In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
William Malecela @ mUTUZ Good Morning FB: It is Friday you Know! ha! ha! ha! Well, My Babe F is here with me, So! ni Mpango Wangu Mzima, you know I Love the Baby!
- Well, off to the JFK Airport Wazee are leaving today, and So is My Great Friend Mheshimiwa Nape, it was nice to have them here: MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI PEOPLE! - Will Mutuz!
Last edited by nngu007; 4th November 2011 at 14:13.
Angalia Majibu yako very arrogant; haujali Wananchi unajali Mwelekeo wako sidhani utapenda kuongea na wapinzani wako wewe ni kama Chombo cha kutumikia bendera inayopepea bila maafa; Angalia Mtoto wa Mwinyi Waziri wa Ulinzi a Doctor by Profession kwanini awe waziri wa ulinzi? Mnapeana Maeneo Nyeti kuziba wanaoweza kuendesha Maeneo hayo?
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
Afadhali nape alishindwa katika hatua ya mchuano ndani ya chama cha magamba, angeturudisha nyuma sana, kama akili yake ndo hii!! sisiem imekwisha. Afadhali uendelee kuimaliza magamba halafu ukose vyote. nina uhakika mwakani huna kitu huko magamba.
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
By Nnauye Jr
Ohhh SIKUJUA KUMBE VIONGOZI WOTE TANZANIA WATOTO WA WAKUBWA???? mhh!hata Pinda kumbe? Na hao wakubwa walizaliwa na wakubwa pia!!! Duh kama ndo hali hii hatukubali basi
Mkuu Nape zamani ulikuwa unatuita wakubwa:
By Nnauye Jr
Wakubwa nawashukuru kwa maoni yenu mazuri na ya kutia moyo, lakini kubwa maoni mengi ni ya kufundisha na kuonyesha njia,ntajibu kwa kuanzia na hili kwanini nimesema wakati nachukua fomu za kugombea kiti uvccm.
Pia ulikuwa hupendezwi na wakubwa fulani:
By Nnauye Jr
Niliwaonya mara kwa mara hawakutaka kusikiliza kwa kulewa na tu madaraka, nilipochukua fomu haikuwa mara ya kwanza kwa hili kusemwa hadharani, lilisha wahi kuandikwa na KULIKONI GAZETI, tofauti tu hapa nilitoa wanaohusika na dhuluma hii kwa UVCCM,CCM NA NCHI YETU. NA IKUMBUKWE HAPA NDO NILIKUWA NIMERUDI TOKA INDIA MASOMONI KAMA WIKI MBILI TU, NIKAKUTA WAKUBWA WANAENDELEA NA MRADI NINAOAMINI NI WA HOVYO, NI UKWELI USIO NA MASHAKA BILA KELELE ZILE MKATABA USINGEPITIWA UPYA........sijui kama nimekidhi mahitaji yenu...
Katika posts zako ulikuwa unatanguliza shukrani kwanza na kueleza misimano yako dhabiti with reference:
By Nnauye Jr
Kwanza nakushukuru kwa mawazo yako. Naomba niweke wazi msimamo wangu hapa pia kwamba...UZALENDO WANGU NA KWAKWELI WA VIJANA WA KITANZANIA LAZIMA UVUKE MIPAKA NA MINYORORO YA ITIKADI ZETU...Tanzania kwanza chama baadae... ..... Ukumbuke mvutano huu ni chachu ya kutoa zao bora"sera" kwa ukombozi "mpya" wa kiuchumi wa nchi yetu...Mao aliwahi kusema...ni muhimu kukawa na msuguano kati ya kizazi kipya na cha zamani ili kupata maendeleo..positive...
Ulikuwa unaita watu ndugu:
By Nnauye Jr
nDUGU YANGU oGWALUMAPESA NASIKITIKA KWA TAARIFA HII ULIYOITOA HAPA UKIDAI NIMESEMA HII NI KUSHUSHA HESHIMA YA FORUM HII, PENGINE SEMA ALIYEKUPA HAYA MAANA MKANDA WA NILIYOSEMA CLOUDS FM UPO NAWEZA WEKA HAPA IKAWA SI NZURI SANA KWAKO.
NAAMINI UMETELEZA JITAHIDI KUTOTELEZA TENA....
