Ndio mimi ninakumbuka sana
njaa noma.......usipopiga vigelegele hapo kibarua kinaweza kuota nyasi
Tukio lilinisikitisha sana,aibu sana kwa wafanyakazi wa serikali,ilithibitisha wako sahihi watu wanaotilia shaka uweledi wao siku zote!
Who Jah bless, No one Curse!
kama watumwa hivi eeeeee
Dah!! Unafiki hadi aibu,sasa ngoja aingie katibu mkuu mwingine tuone kama hiyo mibaba na mimama itaendelea kuonyesha huo upendo kwa Jairo siku akirudi hata kuja kuwasalimia tu,
Jairo was temporarily a hero.
SI VYOTE VING'AAVYO NI DHAHABU
Mara bin vu kamanda Zito akamchafulia
njaa kali
Follow Us Here