Waweza kuingizwa kwenye mashindano ya miss bantu?
Waweza kuingizwa kwenye mashindano ya miss bantu?
Zilipendwa
sijui kama huu nao unaweza kuitwa uzuri. Huu ni ugonjwa
Ila akina "shin shua xin" wamesaidia wengi na madawa yao........!!
uso wako usipoenda nasi,usituchukue kutoka hapa.........kut 33:15
nami nimeona wape hongera maana nahisi hawabebeki labda kifo cha mende
mateso bila chuki
.....Chuma cha reli hakishiki kutu...
siku nyiiingi
when love goes wrong,nothing goes right.
Follow Us Here