Swali ni je nani ataruhusu mabao mengi dhidi ya mwenzake kama ilivyokuwa kwa Simba na Yanga mwishoni mwa Vodacom premier ligi 2011...
Swali ni je nani ataruhusu mabao mengi dhidi ya mwenzake kama ilivyokuwa kwa Simba na Yanga mwishoni mwa Vodacom premier ligi 2011...
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Timu ya Dr Slaa KACHUMBARI sana. Itafungwa mengi tu.
Ha ha ha ha kweli JF ni Jamvi nimecheka yaani basi na Mapesa yumo kwenye timu ya DR Slaa
Hahahahaaaa,......
Rostam Azziz na Lowassa wamefungwa Bandeji Usoni na Mguuni.
Wakikimbia wanachenjegua..... Heri wapelekwe timu ya vilema huko Angola.
Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).
Hahahahaha! Hapo kuna wachezaji wa Slaa watauza mechi kwa timu ya Jk, kocha arudie kupanga upya!
Si mwamini Mrema na Mapesa, watauza timu
ndg yangu nyengo ni hivi wanasaikolojia wanasema KADRI UMRI UNAVYOZIDI KWENDA NDO HOFU YA MAISHA INAONGEZEKA hii ni kusema kwamba akili zao sasa hufikiri kuhusu kesho kimaslahi zaidi kuliko hko nyuma.HAO WATAKUJA KURUDI SIKU MOJA, NATABIRI HILO KAMA KASEJA ALIVYORUDI SIMBA
UPOOOOOOOOOOOOOO.............. ..hapoooooooooooooooo!
hii itakuwa list ya nyuma..ilishavunjika..kuna list ya hivi karibuni
Mrema atoke aingie Halima mdee,Cheyo atoke aingie Wenje zitto atoke aingie David Silinde Mrema atoke aingie Lucy Owenya, na Shibuda atoke aingie Mh Arfi au wanawake hawaruhusiwi?
slaa zitoo na kina mbowe ni wanyama wote hahahhahah!
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Follow Us Here