Want a snack? Tori stops to give the goat a little something to eat
Want a snack? Tori stops to give the goat a little something to eat
Bahati yake haishi kwenye ujirani wangu. Angekata kona tu mbuzi kwishney. Kitoweo muruwa.
duh mbuzi mzuri hivyo,mi hata mkutanoni ningeenda nae na kuangalia movie as well as kariakoo shopping.....l.o.l
I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.
Hiyo ni milaa yao hata wakija hapa wana shangaa wakikuta kwamba sisi tunakula MBUZI wakati kwao ni pets...
---- You are what you believe yourself to be ----
Kambuzi kamenona kama nini, lazima katakuwa na nyama laini na inafaa sana kuchoma!!
du akiyanani angekuwa bongo angeumia huyo
THE BEST IS YET TO COME.
THE GREATEST EXPERIENCE IS TO MEET YOURSELF AND FALL IN LOVE WITH YOURSELF.
Mi nilipoona mara ya kwanza nilishangaa sana, ujue hata nguruwe wameshamgeuza kawa pet, check kwenye google
Mbona kuna Mmasai mmoja anafanya kazi PPF alikuwa anakaa Tabata Makuburi zilikuwa zake sana kutembea na mbuzi!! Ilifika wakati alikuwa anaongea nae kabisa!!
Follow Us Here