JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

  Report Post
  Page 1 of 9 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 171
  1. RUTAJUMBUKIRWA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 187
   Rep Power : 0
   Likes Received
   87
   Likes Given
   9

   Default Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s.

   He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate!

   The president also said that mtikila tried to regionalize the hate and his government (Tanzania) said nothing and did nothing ABOUT IT.

   It should be recalled that Mtikila used Jamii Forum and wavatu to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go.

   Mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!

   ----------
   Mtikila's allegations - http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...-tanzania.html


  2. kinauche's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 3,564
   Rep Power : 1249
   Likes Received
   724
   Likes Given
   17

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   So?

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

  3. kim jong un's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Posts : 334
   Rep Power : 496
   Likes Received
   86
   Likes Given
   16

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   hi kagame
   Dr.W.Slaa likes this.

  4. MTAZAMO's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 7,664
   Rep Power : 101325070
   Likes Received
   4642
   Likes Given
   9031

   Default

   Quote By kinauche View Post
   So?

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   Ujue Mtikila ni mtu wa aina gani!

  5. MTAZAMO's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 7,664
   Rep Power : 101325070
   Likes Received
   4642
   Likes Given
   9031

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Hizi zinageuka kuwa tuhuma dhidi ya JF tena?

   cc Invisible
   Invisible likes this.

  6. Kansime

  7. Kimweli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2011
   Location : Tanzania
   Posts : 469
   Rep Power : 541
   Likes Received
   81
   Likes Given
   14

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Mtikila hana tofauti kabisa na Pinda, Lusinde including Lukuvi. Maneno yao niyauchonganishi sana na hayapaswi kunakiriwa kwa vizazi vijavyo

  8. Songoro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2009
   Posts : 3,226
   Rep Power : 0
   Likes Received
   925
   Likes Given
   59

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Mtikila ni Mhutu aliezaliwa na kukulia Ludewa so Ubaguzi upi kwenye Chamber za Moyo na akili yake ila kwa Kagame lazima aburuzwe!

  9. kinauche's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 17th October 2012
   Posts : 3,564
   Rep Power : 1249
   Likes Received
   724
   Likes Given
   17

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Quote By MTAZAMO View Post
   Ujue Mtikila ni mtu wa aina gani!
   Mtikila ninamfahamu kwa sehemu. Huwa anapenda kutumika bila kujali madhara yake. Siyo hilo tu. Ni mtu anayependa umaarufu kwa kudandia mgongo wa wenzie. Lakini ni mtu mwongo. Nisichofahamu kuhusu Mtikila ni kwamba kanisa analochunga linaitwaje na liko wapi? Nina wasiwasi na uchungaji wake. That is what I can say about Mtikila for now.

   Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   Jasusi and MTAZAMO like this.

  10. JUKWE's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th October 2011
   Posts : 16
   Rep Power : 451
   Likes Received
   5
   Likes Given
   17

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Kama ni kweli KAGAME naye siku hizi anafanana na watu flani hivi wa CCM kutoka kwa kikwete mpaka kwa mtilila

  11. bornagain's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2012
   Location : Nyakanazi - Biharamulo
   Posts : 2,745
   Rep Power : 981
   Likes Received
   893
   Likes Given
   682

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Quote By RUTAJUMBUKIRWA View Post
   Kagame has said Mtikila has extreme genocide ideology, similar to what was promoted in Rwanda in 1960s. He said this at a press conference, adding that Mtikila published an article, calling Tutisi snakes, that they don't deserve to live, and showed great hate! The president also said that mtikila tried to regionalize the hate and his government (Tanzania) said nothing and did nothing ABOUT IT. It should be recalled that Mtilkila used Jamii Form and wavatu to dehumanize tutsis as a tribe, while commenting on eviction of Wasukuma from forests in Kagera. The article breached one of the rules of Jamii Forums that is against use of hate speech, bigotry and promoting hatred and racism on the forums. But since those who were attacked were Tutisis, then it was allowe to go. mtikila appealed to his readers that Bantu were one against non-bantu Tutsis!
   Kwa nini na hapa mheshimiwa sana Kagame asiseme “utter nonsense”, “We can go back to our mountains and grow our potatoes. We did it and we survived,”? Read between the lines maana I believe there is story behind the story maana Mtikila huwa hakurupuki tu
   “A celebrity is a person who works hard all his life to become well known, then wears dark glasses to avoid being recognized.”

  12. TANMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Tanzagiza
   Posts : 7,827
   Rep Power : 2416168
   Likes Received
   3359
   Likes Given
   4445

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Kagame, Kagame, Kagame... Poor you
   Do Something......

