Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

    <
    Report Post
    Page 5 of 39 FirstFirst ... 3456715 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 767
    1. #1
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Arrow Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Baada ya kutopatikana kwa ile thread nimegundua kuwa kwenye external server yangu niliserve ile thread hivyo nimeona si vibaya kuirudisha tena

      Sasa tunauomba msiifte hii thread tena

      By the way bila mwenzetu ICADON hiii thread isingekwepo so props to ICADON

      this is former Polish Prez's detail

      the pope

    2. Miaka 50

    3. #81
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Icadon
      Wakulu na kwenye hii picha hapa inakuwa vipi?

      Hapa kuna matatizo on all points

      RAIS WETU hana:

      1) Ulinzi wa kutosha kwenye point of attack kwa sababu ya uwazi wa uwanja wa Taifa

      2) Kwa jinsi mapikipiki yalivyojazana pale sidhani kama kuna uwezekano wa ku evade assailants and escape as soon as it should be

      3) Kwa jinsi jamaa wanavyoninginia kwenye hilo X3 its quite obvious kuwa counter measures zao si madhubuti

      Hapa kuna taizo kubwa sana...kwa sababu wote tunajua kazi ya pikipiki ni kuondoa traffic njiani sasa Taifa kulikuwa na traffiic ganimpaka kuwepo na piki piki zote hizo?

      Pili for obvious reasons hilo gari alilokwemo ras linaonekana kwanza lenyewe ni threat in terms of security kwa sababu ikitokea incident how fast can they protect ------ bila kumdhuru?

      Tatu mbona hatuoni Comm car kama hili hapo chini ikifuata kwa nyuma?

      I hope hawa waheshimiwa wanasoma comments humu na watafanya review kila baada ya shughuli kuona wapi wamebugi step

      Najua wanadai kuwa ------ mbishi lakini when it comes to his protection then sidhani kama atakuwa na ubabe wa kuchagua zaidi ya kuwasikiliza hawa jamaa

    4. #82
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mchongoma
      ...bado nataka kuamini CPT ya rais wetu walishafanya risk assesments za kutosha juu ya usalama wa rais, hasa kutokana na hali ya usalama iliyopo nchini, na hasa hapo.
      I dis agreee

      NOT GOOD ENOUGH kwa bajeti wanayopewa...rais amekuwa exposed sana pale Taifa jana.

      halafu tazama huyu na suti yake ya ofisni...kama kweli hawa jamaa walifanya kazi yao then kwanza wle watu wa TV wote wangeondolewa....kama ishu ni kurusha matangazo then that is not our problem hilo ni tatizo la TIDO MHANDO na jamaa zake kule wizarani

      What makes you think hakuna mile ambaye anaweza kujifanya mwandishi au akatumiwa kukaa pale juu na zile camera za TV

      Personally i think this was a serious breach na someone should take a hike

    5. #83
      Manda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2007
      Location : Carrington Park
      Posts : 2,045
      Rep Power : 1005
      Likes Received
      242
      Likes Given
      439

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Kuhusu ayo Mapikipiki i know nothing kiukweli!, sijui ndio taratibu zilivyo au ndio upambaji tu wa Motorcade ya JK!

      Ilo gari la mawasiliano/ku-jam mawasiliano sijui!, ila kama likiwepo na Ma-VIP wetu hawa walivyo watalaam wa kukata mitaa..du!, usiombe nyumba yko iwe karibu na saloon/kimada wke anapoishi, guess you will be off air daily!

      Then security level employed inategemea threats,skills, uchumi etc wa nchi, kwetu hapa sijui kama tumefikia Level hiyo even though we need to!
      .. .. .. .. .. silence means a lot .. .. .. ..

    6. #84
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mbalamwezi
      Without prejudice, mimi ningependa kupata maoni ya wajuzi wa mambo haya kuhusu watu wetu, badala ya kusema tu wamejaa vitambi (na sijaviona/hakuna mark kwa aliye na kitambi kati ya wanaoonekana) nk.

