanaotoa vibali, nyinyi mlalamikie msafirishaji.
Airport hazina ulinzi? wacheeni ujinga, fuguweni macho na mawazo. Mnananunulika kwa thamani ndogo sana kwa sababu ya starehe na kujionesha kuwa na mimi nimefanya hivi na vile.
Kuna wizi na wapokea rushwa nchii hii zaidi ya TRA? niambie ni nani waliojazana huko.
Follow Us Here