JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mchawi akamatwa live!!

  Report Post
  Results 1 to 19 of 19
  1. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default Mchawi akamatwa live!!

   http://api.ning.com/files/cwsKfs-l*R...400&height=320
   Taarifa zaidi zinadai vijana hao waliopata fahamu walisema kuwa, wakiwa porini walikuwa wakiishi kwa kula unga wa mtama, nyama na damu za watu iliyokuwa ikipatikana kutokana na ajali ambazo wachawi hao walikuwa wakizisababisha.

   Mchawa akamatwa live!! - Zanzibarwebsite


  2. mikatabafeki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th December 2010
   Posts : 10,242
   Rep Power : 171804228
   Likes Received
   2395
   Likes Given
   1745

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   ndibidataaaaka

  3. St. Paka Mweusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2010
   Location : Ukune,
   Posts : 5,818
   Rep Power : 14110
   Likes Received
   1883
   Likes Given
   3868

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Halafu tunajidai tunataka maendeleo,maendeleo yatatoka wapi na wachawi wamejaa kila kona mpaka leo hii karne ya 21????
   UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.

  4. Maria Roza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2009
   Posts : 6,743
   Rep Power : 52652419
   Likes Received
   1054
   Likes Given
   608

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   anaza drama
   If u can't stand for something , u will fall for anything !

  5. MaxShimba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2008
   Posts : 36,631
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3918
   Likes Given
   679

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Mweusi kama kapakwa masizi.


  6. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,204
   Rep Power : 1815
   Likes Received
   879
   Likes Given
   1099

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.

  7. Just i am's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th January 2011
   Posts : 65
   Rep Power : 565
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   yaa hata mie naikumbuka kipindi kile cha mama rwakatale anyatoa misukule....labda wawe wanafanana
   Quote By Gama View Post
   Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.

  8. ral's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th December 2009
   Posts : 125
   Rep Power : 634
   Likes Received
   24
   Likes Given
   830

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Jamani hata ukiangalia vizuri kwenye hiyo link hiyo picha ilikuwa posted 2009

   Quote By Gama View Post
   Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.

  9. ntobistan's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th March 2011
   Posts : 56
   Rep Power : 558
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Picha iko wapi?Hil ni eneo la picha na habar

  10. Ney wa Barca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th February 2011
   Posts : 314
   Rep Power : 612
   Likes Received
   34
   Likes Given
   12

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   hii picha ama niliwai kuiona kipindi cha nyuma!

  11. Deodat's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2008
   Location : xxxxxxxxxxxxxx.
   Posts : 1,275
   Rep Power : 1014
   Likes Received
   216
   Likes Given
   509

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Uongo mtupu, yaani huyu jamaa kila mwaka yeye anatekwa na wachawi? mtu yuleyule, chup* ileile, anajipaka mikaa ileile, I am sick and tired of fabricated and manipulated stories! Tulishaiona hiyo picha.
   Following the herd is a sure way to mediocrity - Patti Wilson

  12. Straddler's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2009
   Posts : 716
   Rep Power : 9265
   Likes Received
   168
   Likes Given
   224

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Quote By St. Paka Mweusi View Post
   Halafu tunajidai tunataka maendeleo,maendeleo yatatoka wapi na wachawi wamejaa kila kona mpaka leo hii karne ya 21????
   ..Hapana..!!! Sio wachawi wanaorudisha nyuma maendeleo. Ni JK na CCM..!!

  13. Babu Lao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Location : Korokocho
   Posts : 2,051
   Rep Power : 975
   Likes Received
   156
   Likes Given
   101

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Quote By Error 404 View Post
   http://api.ning.com/files/cwsKfs-l*R...400&height=320
   Taarifa zaidi zinadai vijana hao waliopata fahamu walisema kuwa, wakiwa porini walikuwa wakiishi kwa kula unga wa mtama, nyama na damu za watu iliyokuwa ikipatikana kutokana na ajali ambazo wachawi hao walikuwa wakizisababisha.

   Mchawa akamatwa live!! - Zanzibarwebsite

   Mkuu mbona hii picha ilishaoneshwa long time wakati ule wa misukule ya Gwajima??? Acheni usanii nyie naikumbuka vizuri sana!!! Soma link hapo chini angalia na picha!!!

   Misukule yamuumbua Gwajima - Global Publishers
   Tanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno, tuwang'oe meno walaji ili wenye moyo wasijekata tamaa ya kuijenga!!!!

  14. St. Paka Mweusi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2010
   Location : Ukune,
   Posts : 5,818
   Rep Power : 14110
   Likes Received
   1883
   Likes Given
   3868

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Quote By Straddler View Post
   ..Hapana..!!! Sio wachawi wanaorudisha nyuma maendeleo. Ni JK na CCM..!!
   Kwani hao uliowataja sio wachawi??
   UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.

  15. Straddler's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2009
   Posts : 716
   Rep Power : 9265
   Likes Received
   168
   Likes Given
   224

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Quote By St. Paka Mweusi View Post
   Kwani hao uliowataja sio wachawi??

  16. Gama's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th January 2010
   Posts : 6,204
   Rep Power : 1815
   Likes Received
   879
   Likes Given
   1099

   Default

   Quote By ntobistan View Post
   Picha iko wapi?Hil ni eneo la picha na habar
   Wahi kwa babu loliondo ukapate uponyaji wa macho.

  17. Paul Kijoka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2010
   Location : KIMARA, DAR
   Posts : 1,385
   Rep Power : 843
   Likes Received
   242
   Likes Given
   190

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Hivi ndo namna ya kutafuta hela kwa kuwauzia wajinga na misukule ya Tanzania inayoamini kwenye uchawi. Hawa jamaa wanapaka mtu mkaa ili tuamini kuwa ni mchawi na tununue magazeti yao. Huu ni upumbavu kabisa.

  18. Seto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th January 2011
   Location : TEHRAN
   Posts : 958
   Rep Power : 745
   Likes Received
   42
   Likes Given
   19

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   msukule feki wa lwakatare....
   KWELI ITAKUWEKA HURU DAIMA.

  19. Paul Kijoka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2010
   Location : KIMARA, DAR
   Posts : 1,385
   Rep Power : 843
   Likes Received
   242
   Likes Given
   190

   Default Re: Mchawi akamatwa live!!

   Quote By Seto View Post
   msukule feki wa lwakatare....
   Ndo hii hii inaenda hadi magazetini. Wa TZ ni wapenda uchawi mno. Ndo maana hawatofautishi babu wa Loliondo na herbalist


  Similar Topics

  1. Polisi akamatwa live akila Uroda
   By MaxShimba in forum Jamii Photos
   Replies: 34
   Last Post: 3rd December 2013, 17:13
  2. Kihoja: bibi mchawi akamatwa machame(mfumoni)
   By MR. DRY in forum JF Chit-Chat
   Replies: 34
   Last Post: 22nd November 2011, 21:05
  3. Tapeli Akamatwa Live (Video)
   By X-PASTER in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 17th August 2011, 20:06
  4. Live Mkama akamatwa na Bw mdogo Chanel Ten!
   By Yericko Nyerere in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 28
   Last Post: 14th July 2011, 00:37
  5. Akamatwa Live Gesti na Denti wake!
   By MziziMkavu in forum Jamii Photos
   Replies: 36
   Last Post: 18th April 2010, 22:55

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...