      Kwa comments zilizopo, inanikumbuasha dhana ya siku nyingi kuwa wabongo tumezoea kudharau vya kwetu na kutukuza vya wengine...

      usitake kutufanya wajinga sisi

      LINGANISHA HICHI KITAMBI cha huyu bonyenye

      Kisha linganisha na huyu mwingine

      Kma mimi nakuwa rais huwezi kuniuliza mara mbili nitachukua body guard yupi

      halafu hata kiumri its quite obvious kuwa jamaa yetu kashaenda sana AGE na hii inaweza ikachangia sana kwake kutowajibika ipasavyo

    7. #85
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Manda
      Kuhusu ayo Mapikipiki i know nothing kiukweli!, sijui ndio taratibu zilivyo au ndio upambaji tu wa Motorcade ya JK!

      Ilo gari la mawasiliano/ku-jam mawasiliano sijui!, ila kama likiwepo na Ma-VIP wetu hawa walivyo watalaam wa kukata mitaa..du!, usiombe nyumba yko iwe karibu na saloon/kimada wke anapoishi, guess you will be off air daily!

      Then security level employed inategemea threats,skills, uchumi etc wa nchi, kwetu hapa sijui kama tumefikia Level hiyo even though we need to!
      Mjomba huhitaji kujua mengi kuhusu mambo haya kujua kuwa something was wrong TAIFA. Juu hawakutakiwa wake watu wa SUTI its simple and clear as that

    8. #86
      Icadon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2007
      Location : I'm Everywhere you are never there.
      Posts : 4,123
      Rep Power : 1857
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Manda
      Kuhusu ayo Mapikipiki i know nothing kiukweli!, sijui ndio taratibu zilivyo au ndio upambaji tu wa Motorcade ya JK!
      Hayo mapikipiki ni mapambo tu especially kwenye shughuli za kitaifa kama hizo.

      Ilo gari la mawasiliano/ku-jam mawasiliano sijui!, ila kama likiwepo na Ma-VIP wetu hawa walivyo watalaam wa kukata mitaa..du!, usiombe nyumba yko iwe karibu na saloon/kimada wke anapoishi, guess you will be off air daily!
      Hehehe ila manufaa yake ni makubwa sana, kwanza kwa sehemu kama taifa kwa jinsi kulivyokuwa na nyufa kwenye ulinzi walitakiwa wawe na hiyo mitambo ya kujam mawasiliano ya simu.
      Then security level employed inategemea threats,skills, uchumi etc wa nchi, kwetu hapa sijui kama tumefikia Level hiyo even though we need to!
      Mfano mdogo, sasa hivi Kenya and co wako desperate na intergration ya EAF na wanaona serikali ya Tanzania inasuasua sasa what if kuna mpuuzi kwenye cabinet ya moja ya hizi nchi apendekeze wamuassassinate rais wetu(God Forbid) watatumia hizi hizi loopholes ambazo sisi tunazidharau.

      Ukisoma hii post hapa inasema 90% ya kidnapping au assassinations zinatokea karibia na gari au kwenye gari.
      Hating gets you no where, have a safe trip!

    9. Mbu
      #87
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9992
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Hapa kuna matatizo on all points

      RAIS WETU hana:

      1) Ulinzi wa kutosha kwenye point of attack kwa sababu ya uwazi wa uwanja wa Taifa
      ...uwanja wa taifa ni sawa na "bakuli", kama kutakuwa na any form of attack, ni rahisi ku control entry/exit points zote haraka iwezekanavyo, labda hiyo attack ije tokea angani.

      2) Kwa jinsi mapikipiki yalivyojazana pale sidhani kama kuna uwezekano wa ku evade assailants and escape as soon as it should be
      ...kuna career assailants na deranged assailants, hapa unazungumzia yupi/wapi? whatever the case, hiyo "ring" ya mapiki piki, ni small armed/armour assailant tu ndiye atayeweza kuzusha "shock and awe." kosa kama lile la lilotokea Mwanza 2005 kipindi cha kampeni ni nadra sana kutokea tena.

