JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti la Tanzania Daima: What's up?

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 59
  1. Mugongo Mugongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2006
   Posts : 462
   Rep Power : 865
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default Gazeti la Tanzania Daima: What's up?

   A week or so ago, Tanzania Daima, a daily tabloid owned by the wife and child of Mr. Freeman Mbowe, CHADEMA National Chairman, reduced its print order from 20,000 copies per day to 10,000. The big question: what happened?

   Bad business? Bad editorial policy?

   My take:

   1. Tanzania Daima Mbowe alilianzisha vizuri likawa na credibility na a healthy circulation. Alipoanza kuligeuza kuwa kama "Uhuru" la CHADEMA, akawa amefanya kosa kubwa. Lilipoanza kujaza makala za chuki za kina Ngurumo na Kibanda na Mbowe mwenyewe, it started going downhill. My argument has always been that Watanzania don't like "hate rhetoric" specialised by Mbowe, Ngurumo and Kibanda.

   2. Accuracy kwenye coverage ni kitu muhimu sana (hili ndio jambo tunamkazania ndugu yetu Mwanakijiji). Coverage ikiwa ideologically driven, facts are ignored, objectivity thrown out of the window, na headings za makala zinakuwa headlines. That is what has been happening at Tanzania Daima. Gazeti hilo linaongoza kwa retraction rate na kuomba watu misamaha. Kibanda juzi tu kaomba audience na PM kumuomba radhi.

   3. Bickering and backstabbing among the staff at the paper. Watu wanafanya gazeti moja lakini wanatukanana kwa makala kwa pen names. Yote hii ni fault ya Mbowe kwa ku-pick favourites and failure to properly lead his pack of "attack dogs" (this is a metaphor, don't kill me).

   So, what is going to happen? Tanzania Daima will probably wind-up as a business in the next year - or will go down to 2,000 copies and become a fringe paper like Hoja or something like that. Yet another business failure by Mbowe but a greater diservice to the Dar readership as we were getting used to the slant and enjoying the venom.
   Last edited by Mugongo Mugongo; 2nd July 2007 at 14:43.

  2. alles's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2006
   Posts : 462
   Rep Power : 869
   Likes Received
   109
   Likes Given
   72

   Default

   KadaMpinzani,
   Tanzania Daima walitangaza kifo cha AC.Nafikiri hata JF kuna member aliweka front page. or chungulia blog a Michuzi kwa uthibitisho zaidi.
   http://issamichuzi.blogspot.com/

  3. Game Theory's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2006
   Posts : 10,035
   Rep Power : 3481
   Likes Received
   503
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Chuma View Post
   Mugongo, DrWHo, na wengine mnaolaumu TD hoja zenu ni mfu. Magazeti Mengi TZ yameshuka circlation. Najua wengi wa TZ si wasomi wa Magazeti ya maana labda ya shigongo..Mie namuogopa Shigongo kwani ANAHARIBU JAMII. huwezi amin unakutana na kijana wa kike darasa la 7 anasoma shigongo..unategemea nini? Wanafunzi wa VYuo ambao ndio wasomi hawanunui magazeti akinunua ujue either kuna nafasi za kazi au Matokeo ya wanafunzi either wa CHUO,Sekondari. Watu wa mtaani Circulation hutegemea Matukioa ya Siasa yamekwendaje...
   Well, that doesn't stop the fact that TANZANIA DAIMA It is bought by those unfortunates who enjoy its daily supply of garbage.errm i meant RAI of back in time(that said it's still better than TD)

  4. Mugongo Mugongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2006
   Posts : 462
   Rep Power : 865
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   Ha ha ha! I liked the argument whether a drop in circulation by Tanzania Daima from 20,000 copies per day to 10,000 constitute 100% or 50% drop. Yeah, Bush probably won - that Tanzania Daima is going down...

   These chaps are funny. Ukiwaambia gazeti lao linadorora, hawaumizi vichwa kutafuta sababu...wanajibu mbona Rai or Kulikoni or Nipashe or Mwananchi nazo zinadorora!

   Anyway, kuhusu Rai: at its peak lilikuwa 60,000. Baada ya Jenerali Ulimwengu kulifanya kipeperushi chake kugombana na Mkapa, likafikia 18,000 [A lesson for our CHADEMA friends?]. Sasa hivi wana-range kwenye 37,000 - 42,000. Kwahiyo wanaosema linashuka circulation hawana statistics.

  5. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,113
   Rep Power : 87995663
   Likes Received
   24668
   Likes Given
   13382

   Default

   Quote By mugongo mugongo View Post
   A week or so ago, Tanzania Daima, a daily tabloid owned by the wife and child of Mr. Freeman Mbowe, CHADEMA National Chairman, reduced its print order from 20,000 copies per day to 10,000. The big question: what happened?

