Very interesting mjadala.
Mi ninachoweza kuandika hapa ni kwamba, sihitaji uraia wa nchi nyingine, lakini vile vile sioni kwa nini serikali ikataze watu wasiwe na dual citizenship. Watu wamekwenda nje kujitafutia riziki. Period. au tunafurahi tunapoona wachache wanafaidi jasho letu na maelfu ya vijana wana piga deiwaka mjini? wakiomba fegi? waacheni kama wana namna ya kuikimbia nchi na wakifika huko wakakumbuka kwao kwa kusupport familia zao, ubaya uko wapi? Watanzania tuamke tuache WIVU kama watu wamehangaika kupitia conventional na non-conventional means wakafanikiwa kwa nini tuwe na roho ya kwanini? especially kuhusu swala la kwenda njee.
Right, wengine wamezamia, wengine wamekuja huku ndo ikawa hivyo wakajiestablish huku, jamani, whats wrong kuwaruhusu kuwa na uraia wa nchi mbili? Hawa wahindi kibao walioko Tanzania wana uraia wa India, UK, USA na wana-repatriate hela zetu kama kawaida! hawa ndo wazelendo tunaowaongelea? Kwa nini Watz/Waafrika tuko tayari kuona aneyefanikiwa ni mwinnge lakini asiwe mwenzetu? Africans we have along way to match!
Mwanakijiji, sio kila kitu Nyerere alichokisema kinaconstitute basis ya taifa letu, yeye alikuwa ni binadamu kama sisi kuna mema mengi aliyafanya na kuna mengine mengi alichemka! na impact tunaishi nayo mpaka leo. Ni vema kuliko kuwa na fikra mgando, tubadilike na kile kinachoweza kutuletea tija kama taifa na sio kujustify vitu kwa theories za mwaka 60! na kutumia maneno matamu ya uzalendo kuumiza wale wenye nia ya kujikomboa kwenye huu umaskini wa kutisha.
Well, nchi ambazo zimeruhusu huu mfumo, zimeathirika vipi? huo uzalendo tunaoupigia kelele siku zote, nani mzalendo Tanzania?niambieni!!! who is a patriot? wanaoiba mabillion BOT na mikataba feki au? au wanao kaa Tanzania wakifanya kazi serikalini, ndo wazalendo?, tuache unafiki!!! kama hii itawasadia wachache, let it be, after all hao wachache ni watanzania bado. Lets wake up...jamani hili halihitaji mtu kwenda darasani! Naamini Law reform Commission wameshatumia mabillion ya kodi zetu kuzungukia nchi kibao ambao wana hii dual nationality, kwa hiyo wao kupendekeza hili swala serikalini wameona impact yake.
I dont want to dismiss those who don t agree with this, lakini ukweli unabaki pale pale, wengi ambao hawataki hii kitu ni kwa sababu ya ROHO YA KWANINI! Watanzania tubadilike tukubali kwamba we either live together as brothers and sisters or perish together as fools!!! And Iam afraid, the latter is more appealing option for most of us.
Follow Us Here