Ulikuwa unaiheshimu hii forum:
By Nnauye Jr
Naiheshimu sana forum hii kwani inasaidia kutoa mambo ambyo wakati mwingine hayasemwi na vyombo vingine.Nawashukuru kwa kunikaribisha, napokea kwa heshima kubwa karibu yenu wakubwa, naahidi ushirikiano mkubwa kwa kadri ya uwezo wangu wote....... Namwomba ndugu yangu asituharibie heshima ya forum hii, naamini nimeeleza kwa kifupi yaliyotokea.
Nnauye Jr
Lakini siku hizi post zako sijui kama zinajenga au kuiharibu hii forum. Mfano:
By Nnauye Jr
Iliwashika pabaya eeeeh? Poleni ndo maana humu kelele kila siku!!! Ndo mnakua jamani , ukubwa si lelemama, acheni kulialia, ooooh tumeibiwa! Mpaka mshinde nyie ndio hamkuibiwa wala kuba!!! Chafyaaaaaaaaaa
Tofauti na zamani wakati mwingine sasa unaona baadhi ya watu kama wanafiki. Mfano:
By Nnauye Jr
Mhhh SIKU MSIPOMTAJA NAPE HUMU HATA KWA UBAYA SIJUI ITAKUAJE.....HAYA KILA LAKHERI
By Nnauye Jr
HIVI MKISHAJIDANGANYA HUMU NA KUDANGANYA WATU MNAJISIKIAJE WANAUME WAZIMA KUDANGANYA WATU HAPA??? SOON NAWEKA PICHA ZA MWANZA NA LEO NITAENDELEA KUSAMBARATISHA VIJINGOME VYENU UCHWARA MWANZA NA KANDA YA ZIWA.... AIBU KUBWA.... SHUHUDIENI KIPIGO KINGINE LEO NYAMAGANA NDO MTAJUA SIASA INATAKA TIMING
Japokuwa kuna wakati unaamkia mguu wa kulia:
By Nnauye Jr
Kamanda Mwanakijiji,
NIKUSHUKURU KWA DHATI KUPIGIA MSTARI SWALI LANGU, MAANA TUSIJE TUAKAJADILI KISHABIKI TU.. SALUTE YOU KAMANDA...
Japokuwa wakati mwingine huwa unaamkia mguu wa kushoto:
By Nnauye Jr
SI KAZI YANGU KUWAFURAHISHA CHANDIMU, WALA CHANDIMU HAWANA MAMLAKA YA KUNIFUNDISHA CHA KUFANYA, ETI LEO NIFANYE AMBACHO CHANDIMU MNATAKA NIFANYE??? ,imekla kwenuu.... Mwl. Aliwhi sema...... Ukiona adui yako anazifia slaa zote za maangamizi jua umekosea. FURAHA YANGU NI KUWAKERA CHANDIMU SO MKIKEREKA NIJUA NIKO VIZUIIIIIII
Lakini Nape mwanasiasa kijana ni yupi hasa? Je ni huyu?
By Nnauye Jr
Mchakamchaka,
Nakushukuru sana kwa ushauri wako, lakini ungewashauri pia wanaojibu hapa tujadili hoja sasa kama wanageuza jukwaa the commedy, eneo la kutukana tu... Tulikimbie jukwaa? Hapana sie ndo waanzilishi humu hAtutoki ila tutajibu kwa uwezo na jinsi ya akili unaye mjibu,,!!!!
Au ni huyu?
By Nnauye Jr
Na FURAHA YAKO ITATIMIA KWASABABU WE UNAISHI NCHI TOFAUTI NA NINAYOISHI MIE
“Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashukwa nao wanataka rushwa. Hahashukwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo tatizo lilipo.” - Mie mwenyewe.
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
Mkuu tunashukuru sana kwa ku-summerize hoja za Nnape tangu enzi hizo akiwa amevaa ngozi ya kondoo. Nadhani Nnape wa sasa ndiye halisi. Yule wa enzi zile aliyekuwa anajibu hoja kwa kuanza na maneno 'ndugu', 'wakuu' n.k. alikuwa Nnape wa mpito tu. Hiyo ndiyo sifa haswa ya magamba.
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
NAPE NNAUYE:
It has been the political career of this man to begin with hypocrisy, proceed with arrogance, and finish with contempt...he's quite as unthinkable as an honest buglar...
What I'm sick about is the Meeting in Houston - He did not resolve anything; he left the place people More divided than EVER...
