JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Dar es Salaam City in Photos

  Report Post
  Page 3 of 46 FirstFirst 12345 13 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 916
  1. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Dar es Salaam City in Photos


   DAR'S FISH EYE
   REPOST cause photobucket got busted !


   ^^ SITE FOR MZIZIMA TOWERS 35+33 FLS
   Last edited by NDINDA; 16th April 2014 at 18:56.


  2. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   kuna maeneo mengine ya Jiji letu yamepangika, yawe mfano kwa maeneo mengine

  3. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam


  4. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam


  5. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   vikangua anga vikichomoza ndani ya CBD, miundombinu chini ni ile ile, yakifika shingoni wataanza kurekebisha, maana wabongo huwa wanasubiri mpaka tujute ndio waanze kushughulikia mambo

  6. Chumbageni's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th October 2010
   Posts : 82
   Rep Power : 582
   Likes Received
   14
   Likes Given
   74

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Vikwangua anga vizuri hasa zikiwa designed kisasa lakini kwa sasa wange tafuta maeneo makubwa na kujenga mini city within Greater Dar es Salaam ambavyo vina miundombinu yanayo kidhi mahitaji ya jiji la kisasa.

   Sasa kutokana na ujenzi wa hizi vikwangua anga DSM, bado tutaona nyingi kujengwa ndani ya CBD. LAPF wamefanya jambo la maana saana kujenga ghorofa 27 pale millenium towers.


  7. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Dar CBD na makazi ya watu, kuna barabara kuu nne kama sikosei zinazoingiza na kutoa watu ndani ya jiji,kama barabara kadhaa zingeongezwa hapo ktikati, msongamano ungepungua, kwani watu kama wa tabata, gongolamboto wasingekua na lazima ya kytumia nyerere road tuu, ingesaidia sana, au barabara inayotokea karume ingepasua moja kwa moja katikati ya vingunguti na kuisaidia barabara ya nyerere,

  8. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   UPANGA INAKUJA KWA KASI PIA

  9. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   BUSTANI NZURI JIJINI DAR
   Last edited by NDINDA; 18th April 2011 at 09:42.

  10. Paul Kijoka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2010
   Location : KIMARA, DAR
   Posts : 1,385
   Rep Power : 844
   Likes Received
   242
   Likes Given
   190

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By NDINDA View Post
   Attachment 27290
   jiji la bongo linakua kwa kasi ni miongoni ma majiji 10 yanayokua kwa kasi duniani, bongo ni ya 9,
   je unashauri nini kifanyike kuepuka matatizo ya urbanization?
   Kweli hili ndo ZIZI la Dar!

  11. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   MAJENGO HAYA YATAKUA MAREFU KULIKO YOTE JIJINI DAR KABLA MCHIKICHINI HEIGHTS AMBAYO ITAKUA NA ZAIDI YA GHOROFA 50 KUJENGWA, TWIN TOWER HIZI ZITAKUA NA 35 FLOORS NA UJENZI TAYARI USHAANZA NDANI YA JIJI LA DAR

  12. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By Paul Kijoka View Post
   Kweli hili ndo ZIZI la Dar!
   mkuu sijaelewa ZIZI? sijakupata unamaanisha nini,

  13. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   MABADILIKO MENGINE

   MAFUTA HOUSE, PSPF HOUSE, NA ELITE TOWER ZIKIMCHALLENGE MAFUTA HOUSE.

  14. Lole Gwakisa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2008
   Posts : 3,536
   Rep Power : 1380
   Likes Received
   764
   Likes Given
   460

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By mpendwa View Post
   nice pic
   Mbona picha ya zamani sana hii mkuu, hapo kwenye parking lot(2 storey) kuna kitu kilichopanda zaidi ya ghorofa 8!Kushoto kwake Mambo Ya Nadani vile vile kuna kiti kimepanda.
   Yours faithfully!

  15. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By Lole Gwakisa View Post
   Mbona picha ya zamani sana hii mkuu, hapo kwenye parking lot(2 storey) kuna kitu kilichopanda zaidi ya ghorofa 8!Kushoto kwake Mambo Ya Nadani vile vile kuna kiti kimepanda.
   ni kweli picha hii ni ya zamani sana, eneo hili sasa hivi linaonekana hivi

  16. Tusker Bariiiidi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2007
   Location : Sinza Dar es Salaam.
   Posts : 4,542
   Rep Power : 1647
   Likes Received
   729
   Likes Given
   260

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By NDINDA View Post
   Attachment 27403pspf house karibu na ppf tower nayo inakuja kwa ksai
   Jengo la PPF Tower limegaragazwa vibaya... sasa hivi hata halionekani...

  17. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 25,354
   Rep Power : 88801450
   Likes Received
   7583
   Likes Given
   13009

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   ndinda wewe ni mkali
   JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

  18. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By Tusker Bariiiidi View Post
   Jengo la PPF Tower limegaragazwa vibaya... sasa hivi hata halionekani...
   Sasa hivi bongo ni kugaragazana tuu, hata hivyo hilo jengo litagaragazwa sasa hivi na hili hapa linajulikana kama UHURU HEIGHTS lina ghorofa 27, litafuatiwa na lingine lenye 24 pale umoja wa vijana , na muda si mrefu yote yatagaragazwa na pspf twin towers ambazo ujenzi wake ushaanza, zitakua na ghorofa 35, yaani hizo twini tower za BOT zitaingia mara mbili kwenda juu.

   Angalia hizi picha, jengo ambalo halijakamilika kule mbele ni uhur heights na pemebeni yake ni VIVA TOWER nadhali litakua na ggorofa 22 pia  19. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la dar es salaam

   Quote By Ivuga View Post
   ndinda wewe ni mkali
   Haina kwere IVUGA, naamini wewe ni mzee wa wekundu wa msimbazi kama avatar yako inavyoniambia.

   Wekundu wa msimbazi oyee


  20. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la Dar es Salaam

   kama kawa hiyo itakua imetulia sana

  21. NDINDA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Location : behind you
   Posts : 1,921
   Rep Power : 613818
   Likes Received
   1094
   Likes Given
   1054

   Default Re: Jiji la Dar es Salaam

   MGAO WA UMEME, TANZANIA, KUMBE HAKUNA TOFAUTI NA NCHI NYINGINE ZA SUB SAHARAN AFRICA, CHEKI AFRICA USIKU NA MCHANA
  Page 3 of 46 FirstFirst 12345 13 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Photos: Heart of the city concert(Atlanta)
   By Icadon in forum Jamii Photos
   Replies: 4
   Last Post: 25th November 2013, 18:39
  2. Tree Planting In The City Of Dar Es Salaam
   By Mhache in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 4th August 2008, 10:24
  3. Dar-Es-Salaam is the first city in the World to..............
   By KadaMpinzani in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 9th August 2007, 10:17

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...