hapa ni maeneo ya kati ya Tabata na Buguruni, kama picha hii inavyoonyesha nyumba zikiwa zimefunikwa na kuelea majini leo hii.
Eneo la Tabata unapopita Mto Msimbazi likiwa limejaa maji na kufunika baadhi ya nyumba za maeneo hayo leo.
Haya ni maeneo ya Vingunguti kuelekea Tabata, eneo la Viwanda.
Picha za Moja kwa moja kutoka Eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuzingirwa na maji/Mafuriko kutokana an mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam Muda Huu na kufanya eneo lote la Jangwa Kuonekama Kama Ziwa.Picha Hizi za Moja kwa Moja Kutoka Jangwani Zimepigwa na Mdau Bilal Ahmed
Daraja la Kawe eneo la Bondeni linapojengwa Daraja jipya tayari maji yamelizidia na kupita juu.
Kingo za Daraja hilo zikiwa tayari zimebomoka
Baadhi ya abiria wakitembea kwa miguu baada ya eneo hilo njia kufungwa
re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam
Watakomaa na na waishio mabonde ya msimbazi lakini kwa ufupi planning na miundombinu huko bongo ni wasiwasi sana.
A wise man once told me, luck isn't some mystical energy that dances around the universe randomly bestowing people with safisfaction and joy..you creat your own luck.
re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam
baada ya janga hili litakuja janga la mlipuko wa magonjwa
eeeeh mola tuepushe na hilo.......na bado hatujajua masika
itakuwaje na tumejiandaanda vipi .......hali inatisha
Re: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam
Big up Mkuu for the photos.Tuna wapi pole ndugu zetu waliopatwa na janga hili.
KUENDESHA SERIKALI KWA KUJUANA NI HATARI KWA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YAKE. BY Mp Kalix2 ``Kwa hakika, tumejifikisha mahali ambapo Watanzania wote tumo katika duara la malalamiko: Wananchi wanalalamika, Mwenyekiti wa Kijiji analalamika, Katibu Kata analalamika, DC analalamika, RC analalamika, Waziri analalamika, Waziri Mkuu analalamika, na hata Rais naye analalamika! Kila mwenye nafasi na mamlaka ya kutenda, hatendi; bali anaishia kulalamika tu! '' By J.Mbwambo wa Raia Mwema.
Follow Us Here