Hii ndio gharama ya umasikini wa akili. Hawa wanalipia t-shirt na kanga za bure walizopewa. Haiwezekani katika akili ya kawaida wewe ubebe bango lenye ujumbe huo mbele ya watu walioonyesha sura za kukata tamaa nanma hii
Hao wameshakunja mshiko, hapo wanatekeleza matakwa ya chama chao na si kutoka moyoni mwao
Huoni wamepata kanga,fulana na wana ahadi nyingi tu ambazo wamepewa?Hivyo wameweza
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
Unafanya mchezo na Fulana za kijani na Vitenge vya Wax
"What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"
Follow Us Here