      ...kwa sababu wote tunajua kazi ya pikipiki ni kuondoa traffic njiani sasa Taifa kulikuwa na traffiic ganimpaka kuwepo na piki piki zote hizo?
      ...gari hilo hutumika kuzungukia ndani ya uwanja tu baada ya mheshimiwa kukagua gwaride ili kusalimiana na wananchi, si nje ya uwanja.

      Pili for obvious reasons hilo gari alilokwemo ras linaonekana kwanza lenyewe ni threat in terms of security kwa sababu ikitokea incident how fast can they protect ------ bila kumdhuru?
      ...mambo ya PvP (Player(s) vs Player) hayo... who will react faster. Refer to the types of assailants.
      #Dunia ni yako :Chaguo ni lako.

    10. #88
      Mbalamwezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2007
      Posts : 701
      Rep Power : 739
      Likes Received
      71
      Likes Given
      134

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Endelea kutoa darasa mkuu Icadon, maana kuna wengine hizi piki piki na gari la wazi kwa kutembelea rais uwanjani tumeziona kwa mara ya kwanza jana, na kwa hiyo tunahisi ki usalama kulikuwa na makosa sana na kwamba yamehatarisha usalama wa rais. Ulinzi wetu ni dhaifu mno. Sisi wabongo hatuna lolote, ni vitambi tu.

    11. #89
      Mbalamwezi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2007
      Posts : 701
      Rep Power : 739
      Likes Received
      71
      Likes Given
      134

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Mkuu GT, si lengo langu kuwafanya wajinga, ila najua kuwa kwa umbo la huyo bwana (na sidhani si ubwanyeye, maana the guy is just big, but not overfed), una judge the book by its cover. That is not wrong anyway.

      Nimesikia bajeti za hawa watu zikiwa zinapigiwa kelele sana kila zinapotakiwa kuongezwa, na sasa ili kupata vyombo kama hivyo vya watendaji wa mataifa mengine, nadhani itabidi "tule nyasi tena..." lol...

    12. #90
      Hauxtable's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2007
      Posts : 371
      Rep Power : 664
      Likes Received
      2
      Likes Given
      4

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Game Theory
      I dis agreee

      NOT GOOD ENOUGH kwa bajeti wanayopewa...rais amekuwa exposed sana pale Taifa jana.

      What makes you think hakuna mile ambaye anaweza kujifanya mwandishi au akatumiwa kukaa pale juu na zile camera za TV
      Personally i think this was a serious breach na someone should take a hike
      -Sakata la EPA....(majina yatajwayo humo ni 'makubwa' mno!!)
      -Mgawanyiko ndani ya serikali...(Kuvuja kwa siri-Masha/Mengi issue)
      -2010 is here....(the so called 'Deals' in the power sharing are said 2B broken.)
      ....'N so on and on...
      Unajua Rais Kikwete anawakati mgumu sana kisiasa,CCM na matokeo ya serikali yake ni kama 'GoGo' fulani hivi,wale wa awamu ya II walilibanduaX2 hivi,awamu ya III wakaja wakalikata kwa mashoka, hawa wa awamu ya IV wameliegemea tu maskini ya Mungu sasa limedondoka na wao ndo-wanao beba lawama zote!

      Kama Rais ataamua/kulazimishwa kuwaadhibu hawa 'wabanduaji' na 'wakataji' GoGo basi shurti usalama wake ndani ya Nchi uimarishwe zaidi, hata kama bajeti ni finyu kiasi gani.Na hapa nina zungumzia usalama wa jinsi/mbinu za kisasa,...kwa usalama wa kutumia 'yale mambo yetu yale'-thats is left to individual skills.
      **maoni yangu binafsi tu.

    13. #91
      MzalendoHalisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th June 2007
      Posts : 3,942
      Rep Power : 1397
      Likes Received
      72
      Likes Given
      120

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Jamani let us be frank!

      Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa ------ sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!

      ------ ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!

      Ni wasi2 wetu tu!
      Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

    14. #92
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mzalendohalisi
      Jamani let us be frank!

      Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa ------ sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!

      ------ ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!

      Ni wasi2 wetu tu!
      Lugha hiyo zzungumza uraiani lakini kule wanatakiwa kumlinda MKWERE24 /7 haya mambo ya mtu wa watu ndio mkaanza kulalamika alipopigwa mawe juzi au siyo nyie?

      I am sorry to disappoint you when it comes to the protection of MR PRESIDENT everything can and should be overruled

      ndio kazi yenyewe hiyo

    15. #93
      Game Theory's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2006
      Posts : 10,054
      Rep Power : 3353
      Likes Received
      240
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mbalamwezi
      Mkuu GT, si lengo langu kuwafanya wajinga, ila najua kuwa kwa umbo la huyo bwana (na sidhani si ubwanyeye, maana the guy is just big, but not overfed), una judge the book by its cover. That is not wrong anyway.

      Nimesikia bajeti za hawa watu zikiwa zinapigiwa kelele sana kila zinapotakiwa kuongezwa, na sasa ili kupata vyombo kama hivyo vya watendaji wa mataifa mengine, nadhani itabidi "tule nyasi tena..." lol...
      Tatizo hawa jamaa wazuri sana kuleta ma proposal ya kila namna kila kukicha halafu wana rely too much on HUMINT ambalo ni jambo zuri lakini ukweli ni kuwa kuna umuhimu wa kuimarisha teknologia au SIGINT

      i wish ungeona msafara wa Balozi wa USA kkule Lebanon ukoje

    16. #94
      Icadon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2007
      Location : I'm Everywhere you are never there.
      Posts : 4,123
      Rep Power : 1857
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mchongoma
      ...uwanja wa taifa ni sawa na "bakuli", kama kutakuwa na any form of attack, ni rahisi ku control entry/exit points zote haraka iwezekanavyo, labda hiyo attack ije tokea angani.

      ...kuna career assailants na deranged assailants, hapa unazungumzia yupi/wapi? whatever the case, hiyo "ring" ya mapiki piki, ni small armed/armour assailant tu ndiye atayeweza kuzusha "shock and awe." kosa kama lile la lilotokea Mwanza 2005 kipindi cha kampeni ni nadra sana kutokea tena.

      ...gari hilo hutumika kuzungukia ndani ya uwanja tu baada ya mheshimiwa kukagua gwaride ili kusalimiana na wananchi, si nje ya uwanja.

      ...mambo ya PvP (Player(s) vs Player) hayo... who will react faster. Refer to the types of assailants.
      Hawa deranged assailant wanaotaka kuwaridhisha wapenzi wao achana nao, tunazungumzia professionals wanaotumiwa na mabilionea au nchi. Kama umesoma post za nyuma na ukiangalia hiyo piki piki utaona kuna lapse kubwa sana...yuko wapi yule bodyguard ambaye kazi yake ni kumuondoa principal wakati wa attack?
      There is only one BG per principal. There may be a day BG and a night BG but generally there is only one BG on one principal at any one time. The other 'Bodyguards' are referred to as the PES. The BG is the person that will be in close contact with the Principal at all times. His job is to shield the Principal from any danger, i.e. to give 'body cover'. The BG forms the inner cordon of defence and is responsible for seeing that no threat gets past him and to the Principal. When working as part of the PES, the BG is the one that never stands and fights. He runs away (with the Principal of course), giving body cover as he does so. This role can be (dependant upon the situation) in complete contrast to that of the PES
      Quote By Mzalendohalisi
      Jamani let us be frank!

      Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa ------ sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!

      ------ ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!

      Ni wasi2 wetu tu!
      Mkuu hawa kazi yao hawataki kumuamini mtu yoyote linapokuja swala la ulinzi wa kiongozi...Alafu hizi sera za globalization inabidi tufikirie globally sio tena locally, fine hakuna threats ndani ya nchi vipi kuhusu nje ya nchi?
      Hating gets you no where, have a safe trip!