  13. DOUGLAS SALLU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th November 2009
   Posts : 4,539
   Rep Power : 1535
   Likes Received
   430
   Likes Given
   1065

   Default

   Quote By bornagain View Post
   Kwa nini na hapa mheshimiwa sana Kagame asiseme “utter nonsense”, “We can go back to our mountains and grow our potatoes. We did it and we survived,”? Read between the lines maana I believe there is story behind the story maana Mtikila huwa hakurupuki tu
   Mtikila wa sasa siyo yule wa enzi za 1992---------, huyu wa sasa ni mropokaji na yuko sokoni ananunulika kama njugu.CCM wanamtumia kama kondom.

  14. Kimbunga's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Lyakanyasi
   Posts : 8,533
   Rep Power : 6441
   Likes Received
   3775
   Likes Given
   1169

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Mbona Kagame anarukia kila mtu siku hizi? Na jamiiforum yetu nayo inahusishwa? Ngoja Mtikila akitoka atakakotoka. Kagame anajitafutia kesi manake Saa ya Ukombozi kwa kesi hawezekani na bahati nzuri huwa anashinda? Ngoja Kagame aburuzwe Mahakama ya Afrika
   CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

  15. Pukudu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2011
   Location : Maskani.
   Posts : 1,779
   Rep Power : 1568
   Likes Received
   598
   Likes Given
   182

   Default re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   mmoja atuekee hyo link ya hate speech niione kabla na mimi sijautter nonsense
   If I agree with you both we'll be wrong...(Kama nikikubaliana na wewe wote tutakuwa tumepotoka)

  16. Dangote's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th March 2012
   Posts : 204
   Rep Power : 462
   Likes Received
   69
   Likes Given
   0

   Default Re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Aliyekua bodyguard wake kagame amekiri kua kagame anahusika na mauaji ya kimbari ya rwanda jamaa kataja hadi majina ya watu wote walioshiriki kwenye mpango huo,naona kagame anahaha tu ukweli ni kua damu ya waliopoteza maisha itaendelea kumuandama jk kamshika pabaya

  17. bitete's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th January 2013
   Posts : 88
   Rep Power : 397
   Likes Received
   16
   Likes Given
   34

   Default

   Quote By Dangote View Post
   Aliyekua bodyguard wake kagame amekiri kua kagame anahusika na mauaji ya kimbari ya rwanda jamaa kataja hadi majina ya watu wote walioshiriki kwenye mpango huo,naona kagame anahaha tu ukweli ni kua damu ya waliopoteza maisha itaendelea kumuandama jk kamshika pabaya
   kumbe wewe ni tajiri wa kifedha lakini maskini wa kifikra...poor you
   Jasusi likes this.

  18. Lyimo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2006
   Posts : 3,401
   Rep Power : 26438
   Likes Received
   1700
   Likes Given
   769

   Default Re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Kumbe uchonganishi na upandikizaji chuki wa Mtikila unajulikana vizuri mpaka nchi jirani. Kazi ya mchungaji ni kuwalinda kondoo na si kuwatawanya, sasa tutaanza kumfahamu vizuri jinsi alivyijificha nyuma ya mgongo wa utumishi wa Mungu.
   "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"

  19. simbamzeewamwakidila's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th May 2013
   Posts : 238
   Rep Power : 412
   Likes Received
   26
   Likes Given
   19

   Default Re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Quote By Dangote View Post
   Aliyekua bodyguard wake kagame amekiri kua kagame anahusika na mauaji ya kimbari ya rwanda jamaa kataja hadi majina ya watu wote walioshiriki kwenye mpango huo,naona kagame anahaha tu ukweli ni kua damu ya waliopoteza maisha itaendelea kumuandama jk kamshika pabaya
   Jamani muwe na uvumilivu kupokea mawazo ya wengine kila mtoa wazo ananunuliwa itakuwa kazi kwhyo yeyote humu ndani anakuwa amenunuliws na ule upande anaoucmamia

  20. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,181
   Rep Power : 11227
   Likes Received
   3509
   Likes Given
   2565

   Default Re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Wachungaji ndio walioanzisha "genocide" Rwanda, sasa kinanuka tena. Enyi wachungaji wa kondoo, huko ni kichunga au...?
   gombesugu likes this.
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  21. TUJITEGEMEE's Avatar
   JF Premium Member Array
   Join Date : 6th November 2010
   Posts : 4,032
   Rep Power : 301484
   Likes Received
   957
   Likes Given
   2823

   Default Re: Mtikila has extreme genocide ideology, says Kagame

   Quote By MTAZAMO View Post
   Hizi zinageuka kuwa tuhuma dhidi ya JF tena?

   cc Invisible
   Yes. JF Moderators must respond appropriately these serous accusation from "Kagame".
   MTAZAMO likes this.
   Udadisi.........

  22. Clean9

  Page 1 of 9 123 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...