If you obey all the rules, you miss all the fun.
jiwe ni noma.
@FFID9M N=DEND9
teh teh teh na ubaunsa wote lakini anategemea mawe mwili mkubwa bure
mpira wa kibongo ni zaidi ya burudani
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
hahahaha......hiii kweli noma, usiombe sasa balaa lile kwa refarii, utakuta refarii anachezesha mpira ukifika mwisho anaelekea upande wa nyumba ilio karibu then akimaliza tu ni mbio mpaka ndani......hahahahha
Yaani ni aibu kwa kocha kufanya mambo ya kihuni namna hiyo.
Angebeba kombeo.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Hivi Mkuu Mfigganigga,mia inamaana gani maana kila umalizapo unamalizia na MIA.
Hahahahaaa, Jamaa mbona ana mwili nyumba, mawe ya nini tena?
Lol
Do Something......
na sijui kayapata wapi haya mawe. uwanjani panakuwa na mawe?
Promises are comfort to a fool
Reply With Quote
kwa style hii si rahisi kuibua vipaji.yapo sana haya mtaani.
Mitindo ya enzi hizooo! Kabla ya uhuru!
Nimecheka hadi basi... kweli mpira wetu bado sana. lol
Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
Albert Einstein
hapo anasubilia aanzwe then uone mvua ya mawe, lol.
Follow Us Here