Attachment 53482hivi walimkunja au walimpeleka mtoto
Attachment 53482hivi walimkunja au walimpeleka mtoto
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Wapenda sifa weye!
Sifa za kijinga!
Lilipelekwa yai, kuku akalilalia...
Last edited by MadameX; 5th May 2012 at 14:08.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
MAIGE ATAKUJIBU FRESH KABSaAA!
Ukweli ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha usiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.
Q1. How do you get a giraffe into a plane?
The correct answer is: Open the plane’s door, put in the giraffe, and close the door.
This question tests whether you tend to do simple things in an overly complicated way.
Q2. How do you get an elephant into a plane?
Did you say, Open the plane’s door, put in the elephant and close the door?
Wrong Answer.
Correct Answer: Open the plane’s door, take out the giraffe, put in the elephant and close the door.
This tests your ability to think through the repercussions of your previous actions.
Kama ikishindikana kabisa:
“Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashukwa nao wanataka rushwa. Hahashukwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo tatizo lilipo.” - Mie mwenyewe.
Mkuu Excellent , wewe unajiuliza hivyo tu .... hawa penye nia pana njia
Excellent Zamaulid Song%EDto Ribosome BPM Njowepo Kinyungu MNYISANZU Preta tedo MadameX King2 Mbimbinho
Hata kwenye mito na maziwa huwa wanavushwa!
Ila huwa wanapakiwa kwenye Cages ambazo zinakaa vizuri kabisa katika Cargo planes Bila wasiwasi
Sasa kwa kawaida hizi Cargo planes huwa ni kubwa sana kama zinaweza kubeba Magari makubwa ya mizigo & containers - so kwa upande wa Twiga ni kitu kidogo sana! ... tena ambae yupo kwenye Cage!
Na mwishoni alikuwa ndani ya ndege! ... (hii ya mwisho it's just a joke!)
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Kama ilikuwa sindano, basi ujuwe viwanja vya ndege vya Tanzania havina ulinzi wala uwajibikaji.
Katika kanuni za kusafirisha wanyama hai, hairuhusiwi kusafirishwa mnyama aliyelala, amma usingizi wa Sindano amma usingizi wa kawaida. Pia hairuhusiwi kusafirisha mnyama mgonjwa.
Kama haikutuwa ndege Kubwa na kuwachukuwa hao Twiga basi usafiirishaji hai ilikuwa ni uongo! Walisafirishwa baada ya kukatwakatwa kama nyama.
Nna uhakika imetuwa ndege kubwa ya uwezo wa kubeba Twiga na ilipewa idhini zote na wapuuzi na wapumbavu wachache, wa TRA, Airport Security, Idara ya Wanyama pori, Agents wa hiyo ndege na management ya uwanja waliposafirishwa hao Twiga na wafanyakazi wote waliokuwapo maeneo hayo saa hizo (kasoro ni wale tu waliotowa taarifa).
Wote hao wawajibishwe. Unless waoneshe kuwa walitishiwa kupoteza maisha yao wasiporuhusu kusafirishwa hao Twiga (hapa sasa iingizeni Al Qaeda).
Kwa kifupi, Maige ni Muhanga.
Last edited by zomba; 6th May 2012 at 02:57.
Akiamka njiani atatoa kichwa dirishani.
Mnisamehe kwa kUwahamisha kidogo lakini haTa mimi huwa najiuliza JK anatoshaje IKLULU
Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya
Labda walin'goa viti vya ndege.kama alivosema Sugu.
Follow Us Here