JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 69
  1. Msandawe Halisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2010
   Posts : 643
   Rep Power : 186053
   Likes Received
   297
   Likes Given
   117

   Default kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Lakini asilimia 85.99 hamna. Mshukuruni mungu kwa kila jambo.
   Attachment 26133

   Attachment 26134

  2. kwamtoro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Posts : 4,308
   Rep Power : 58207572
   Likes Received
   2145
   Likes Given
   885

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By Fidel80 View Post

   I see huyu alikuwa anacheza kiduku? Alafu naona kwa mbaali kufuri nyeupe

   Halafu huyo njema kwa mbele, anaonekana mangi wa kishimundu.

  3. Ulimakafu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Itabanya Balasi
   Posts : 15,243
   Rep Power : 6806
   Likes Received
   1053
   Likes Given
   2367

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Duh hii hatari sasa.

  4. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By kwamtoro View Post

   Halafu huyo njema kwa mbele, anaonekana mangi wa kishimundu.
   Jamaa kasimama kama bodyguard
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  5. St. Paka Mweusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2010
   Location : Ukune,
   Posts : 5,818
   Rep Power : 14111
   Likes Received
   1883
   Likes Given
   3868

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By Elia View Post
   Msandawe halisi, Hakuna kabila lenye identity ya kipekee siku hizi, Nyerere alishatufanyia mixing, ndio maana utamkuta mzaramo mrefu, mkurya mpole, msukuma mfupi, mzaramo msomi, mhaya chinga, mchaga afande, mmasai dereva, mnyakyusa housegirl nk nk.   Mkuu hili nalo ni jipya?Wataachaje kuwa maafande na Chuo cha polisi kiko kwao?
   UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.

  6. Akami's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th September 2009
   Posts : 84
   Rep Power : 640
   Likes Received
   14
   Likes Given
   19

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Huo ndio ukweli,anayebisha,atuwekee ya kwake tuione!

  7. maggy mushy's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd November 2010
   Posts : 18
   Rep Power : 565
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   i wish ungeniona sijui nikutumie picha me mchaga original sio wale wanaokuja na mama zao na nina mguu wa ukwee na sio mimi tu hata ndugu zangu wana usafiri wa ukweeeli kwahyo ndg yangu what im trying to say NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

  8. pangalashaba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2011
   Posts : 601
   Rep Power : 679
   Likes Received
   106
   Likes Given
   35

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   historia inaonyesha mamiss wengi wa kwenye vitongoji,wilaya,mikoa na hata kitaifa wengi wao ni wachaga.....................

  9. Sware's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th December 2010
   Posts : 92
   Rep Power : 577
   Likes Received
   9
   Likes Given
   275

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Hamna ukweli wowote hapa ntaweka ya kwangu uione! na mm ni mrangi!
   Quote By Akami View Post
   Huo ndio ukweli,anayebisha,atuwekee ya kwake tuione!

  10. mamanalia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2009
   Posts : 670
   Rep Power : 751
   Likes Received
   129
   Likes Given
   13

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   ila jamani wachaga kwa disfugured mnaongoza. Ukijumlisha na kutojua mapenzi ndo kabisaaa boring.

  11. JAMHURI's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th December 2010
   Posts : 200
   Rep Power : 599
   Likes Received
   15
   Likes Given
   4

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Sijaiona hiyo nina ningekuwa mshiriki mzuri kama ningeona huo usafiri wanajamii wenzagu....

  12. Mary Chuwa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 178
   Rep Power : 584
   Likes Received
   30
   Likes Given
   25

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   mimi ni mchaga halisi nina usafiri wa ukweli kila anayeuona anakiri hilo kuanzia kwenye goti hadi unyayo,nawashangaa wanaosema wachaga hatuna usafiri.

  13. mama D's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 1,746
   Rep Power : 10819
   Likes Received
   526
   Likes Given
   1442

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By Msandawe Halisi View Post
   Lakini asilimia 85.99 hamna. Mshukuruni mungu kwa kila jambo.
   Attachment 26133

   Attachment 26134
   tuliyo nayo yatutosha jamani tena mizuri mnooooooooooooooooooo!

  14. MADAM T's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Posts : 1,821
   Rep Power : 931
   Likes Received
   293
   Likes Given
   616

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Wa kawaida sana huo...

  15. kwamtoro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Posts : 4,308
   Rep Power : 58207572
   Likes Received
   2145
   Likes Given
   885

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By Chauro View Post
   kwaiyo wanatembelea mikono sio!!!!!!

   Kweli kabisa, wakifika Bukoba, wanaonekana wanatembelea mikono.

  16. Elungata's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th January 2011
   Posts : 20,024
   Rep Power : 85260405
   Likes Received
   4385
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Fidel80 View Post
   Jamaa kasimama kama bodyguard
   jamaa gani tena?

  17. Nsagali's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th March 2011
   Posts : 90
   Rep Power : 566
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   kazi ipo hapo

  18. Mwanamayu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2010
   Location : Manzese
   Posts : 5,050
   Rep Power : 10883291
   Likes Received
   850
   Likes Given
   479

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By shanature View Post
   ilete ya mamayo ulinganishe na ya mamangu,,,,mh!alafu ulete ya dadayo ulinganishe na ya dadangu,,,alafu utoe jibu,,,,,ivi kuna wanawake wazuri kuliko wa kichaga,ndio wapo tuangalie %,,,,achana na story za kwenye kahawa
   Labda mtoa mada hajaiweka vizuri. Ni kwamba wanawake wa kirangi na kichagga walio wengi usafiri wao ni 'tooth pick'. Ukikuta ana mguu mzuri basi baba yake yaani Mzee Lyimo amesingiziwa huyo mtoto !!!!!!!

  19. kwamtoro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Posts : 4,308
   Rep Power : 58207572
   Likes Received
   2145
   Likes Given
   885

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   Quote By Mwanamayu View Post
   Labda mtoa mada hajaiweka vizuri. Ni kwamba wanawake wa kirangi na kichagga walio wengi usafiri wao ni 'tooth pick'. Ukikuta ana mguu mzuri basi baba yake yaani Mzee Lyimo amesingiziwa huyo mtoto !!!!!!!

   Mzee Lyimo wa Arusha na pale Moro, Watoto wao Chelewa.

  20. Jaguar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2011
   Location : IRINGA
   Posts : 3,399
   Rep Power : 1295
   Likes Received
   900
   Likes Given
   278

   Default

   Quote By Mwanamayu View Post
   Labda mtoa mada hajaiweka vizuri. Ni kwamba wanawake wa kirangi na kichagga walio wengi usafiri wao ni 'tooth pick'. Ukikuta ana mguu mzuri basi baba yake yaani Mzee Lyimo amesingiziwa huyo mtoto !!!!!!!
   Kweli kabyser!

  21. bia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2011
   Posts : 258
   Rep Power : 602
   Likes Received
   28
   Likes Given
   0

   Default Re: kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

   uliyeandika thread hii unaitaji kutembea na uzungukuke mana watoto wa makabila ulotaja ucpime kabisa n warembo balaa ala!

  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. wanawake mnaoongea sana hovyoo
   By mkonowapaka in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 96
   Last Post: 7th December 2011, 03:28
  2. Kumbe wanawake wa bongo ni wazuri sana, tena sana
   By Roulette in forum Celebrities Forum
   Replies: 11
   Last Post: 10th May 2011, 23:25
  3. Wanawake, twawapenda sana, ila...!
   By Ligogoma in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 29
   Last Post: 8th April 2011, 21:21

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...