    17. #95
      Mlalahoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st August 2006
      Location : London, UK
      Posts : 1,842
      Rep Power : 1429
      Likes Received
      168
      Likes Given
      124

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mzalendohalisi
      Jamani let us be frank!

      Ingawa sii mtaalamu ktk haya mambo- Kuna threat gani kwa ------ sasa hivi? Bongo hatujakuwa na historia ya haya mambo.. may be atokee tu mtu kichwa maji!

      ------ ni mtu wa watu na alipata legitimacy ya 80% ktk kura!

      Ni wasi2 wetu tu!
      ------ ana maadui kibao including Walalahoi like myself,nothing personal but the guy's so far failed to deliver....na bila kusahau wale alowatengeneza katika maisha yake ya "kimjini."

      Rumour has it kwamba anaiamini zaidi "kamati yake ya ufundi" kuliko hao BGs wake!

    18. #96
      Mtaalam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2007
      Posts : 1,298
      Rep Power : 859
      Likes Received
      27
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Quote By Mlalahoi

      hahaha duh na hiyo kamati ya ufundi nayo huwa inaoneakana kwenye shughuli kama hizi?
      umenikumbusha wakati uleee alivyozidiwa kete pale jangwani na wenzie..ikabidi awaishwe wodini bagamoyo!!
      Kila nafsi itaonja mauti and then tutajibu juu ya matendo yetu siku ile ikifika!!!

    19. #97
      Mtaalam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2007
      Posts : 1,298
      Rep Power : 859
      Likes Received
      27
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      alafu i read it somewhere mmojawetu anasema anawish tuone msafara wa balozi nadhani wa states huko lebanono,hav tried to find de nanihii but i cudnt get it anymore...hebu atuwekeee basi hata mapicha yake!

      dats why i can vote kwa hii thread hii among de best one kwa mwaka huu! though ilipata mashambulizi hivi karibuni

      pipo de more u tok abt hawa nonihinooo wetu sooner or later mtasikia hii thread inafanyiwa matengenezo n dat wud b de end of it!mwahatarisha usalama wa taifa atii
      Kila nafsi itaonja mauti and then tutajibu juu ya matendo yetu siku ile ikifika!!!

    20. #98
      Icadon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2007
      Location : I'm Everywhere you are never there.
      Posts : 4,123
      Rep Power : 1857
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Hating gets you no where, have a safe trip!

    21. Mbu
      #99
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9992
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      ...Icadon, hapa napo vipi evaluation yake?
      Tukianzia na hawa viongozi wa S.Korea na number 2. wa N.Korea

      Sarkozy naye anabanana na babu...

      huku ndiko wanakotupa mawe?

      yasije yaka wa kama haya...
      #Dunia ni yako :Chaguo ni lako.

    22. #100
      Icadon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st March 2007
      Location : I'm Everywhere you are never there.
      Posts : 4,123
      Rep Power : 1857
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

      Mchongoma, nice pics hiyo picha ya Sarkozy na Wade imenichekesha...katika picha zote kasoro ya Kennedy miili iko nusu ndani ya gari.
      ..
      Hating gets you no where, have a safe trip!

    Page 5 of 39 FirstFirst ... 3456715 ... LastLast

    LinkBacks (?)

    1. 17th August 2012, 14:53
    2. 12th July 2012, 22:35

    Similar Topics

    1. Tetesi: Umoja wa mataifa
      By ndume in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 7
      Last Post: 26th November 2011, 12:05
    2. Replies: 0
      Last Post: 23rd July 2011, 08:08
    3. Walinzi wetu.
      By uporoto01 in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 0
      Last Post: 20th January 2011, 02:08
    4. Replies: 3
      Last Post: 4th January 2011, 21:05
    5. walinzi wa viongozi wastaafu wadai posho
      By Andrew Nyerere in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 15th February 2009, 08:23

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...