Hiii (chini) ilichukuliwa Januari 13, 2007
Hiii (chini) ilichukuliwa Oktoba 12, 2007
Hiii (chini) ilichukuliwa Januari 13, 2007
Hiii (chini) ilichukuliwa Oktoba 12, 2007
Niendelee?
daaah kweli jf imetoka mbali jamani.
tuambie na tupo wapi na tunakoenda invisible
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Hizi zingefaa kuwekwa sticky kwenye Jukwaa la photo kwa kumbukumbu. Hon. Invizibo, do something..!
wakati huo nilikuwa guest tu!
Times the time before time times you!
mi nilijiunga ikiwa hii;.......................... ..... ....................na tuliipenda sana...................... wakati uinabadilika kuwa hii;.........................
ilichukua zaidi ya wiki moja JF ikiwa offline.................... na iliporudi online...................tulip iga kelele sanaaa........................ . oooh, mbaya.............. haivutii,..................... . maandishi madogo............. lakini baadaye sote tumeishaizoea................. ...... na tunasonga mbele......................... ...
hongereni sana wahusika wote......................
IF YOU HAVE NOTHING TO DO, DONT DO IT HERE!!!!
Thats a progressive growth to be proud of...... Congrats to JF and all as we welcome 2012......
Leo Tolstoy once said "Everybody thinks of changing the world, no one thinks of changing himself"
Hongera JF tusonge mbele!
"Honesty is very expensive gift. Do not expect it from cheap people".
-Warren Buffet
Daaah, Usiyeonekana umenikumbusha mbaaaaali na baadhi ya majina niliyoyaona hapo juu, enzi hizo za kina:-
Field Marshall ES
Game Theory
Bubu Ataka Kusema
Pundit
Watuaaaaaache Jamii Forums watuache.
JK Ni Rais wa watu mil.5 kwenye nchi ya watu mil.50 (By vote)
Follow Us Here