   Bad business? Bad editorial policy?
   Mugongo, katika maelezo yako hapo juu it seems that there are ONLY two options as to why the circulation inashuka. Hii katika hoja inaitwa "Uongo wa Chaguo Mbili".. commonly known as "False Dichotomy fallacy" as you well know. Hivi ni kweli kwamba sababu pekee za kushuka kwa uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima ni either "Bad Business" au "Bad Editorial Policy"? Kutokana na "your take" inaonekana umeamua kuwa "Bad Editorial Policy" ndiyo chanzo pekee cha kushuka kwa uzalishaji wa gazeti hilo.

   Sasa, to be only fair ndio maana wengine tunauliza hebu tupe perspective kdogo ya hoja yako, je magazeti mengine yote yanafanya vizuri zaidi kuliko Tanzania Daima? If you could provide us with some data that would suggest that the ONLY newspaper that has been forced to cut circulation then we'll have to deal with the question of why so?. But by omitting any kind of comparative analysis of newspapers circulation in Tanzania you intended to leave an impression that ONLY Tanzania Daima is doing bad business.

   Kama lengo lako ulitaka tujadili jinsi gani magazeti Tanzania hayanunuliwi au hayapati faida hadi yanalazimika kupunguza uzalishaji, then mada yako of course ingekuwa na jina tofauti. Lakini inaonekana lengo lako lilikuwa kujadili Tanzania Daima and ONLY Tanzania Daima. Hata hivyo huo ni uchaguzi wako kutokutupa habari zote kwa wakati mmoja na ni mojawapo ya mapungufu yetu ya kibinadamu kwa sababu sometimes when we are reporting things we bring our ouwn prejudices and biases.... na wakati mwingine we don't bring enough information or as accurate information (even when we are trying to make a case for others to be accurate always) as we are supposed to.

   I understand the limitations though...
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  6. Chuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th December 2006
   Posts : 1,463
   Rep Power : 1058
   Likes Received
   16
   Likes Given
   4

   Default

   MKJJ..hujamwelewa Mugongo? yeye anaangalia upande wa Pili. Kimsingi sie wapinzani au wanaTD au whatever tuchukua as positive turekebishe yale yanayoonekana Makosa. Kimsingi kama tukimchukua Mugongo as mpinzani wetu ok, yale yeye haoni kuchuka kwa magazeti yote..Mie ushauri wangu kama watendaji wa TD wapo na wanafuatilia basi wachukulie positively na warekebishe zile kasoro zilizopo na kama hakuna basi Mugongo asiwafanye watu wakose bamia na kauzu wao..

  7. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,113
   Rep Power : 87995663
   Likes Received
   24668
   Likes Given
   13382

   Default

   Chuma...what if there is no problem huko Tanzania Daima ambayo imesababisha na kushuka kwa uzalishaji na hilo linalotokea TD linatokea na magazeti mengine. Vipi kama ndiyo hali ya biashara ilivyo? Kama kuna matatizo mengine ya ndani ambayo naona Mugongo ameyagusia na ambayo ni specifically kwa TD basi hayo hayana budi kuangaliwa na siyo kila mtu anayekosoa anakutakia mabaya.

   Utaona kuwa nimelimit maoni yangu kwenye suala la uzalishaji tu na circulation. Unless someone can show a direct association between personal problems na uzalishaji na hata hilo lazima liwekwe kwenye perspective.

   Sasa nyinyi wapinzani hamna wajibu wa kuona na kukubali matatizo yanapotokea na kuyasahihisha kabla mambo hayajaharibika kabisa.
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  8. Mugongo Mugongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2006
   Posts : 462
   Rep Power : 865
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Mugongo, katika maelezo yako hapo juu it seems that there are ONLY two options as to why the circulation inashuka. Hii katika hoja inaitwa "Uongo wa Chaguo Mbili".. commonly known as "False Dichotomy fallacy" as you well know. Hivi ni kweli kwamba sababu pekee za kushuka kwa uchapishaji wa gazeti la Tanzania Daima ni either "Bad Business" au "Bad Editorial Policy"? Kutokana na "your take" inaonekana umeamua kuwa "Bad Editorial Policy" ndiyo chanzo pekee cha kushuka kwa uzalishaji wa gazeti hilo.

   Sasa, to be only fair ndio maana wengine tunauliza hebu tupe perspective kdogo ya hoja yako, je magazeti mengine yote yanafanya vizuri zaidi kuliko Tanzania Daima? If you could provide us with some data that would suggest that the ONLY newspaper that has been forced to cut circulation then we'll have to deal with the question of why so?. But by omitting any kind of comparative analysis of newspapers circulation in Tanzania you intended to leave an impression that ONLY Tanzania Daima is doing bad business.

   Kama lengo lako ulitaka tujadili jinsi gani magazeti Tanzania hayanunuliwi au hayapati faida hadi yanalazimika kupunguza uzalishaji, then mada yako of course ingekuwa na jina tofauti. Lakini inaonekana lengo lako lilikuwa kujadili Tanzania Daima and ONLY Tanzania Daima. Hata hivyo huo ni uchaguzi wako kutokutupa habari zote kwa wakati mmoja na ni mojawapo ya mapungufu yetu ya kibinadamu kwa sababu sometimes when we are reporting things we bring our ouwn prejudices and biases.... na wakati mwingine we don't bring enough information or as accurate information (even when we are trying to make a case for others to be accurate always) as we are supposed to.