Look how they shower him while he was there a with a DICTATORIAL PRAISE WITH CONTEMPT FINISH
[Nape Nnauye Amaliza Mgogoro Wa Wana CCM Houston Texas Nchini Marekani * Ageuka kivutio mkutanoni * Wampa jina Simba wa Vita Mtoto * Wakubaliana kufungua tawi kila Jimbo * Wasema kwa mwendo huu CCM jabali ]
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
Nasikitika sana kwa Field Marshal ES kutokuwa na msimamo aliokuwa nao JF back in a day wakati akitukaribisha humu,sijui what happened kusema kweli...
Naona kawa kimya sana hadi Nape anamtembelea...?
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
Nape akipigana kuingia serikalini
By Nnauye Jr
Rafiki,
KUNA WATU MWAKA 2005 MARA TU BAADA YA
By Nnauye Jr
MTANDAO KUSHINDA WALINITUMIA SALAAM KAMA ZAKO KUWA SINA CHANGU KWENYE SERIKALI WALA CHAMA KWA MIAKA KUMI NA IKILAZIMIKA NA ZAIDI AU NTAFUTIKA KABISA KATIKA SIASA, LEO WAJUA NI MIAKA MINGAPI BADALA YA KUPOTEA NDO KWANZA....... KWA HIYO KAMILIONI ALIIMBA "fitina yako bahati yangu, ukiniombea mabaya na kuyatabiri hugeuka baraka kwangu" UBARIKIWE SANA KWA KUTANGAZA BARAKA KWANGU.....
Nape akiwatusi watanzania, huyu sijui ni kiongozi gani
By Nnauye Jr
Maajabu,
UNAFIKI MWINGINE WA BAADHI YA
By Nnauye Jr
WATANZANIA NI WA AJABU SANA SANA..... WATU WANAVYOJADILI HAPA NI KAMA VILE WANATAMANI VITA DHIDI YA UFISADI ISHINDWE WAKIDHANI NDO KUSHINDWA KWA NAPE AU SIJUI NANI VILE KUMBE NI MATESO KWA NDUGU NA JAMAAA ZAKO MWENYEWE!!!
BAHATI NZURI HATUTASHINDWA LAZIMA TUTASHINDA. DUA LENU LA KUKU KUOMBEA TUSHINDWE HALITATUPATA, MNAPOTRZA MUDA.....KUSHINDA LAZIMA.....
Sajawai kuona kiongozi yeyote anaandika mambo ya kijinga kama haya eti hahahahaha
By Nnauye Jr
Mhhhh,
BADO HAMPATI USINGIZI TU WAUNGWANA??????? ONCE KIONGOZI WA CHINA ALISEMA UKIONA ADUI YAKO ANAKWAMBIA USIPITE HUKO, HUKO NDO KWA KUPITA COZ NDIO NJIA SAHIHI
By Nnauye Jr
hahahahahahahahahaaahahahahaha hahahhh!!!!!
Ukiona kiongozi anaandika hivi jua kuwa ana matatizo kichwani, haya uwa watu wanayatumia wakiwa wanawaandikia wake zao, sijui huyu ni kiongozi gani, Sijawai kuona J. William, JJ Mnyika , Zitto na Slaa hata na J Makamba wakiandika huu upuuzi
By Nnauye Jr
By Nnauye Jr
Mhhhhhhhhhhhhh
HUMU JF SIKUHIZI HATA AKIPITA NZI WATU WANAANZA KUPIGA CHAFYA CHAAAAAAAA,!!!!! HIVI HII STORI ISIO NA SOURCE WALA MASHIKO NAPO WATU WANATUNA SHINGO ETI WANAJADILI HOJA???? masikini magwandaaaaa
Kiongozi akianza kukosa Hoja anaanza matusi this is Rubbish huyu jamaa ataaribu chama
By Nnauye Jr
Masikini MAGWANDA, KWA TAARIFA YAKO HATA KUWAZA NITAFANYA RESEARCH KWA TOPIC GANI SIJAWAZA..... UONGO MWINGINE UONE AIBU KUROPOKA KITU USICHOKIJUA POLE SANA... KAMA HII NDO AINA YA VIONGOZI BASI HATARI....ANY WAY NDO MAAANA...
re: In FB: William Malecela awasindikiza Mzee Malecela na Nape Nnauye JFK Aiport, wanakimbilia Dar
By jmushi1
Nasikitika sana kwa Field Marshal ES kutokuwa na msimamo aliokuwa nao JF back in a day wakati akitukaribisha humu,sijui what happened kusema kweli...
Naona kawa kimya sana hadi Nape anamtembelea...?
Follow Us Here