Re: Wikileaks diplomatic cables release 'attack on world'

By
Tata
Swali langu ni kuwa mbona kuna majina yamefichwa kwenye hizi cables kwa kutumia XXXXXXXXXXX. Je huku si kuchakachua? Mbona za mataifa mangine wametaja na majina ya wahusika lakini hizi zetu wameficha?
Na mimi najiuliza jambo hilo hilo. Labda kwa sababu bado kuna kesi mahakamani!
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Follow Us Here