Ni kwenye msiba wa hayati Steven Charles Kanumba. Hisia zamzidi na kuzimia. Akimbizwa hospitali!
Picha kwa hisani ya Michael Mlingwa
Ni kwenye msiba wa hayati Steven Charles Kanumba. Hisia zamzidi na kuzimia. Akimbizwa hospitali!
Picha kwa hisani ya Michael Mlingwa
ana attention seeking disorder.... she would do anything for the camera
Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....
Hili nalo litapita
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
Wema yuko kikazi zaidi ha ha ha tayari amepata coverage ya kutosha.
sanaa tu!
Mungu ailaze roho ya THE GREAT mahali pema....naikumbka saana RED VALANTINE dah!! Yeye ametangulia na cc 2po njiani...sote 2tarjea kwni dunia 2napita ni kma njia 2 but kwe2 ni hkoo
kamaind marehem kafa kwa LULU alitaka ye ndio ahusishwe na kifo
Anaigiza..
pole wema yote yatapita
Hata James Ilikuwa Hivi hivivi......lakin nadhani Dandu...(sinta, sijui nani alizimiaa!) Aaaagh! Wote wasukuma!! wote vifo vyao ni ka-ulabu/ mademu/ accident!!!!!!!!!! Vijana wa kisukuma vipi Pombe na.........!!! ( watani zangu)
Ukweli ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha usiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.
"look at me syndrome"
Co kiivyo jaman kwan ye hana hisia!!! By the alkua mwandani wake lazma aumie.
sina imani na kuzimia kwa wema,labda kweli lkn sitashangaa kusikia alizimia ili camera zifocus kwake.
hapo atawapigia simu waandishi kuuliza kama walimuona alivyozimia.
R.I.P Great man
A baby is something you carry inside you for nine months, in your arms for three years and in your heart till the day you die
kavizoea,atarembua kidogo tu then ataendelea na maigizo yake
Ndugu,
Pole sana Wema Sepetu. Kuwa na moyo vinginevyo kifo ki-karibu nawe
Mh yaser, msala wa lulu lol!
Wana JF nawashauri muwe mnakwenda Makanisani na Misikitini muwe binadamu,
mambo mnayo andika sio siri sometimes
yanatisha.
Follow Us Here