sema jumba la dhahabu, this is it, na zngnezo plus mavaz haya sijui kama hakuwa
nili dought 2yrz ago!
na kifo chake kile?
Kila mmoja yupo free kusema lolote kuhusu Kanumba kwa sasa. Nani awezaye kumjibia..? amekwenda na mambo yake, nasi tumebaki na mambo yetu...Tujadili yakwetu...he is gone, hatutamwona tena
Mswahili jambo la kipumbavu likisemwa kizungu, anaona sawasawa kabisa!! J.K.Nyerere
kwa jinsi ninavyoelewa kuhusiana na freemasons sio watu wa kufanyia mzaha,soma tena history vizuri ya freemasons utaona kabisa kwamba kanumba hana sifa za kuwa member. example in tanzania jaribu kumuangalia sir andy chande then compare na kanumba apo nadhani utaona utofauti wao.
porojo za mitaani tujaribu kuacha kabisa. angalia kidogo nje ya tanzania hao jamaa freemasons ndo remote control ya dunia hii.kila kitu unachotumia kinatokana na ideas zao then anaibuliwa mtu wa kuimplement the ideas.
check on bush,clinton jay-z, michael jackson na member wengineo wapatao milion mbili na zaidi ulimwengu mzima.
find the meaning of these?:
you will never work alone
jealous one still envy
if you are not working with us,you are using and living with our generations.
niungane na mwenzangu kanumba kuwa freemasons ni story za kusadikika. sawa na kujenga nyumba angani.
Mimi nilipoiangalia ile Devils Kingdom,
niliwaza y alifanya that m0vie?bt nimei0na afta his Death,
Siyo kweli.
Sifa ya freemason ni kujifanya mfuasi na muumini mzuri wa dini yake ( iwe ni uiaslamu, ukristo, uyahudi nk), na huwa mstari wa mbele kutoa misaada kwa yatima na wasiojiweza. Vilevile ni wahudhuriaji wa mazishi wazuri sana. Hii ni kutaka kuonyesha kwamba ni watu wanaojali na wenye roho za huruma kwa jamii inayowazunguka..!!!
Kumbuka kwamba marehemu Kanumba alikuwa msanii.
In my country we go to prison first, then become President - Nelson Mandela.
Dah! Na mimi nna t-shirts kama hizo kwenye picha, ngoja nikazichome fasta nisije nikapata brain concussion!
Mm na amini kanumba alijiunga, kwani wanao ingiya katika freemason wakoje?! Mbona wengi wapo uko
Haya mambo ya freemason ni upuuzi mtupu! Mimi nayalinganisha na imani za kishirikina. Ni yapo kwenye fikra za watu tu.
Kwa usalama wako kaa mbali na Mnyama Hatari
Kijoka nenda English Course. Laiti tungekuwa tunaishi karibu ningekupa tuition ya bure lau uepuke aibu. Mara nyingi tumieni lugha zenu hata kama ni kimakonde. Maana ukisoma kichwa cha habari unavunjika moyo na kukosa hamu hata ya kuchambua hoja.
***** m2pu.
Follow Us Here