Anaongea na babu Kingunge
Macho ya Nape (Mkimbizi/Balozi) mtarajiwa yanazungumza lugha gani katika picha?
Kijana, litumikie Taifa lako kwa moyo wako woote, akili zako zoote na nguvu zako zoote.
Mbona Sumaye anamwangalia kwa jicho la usuda? kama anamenjoy vile
Mwenye njaa hana masikio
lowasa inaonekana kagoma kutoa mkono.kauficha.
Nape atarudi CCJ siku Lowasa akikamata hii nchi
Together in Poverty Apart in Riches
Sumaye alikuwa anafatilia mpambano kwa karibu.
mbona nape ameapear kama vile anacheza twist?
"U Can't Change The Nature"
Ahhhh hii ndio ccm jamni
Hayo maji nawanavyowekeana sumu kwenye kinywaji, wengine wataongeza idadi ya kwenda India baada ya hicho kikao hiki
mwangalie nape kingunge sumaye kwa pamoja then lowassa utapata picha!!!
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
hapo ni ule usemi wa urafiki wa mashaka,lowasa kagoma na mkono wake.
kijana alitaka kujipendekeza,
choo cha kike hakiingizi watu wawili.
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
nape bwana ooh sijui nini job true true..by bujibuji
Nape alikuwa anasema hapa hakuna hoja ya CCJ, hoja ni kujivua gamba.!!
waachani wafisadike jamani muda unawaruhusu
Promises are comfort to a fool
Nape mwenyewe anaonekana kufurahia mara anamuona Lowasa, anajua mziki wake ni mkubwa.
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
kazi anayo...confidence zero....jamaa linamkazia macho kwa nguvu.
lazima lilimrushia vipande vya kutosha within no time.
Follow Us Here