Weka japo sentensi moja tu katika hii picha
Weka japo sentensi moja tu katika hii picha
@@
Hii ni salam kwetu sisi wakatoliki unapokutana na Askofu unatakiwa kubusu Pete. Kwa Mungu hakuna cha Pm au president wote ni sawa, kubusu pete hii hatumii cheo chake ila imani yoke, mbona Jk anavaa kazu hata kwenye public hili si vazi rasmi kwa watz bali la kiislam lakini hatulalamiki watu wa madhebu mengine, tunafaham pamoja na urais wake lakini bado anaimani yake.
The same applied to Pm. Acheni udini.
Hata swala tano Arafat alisalimu hivyohivyo...........ni salamu tu
A compliment is something like a kiss through a veil
Kumbe hata Yasar Arafat anabusu pete papa sasa pinda kitu gain, Jk mwenyewe atakuwa amebusu si alijifanya anatembelea Vatican picha zitakuwepo
labda pinda alitaka kunusu mkono wa mzungu
[QUOTE=Crashwise;2493265]
hapa umekanusha ila sijui umekanusha lipi?
Ukatoliki
MY LOVE IS YOUR LOVE.
Wewe ungejua maana ya pete...ungezivaa mwili mzima, hebu jiulize hayo madini yote na vito vyote vinavyochimbwa hapa tz huenda wapi kama siyo huvaliwa na watu? Unajua kama watz tungetakiwa tuvae vito kuliko raia wa nchi nyingine duniani!
They are the treasures of our own land, yet we have been utilizing the produce from the earth's surface and but not those within the earth's surface?
So, nilichokuwa nataka nikuelimishe hapa ni kwamba pete hazina dini na ndo maana haziuzwi kwenye nyumba za dini bali kwa masonara..pia hata wewe unaweza kuzivaa bila kuvalishwa na mtu yeyote, hii ni kuonyesha kuwa huvikubali tuu vilivyoko kwenye uso wa dunia bali hata vilivyoko ndani ya dunia...
Kwani mungu aliumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,vilivyoko juu na ndani ya ardhi.
sALAMU TU KAMA HIZI...........
A compliment is something like a kiss through a veil
..................hapa Amemsujudia..............dhamb i kubwa !
”A leader takes people where they want to go. A great leader takes people where they don’t necessarily want to go, but ought to be.”Breaking Newzer,008
Yaani anakosea sana!Tena sana...implication yake kitaifa sio ndogo....anachukulia respects kwa dini yake ambapo inatakiwa iwe kitu personal issue public namna hii na anajua kabisa Watanzania wengi tu, tena sana sio Wakatoliki wenzake,hivyo issue ya vitu kua public namna hii inaleta kitu kama reluctancy atmosphere kwa non catholics ambapo italeta sintofahamu kutoka upande wa pili...
Very very uchemfu kabisa....huwezi kupewa madaraka makubwa namna hiyo na public halafu unaleta personal religious preferences kwenye ofisi zao walizokupa....kinajitia kina heshima sana,kinafiki tu hiki....sipendi mijinafiki namna hii....atleast tupe deliveries basi,hamna kitu,utakatifu usiokua na manufaa kabisa...excuse me,Im just saying....
Hii ni salaam kwa wakatoliki unapomsalimia askofu lazima ubusu pete yake, ni mambo ya imani tu ndugu zanguni
kakalia viti viwili lakini KIKWETE kaa chini kwenye mkeka
hapo chini Pinda naye ni dili yake kubusu pete, kuna watu wanasema pete ya mtu hapana kwa wakatoli hizi pete sio just pete wakuu
ni pete maalumu sio pete za ndoa hizo kwani maaskofu wanaoa siku hizi mbona tunakosa hekima
waziri mkuu hayuko juu ya dini yake huko ni muhumini wa kawaida kama hivyo hapo kwa kikwete kaa chini na kusikiliza mawaidha ya viongozi wake wa dini
hakuna choice au uraisi hapo
----> nchi yetu ni ya vimemo
Follow Us Here