Mwamvita Makamba Property in Tanzania
Not rented....(bought)...yes, if we dream hard enough, we can live out
our dreams...
[COLOR=#000080 !important]the door[/COLOR] way...
Mwamvita Makamba Property in Tanzania
Not rented....(bought)...yes, if we dream hard enough, we can live out
our dreams...
[COLOR=#000080 !important]the door[/COLOR] way...
Mtanzania Halisi
Hili jengo picha zake ziko hapa JF muda mrefu!
Picha hii hapo juu yenyewe inajieleza,kwamba ni la nani!!Au unataka jibu gani?
Picha za matukio ya uzinduzi wa Nyumba ya Bi. Mwamvita Makamba, ambaye ni Mkurugenzi wa Biashara na Masuala ya Jamii, Vodacom.Wageni waalikwa....Mr & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita kwenye dua hiyo maalum..Wageni waalikwa wakijadiliana mambo....Mzee Yusufu Makamba akifurahi na mmoja wa wajukuu zake ndani ya JumbaMaustadhi wakipiga Sala kabla ya kuanza dua ya kuiombea Nyumba na wakazi wake....Kutoka kulia, Bi. Mwamvita, Sophie, Jaki, na Adeline....Bi. Mange Kimambi akiendelea kupoz.....Mange Kimambi akiwa ndani Jumba!Jumba kwa nje tenaJumba la Bi. Mwamvita lionekanavyo kwa nje
Mtanzania Halisi
recycled ... ilishawekwa hii
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
Huyu kaleta habari hii makusudi humu unalako, mdau wa pili kakujibu weye huyo unaongeza na picha tena.
Unajua ni ya nani na umeandika jina, na unajua wewe kwa nini unataka labda watu fulani waone kiaribike kitu nk
Maana siku hizi picha za Vodacom zimepungua kwenye mtandao.
Sasa tueleze ni nini kinakuuma ndugu hadi unataka rudia story humu?
Hlf wala c jumba la ajabu, ndio nzuri lkn c kuishabikia, me nina mkwe wangu mdogo wamenunua hzi nyumba 6, c ziko nyuma ya myfare plaza, so me naona za kawaida, hata m2 waweza jenga
eti hekalu!! we unaonekana haujui kiswahili, haka kakiitwa hekalu na pale ikulu tupaiteje, kajumba kenyewe kamekaa bila mpangilio utadhani nyumba za manzese.
''Trying is a first step to a failure!'' Homer Simpson
Nyumba nzuri jameni acheni hizo!!
hao wanaopiga kelele yawezekana wamepanga tandale hao.wabongo kwa kuponda!
Hii nyumba ya Mwamvita ni Vodacom peke yake au na Tigo pia inahusika?
Jamani, mshahara wa voda unaweza kununua nyumba ya usd.600,000/-?
kama ni hivyo, mbona mimi mtumiaji wa simu nazidi kuwa fukara?
Ngoja nivunje hii laini, naona nawatajirisha wenzangu
A diplomat is a man who always remembers a woman's birthday but never remembers her age.
La Dolce Vita
Anafanya kazi gani mpaka kumiliki kitu kama hicho wakati mimi tangia nazaliwa wazazi wangu wanaangaika pasipokupata hata nusu yake?
Nyumba nzuri sana.
Follow Us Here