Hawa Nao Wanapenda Mabadiliko Au Wanakwepa Njaa?
Hawa Nao Wanapenda Mabadiliko Au Wanakwepa Njaa?
wachumia tumbo tu hawa. tuna safari ndefu sana ya kuelekea mabadiliko kama sisi vijana ndio tunakuwa mstari wa mbele kusaliti uzalendo wetu na kukimbilia pesa kama mafisi.
''Trying is a first step to a failure!'' Homer Simpson
Money comes first, mlitaka wakate kuisupport ccm mbele ya hela na vp kama wao ni ccm damu.. Hata kama ni wewe uko chama kingine ila ukipewa pesa utasupport tu ccm, "anything for money" that's hustlers motto. THINK BIG
Kama misukule vile
wanajua kuwa wanachokifanya si sahihi na ndo mana wana wasiwasi
hawa ndiyo wanakula kwingine na kulala kwingine
frustration is given by expectationdivide by
outcome
ie frustration = expectation/outcome
Toka lini utumwa ukaitwa "Hustlers's Motto".
Kama ni kweli nambieni nifute nyimbo za jomakini zoote kwenye folder zangu!
Njaa tu,wanahama mikoani wanakimbilia dar wakisingizia soko la muziki. Sasa hapo ni sokoni?Pia wanasahau kuwa kampeni ni jambo la muda mfupi tu.
Yaani hadi 'Ngosha the Don' na 'Northern Rock'!!!??? Nyimbo zote za harakati kumbe wakiwekwa vizuri na nguvu ya pesa wanafyata mikia na kuvaa blauzi za Magamba.Kweli pesa mwanaharamu.
Sasa hapo wanafanya kazi gani?? Hapo walipo wao ni kama kura 15-30max tufanye zote zilienda CDM au chama kingine pinzani.Nataka upige picha idadi nyingine ya vijana maelfu wanaowakubali sana hawa vibaraka jinsi watavyoshawishika kuona magamba wanafaa kisa wamechukua some 'influential puppets' kuwapigia kampeni.Usitake kuniambia kazi ikikiuka maadili,principles au beliefs zako utaifanya tu eti kisa unapata pesa?
Sjaona ubaya kwa hao vijana wanatafuta pesa lakini wanajua kura wanapiga wapi.
Follow Us Here