JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. #1
   n00b's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 928
   Rep Power : 28531
   Likes Received
   2090
   Likes Given
   229

   Default Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka


   Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam   Rais Jakaya Kikwete katika maongezi na ujumbe wa kenya unaoongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka


   Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam   Rais Jakaya Kikwete akiulaki ujumbe wa Kenya
   I seriously mean it when I say, 'Get a life'


  2. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,035
   Rep Power : 2227
   Likes Received
   752
   Likes Given
   5126

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   namfurahia Musyoka kwa umahiri wake katika Lugha ya Kiswahili!
   Hardships often prepare ordinary people for an extraordinary destiny.

  3. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6824
   Likes Given
   11210

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   Quote By Masikini_Jeuri View Post
   namfurahia Musyoka kwa umahiri wake katika Lugha ya Kiswahili!
   Hapigi 'sheng'?
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]


  4. AirTanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2011
   Location : Uwanja Wa Ndege
   Posts : 857
   Rep Power : 17181032
   Likes Received
   317
   Likes Given
   823

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   Wamekuja kuomba akubali Ardhi ya Tanzania iingizwe kwenye EAC, Sijui wamemletea ile zawadi yake anayoipenda ya Suti ili akubali ardhi yetu tugawane na Wakenya.

   Mimi wala sina imani nao magamba, ni vigeugeu wanaweza hata kubadili msimamo
   CCM to me is like al Qaeda or ISIS, terrorize the nation and his people.CCM is an organization of drug dealers and thugs regime lead by criminal and corrupt, put in power by NEC

  5. Mtumishi Wetu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2010
   Location : Arusha
   Posts : 4,039
   Rep Power : 85904960
   Likes Received
   817
   Likes Given
   6237

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   Quote By AirTanzania View Post
   Wamekuja kuomba akubali Ardhi ya Tanzania iingizwe kwenye EAC, Sijui wamemletea ile zawadi yake anayoipenda ya Suti ili akubali ardhi yetu tugawane na Wakenya.

   Mimi wala sina imani nao magamba, ni vigeugeu wanaweza hata kubadili msimamo
   Msimamo wao huelewekiwako kama kinyonga, mara blue, green, kahawia hawatabiliki!!!!!!!!


  6. driller's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2011
   Posts : 1,102
   Rep Power : 743
   Likes Received
   209
   Likes Given
   243

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   kichwa kinaumaaa..! kama nchi imeuzwa kwanini hatupewi chetu tutambaee..?
   a wife is a knife to cut your life but there is no life without a wife

  7. engmtolera's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Posts : 5,004
   Rep Power : 5589
   Likes Received
   1256
   Likes Given
   1170

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   wanamwomba Raisi wetu awe Raisi wa East Africa
   "You Can Not Jail Him First And Hear Him Later"

  8. Anheuser's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2011
   Posts : 1,918
   Rep Power : 928
   Likes Received
   597
   Likes Given
   252

   Default Re: Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

   Quote By driller View Post
   kichwa kinaumaaa..! kama nchi imeuzwa kwanini hatupewi chetu tutambaee..?
   mtambae mwenye wapi, imeuzwa na watu wake included, utalipwaje wakati we ushalipiwa
   Anarchy and Equality


  Similar Topics

  1. Replies: 15
   Last Post: 3rd February 2015, 16:53
  2. Rais Kikwete akutana na viongozi wa wafanyakazi
   By bibikuku in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 5
   Last Post: 21st April 2011, 22:18
  3. Rais Kikwete akutana na Gordon Brown
   By Icadon in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 21
   Last Post: 11th June 2008, 02:06
  4. Replies: 3
   Last Post: 17th April 2008, 21:23
  5. Kalonzo Musyoka-"umakamu Wa Rais Mashakani?"
   By Mtu Mzima in forum International Forum
   Replies: 17
   Last Post: 8th March 2008, 12:58

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...