| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 3346
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hello Morani
Karibu Na Ahsante Kwa Mada Yako Nzuri Kwa Mimi Ninavyojua , Hii Barabara Ya Sam Nujoma Kwanza Tenda Yake Ina Utata Inasemekana Hiyo Kampuni Ya Kichina Ilipata Hiyo Tenda Kutokana Na Gharama Zake Kuwa Ndogo Lakini Inashangaza Kwa Sababu Wafadhili Wa Barabara Hii Ni European Union Sasa Sijui Hapa Ilikuaje Kuaje Na Hawa Eu Wana Masilahi Gani Hapa Mpaka Wakachagua Kampuni Kama Hii . Pili Mimi Binafsi Huwa Napita Barabara Hii Karibu Kila Siku , Hata Sasa Hivi Nimepia Barabara Hii Wakati Nakuja Kupumzika Na Sasa Ni Usiku Ujenzi Unaendelea , Ujenzi Huu Wa Usiku Ndio Unatia Mashaka Pengine Ndio Siri Zinafichwa Sana Hapa Kwa Sababu Usiku Huu Hukuti Mainjinia Wa Kitanzania Ni Wachina Tu Na Vibarua Wao Sasa Wazalendo Wetu Wako Wapi ? Jibu Wanalo Tatu Hatujui Norplan Wana Uzoefu Gani Na Usimamizi Wa Miradi Ya Ujenzi Wa Barabara Hata Hii Kampuni Ya Kichina Pia Hii Nayo Inaweza Kuchangia Mambo Ya Experiance Au Unasemaje ? La Mwisho Na Kumalizia Ni Kwamba Tangia Barabara Hii Inaanza Kujenga Hakuna Mtaalamu Wowote Wa Kitanzania Amewahi Kuongelea Suala Hili Kiutaalamu Zaidi Au Hizi Kampuni Hazina Press Conference Za Kuelezea Maendeleo Ya Maradi Huu Ili Wananchi Waweze Kuuliza Na Kuelimishwa Halafu Mradi Huu Haujulikani Kwa Watu Wengi Zaidi Ya Njia Tu Hakuna Picha Maalumu Akilini Mwa Watu Yaani Njia Itakuwaje Au Utafanyaje Kazi , Wangeleta Simulation Ya Kuelezea Jinsi Mradi Utakavyokuwa , Adhari Zake Kwa Jamii Na Kadhalika Vyote Hivi Hatuna Lakini Mradi Unaendelea Usiku Mwema |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
safi sana mtaaluma ,hii inatakiwa ..kweli jf ni kisima na ma engneer tunao..yupo pia engneer mohamed...
__________________
|
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
tuanahitaji ufafanuzi kama huo kwa maendeleo ya nchi yetu!
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Salaam kwa WanaJambo wenzangu!! Wengi tutakumbuka kuwa muda si mrefu sana uliopita niliweka "post" kuhusu barabara yetu hii ya Sam Nujoma. Nakumbuka wakati ule pamoja na kwamba ujenzi ulikuwa unaendelea, mambo yalikuwa ahueni kuloko sasa. Mheshimwa Rais anajaribu kuweka mandhari mzuri kwa uwekezaji na maendeleo lakini tatizo ni kwamba kuna tatizo kwenye mtandao mzima. Sio madini pekee yanahitaji marekebisho, pia kwenye vitu kama miundombinu kuna matatizo zaidi.... Sasa hatimaye dakika ya 89 ya mechi ya hii barabara imewadia. TANROADS (under new management and technical skills) wanarushiana mpira na wizara husika, kunani??? Someni wenyewe habari hii niliyopata kutoka "www.ippmedia.co.tz" leo:
Last edited by PainKiller; 30th November 2007 at 04:15 PM.. Reason: Quoting.. |
||||||||||||
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Tatizo ni serikali kukumbatia cheap contracts ... na zinazoruhusu baadhi ya maofisa watoa tenda /wasimamizi kuchukua chao katika hizi contracts. Matokeo wakandarasi wanaishia kufanya sarakasi tuu kwenye saiti bila ujenzi wa maana kuonekana.
kampuni za kichina zimetokea kupewa kazi nyingi za ujenzi siku za karibuni lakini utendaji wao umekuwa si mzuri sana. Barabara ya singida walinyan'ganywa wakapewa konoike.. !! |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
tatizo la bongo,pakishakuwa na tatizo tu basi kila mtu atakwambia sio msemaji lakini penye kutafuta ujiko kila mtu atazungumsa hata bila kuulizwa,mimi nafikiri mtu ambaye alipaswa kuzungumzia hii barabara ni site maneger na sio mtu mwingine.yeye ndio anajua mbivu na mbichi,lakini utakutwa anaulizwa waziri au mkurugenzi yeye anajua nini hapa.
|
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nilishangaa watu kuaminishwa kwamba barabara ya Sam Nujoma ingemalizika kujengwa kwa muda huu.. kazi kwenye ile barabara ni kubwa. Inajumuisha kujenga daraja kazi ambayo ni vigumu kuiarakisha. Muda uliokadiriwa nadhani ulikua sio "realistic".
Tuendelee kusubiri, ila watu waache kukurupuka kusema mambo ya kufurahisha umma lakini hayapo "realistic". |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
We Roy,
Muda wa ujenzi wa barabara uliopangwa na kukubaliwa kati ya mkandarasi na mtoa tenda (mmiliki wa barabara)ulijumuisha ujenzi wa daraja, sasa kama wewe unasema daraja linachukua muda mrefu kukauka na kukamilika, ina maana halikuhesabiwa katika muda wa ukamilifu wa kazi? Sioni mantiki hapa. Hii ni tiktak kama zilivyo nyingine katika sirikali yetu, hapa lazima mtu awajibike. Nashangaa kipande cha kilometa nne kinachukua miaka kujengwa, hataka kama ni nia nne, kwa nini? Barabara ya kupitia chuo kikuu inayoanzia pale kituo cha mafuta hadi Ubungo maji, kupitia Survey na chuo cha ardhi ilitengenezwa na Konoike kwa muda usiozidi miezi mitano, kwa nini hii ichukue muda mrefu namna hiyo? Kuna namna hapa. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Bottom line, we are not serious!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:43 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||