Dah!Diamond balaa yani kaibuka na tuzo tatu kwa mpigo.Ni hiz za kill music awards.Kachukua ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka,mtunzi bora na video bora ya mwaka.
Dah!Diamond balaa yani kaibuka na tuzo tatu kwa mpigo.Ni hiz za kill music awards.Kachukua ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka,mtunzi bora na video bora ya mwaka.
diamond na tid nani mkali kwa kucheza?
ukipenda niite double biiiiiii!! tchao
Diamond yupo juu akifanya tena live show ya elfu hamsini kiingilio itajaa tena na tiketi hazitatosha.
Sidhani kwa sasa kama kuna mwimbaji mwingine wa aina yake anayevutia watu hivyo Tanzania.
Jamani, mi nikubali tu kuwa nimepitwa na wakati!
Tuzo za Kili awards zimefanyika lini?...mbona sijasikia?
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Anajitahdi sana lakini maisha ya nje ya sanaa yanaweza kumharibia au kuwakwaza washabiki wake
Kichwa chake kinakwenda resi bila kuwa na mtu wa kummanage ataishia pabaya!! He needs a manager mama yake hawezi hiyo ni professional job!!
Hongera zako mwaya.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Unajua kukata mauno katika video na kum2 kulimiliki jukwaa kikamilifu ni v2 viwili tofauti.TID ni mkali wa mauno na kushek but c mkali wa kumil jukwaa kama alivyo diamond.Wacheki wakali hawa wa jukwaa Michael Jackson,Rihana,Nick minaj then tel me ukiwapa hiv vijukwaa vya 6 X 6 patawatosha kwel
Ah wapi kijana wa Dushlele hana mpinzani hapa bongo bana,wengine wauza nyuso tu
MFUNGWA HACHAGUI GEREZA
Follow Us Here