Ndo mlegezo mpya nini sasa wadau?
huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto.
Picha ya pili nimeikubali sanaaa!!!,-nategmea sana siku sionyingi Dada zangu wa Kibongo wataiga tuu!!! kwa kuwa ni mabingwa wa kufanya hivyo
nimependa hii fashion ingawa simshauri mwanamke ninayemfahamu kuifuata
Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli
Follow Us Here