   I understand the limitations though...
   Nimekupata. Bongo magazeti siku hizi dili. Look, the major mainstream Swahili dailies in Bongo are Mwananchi, Tanzania Daima, Nipashe, HabariLeo, Majira and Mtanzania. All are doing fine...steady printing some nudging up a bit, some with high return percentage - depending on the day's weather. But, the reduction in print order from 20,000 copies to 10,000 is significant, therefore worth discussing, regardless of how other papers are doing.

   And, I don't think I am compelled to be "balanced". I present the picture as I see it, and the whole point of the forum is that others should present their "own take". And none should be condemned for his or her take.

  9. The Invincible's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2006
   Location : Online
   Posts : 3,215
   Rep Power : 1443
   Likes Received
   486
   Likes Given
   1

   Default The only credible paper now is TD

   Pamoja na mapungufu ya hapa na pale, Tanzania Daima ndilo gazeti lilibakia linalodiriki kuisema serikali hata ikasikia maumivu ya mwiba.

   Kwa kuwataja wahusika watatu wa TD: Kibanda, Ngurumo, na Mbowe, then haikuwa ngumu kuona sababu ya mugongo kuandika alichoandika.
   Jiunge na timu ya kuondoa CCM madarakani

  10. The Invincible's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2006
   Location : Online
   Posts : 3,215
   Rep Power : 1443
   Likes Received
   486
   Likes Given
   1

   Default Still no statistics on other dailies

   Quote By mugongo mugongo View Post
   Nimekupata. Bongo magazeti siku hizi dili. Look, the major mainstream Swahili dailies in Bongo are Mwananchi, Tanzania Daima, Nipashe, HabariLeo, Majira and Mtanzania. All are doing fine...steady printing some nudging up a bit, some with high return percentage - depending on the day's weather. But, the reduction in print order from 20,000 copies to 10,000 is significant, therefore worth discussing, regardless of how other papers are doing.

   And, I don't think I am compelled to be "balanced". I present the picture as I see it, and the whole point of the forum is that others should present their "own take". And none should be condemned for his or her take.
   Spinning at its best!
   Jiunge na timu ya kuondoa CCM madarakani

  11. Mugongo Mugongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2006
   Posts : 462
   Rep Power : 865
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Invincible View Post
   Pamoja na mapungufu ya hapa na pale, Tanzania Daima ndilo gazeti lilibakia linalodiriki kuisema serikali hata ikasikia maumivu ya mwiba.

   Kwa kuwataja wahusika watatu wa TD: Kibanda, Ngurumo, na Mbowe, then haikuwa ngumu kuona sababu ya mugongo kuandika alichoandika.
   Actually, Mwananchi ndio a better daily na ambalo criticism yake kwa Serikali inaweza kuwa more painful. Siku hizi Bongo, TD linachukuliwa kama "Uhuru" la CHADEMA, a mere propaganda rag, ambalo it is expected to be malicious...and with this drop in readership, it is becoming irrelevant.

   The Mbowe-Kibanda-Ngurumo trinity you mentioned is the most responsible for the current sad state of affairs at TD.

  12. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,113
   Rep Power : 87995663
   Likes Received
   24668
   Likes Given
   13382

   Default

   Quote By mugongo mugongo View Post
   And, I don't think I am compelled to be "balanced". I present the picture as I see it, and the whole point of the forum is that others should present their "own take". And none should be condemned for his or her take.
   Wow... sometimes I wonder who uses ur name here...
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  13. Mlalahoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2006
   Location : London, UK
   Posts : 2,069
   Rep Power : 1605
   Likes Received
   327
   Likes Given
   176

   Default

   Kwa mtu anayependa kufahamu habari ambazo serikali isngependa zifahamike,then kuyumba kwa circulation ya Tanzania Daima sio habari njema (ikumbukwe kuwa mwanzisha thread hajatupatia uthibitisho wowote kuhusu habari hiyo,but for the sake of discussion let's assume kuwa ni ya kweli).

   Circulation ya gazeti inakwenda hand in hand na readership,na tunapaswa kufahamu kuwa moja ya biashara zinazoumiza sana vichwa ni hiyo ya magazeti hasa kwa vile sio kuwa watu wanapenda kusoma magazeti ya bure (angalia wanavyojazana kwenye vijiwe vya kuuza magazeti) bali kukosa uwezo wa kifedha.Hivi gazeti kwa sasa linagharimu kiasi gani na nauli ya daladala ni kiasi gani.Definitely,hakuna mwananchi wa kawaida ambaye atakuwa tayari kununua gazeti then atembee kwa mguu.Makali ya bajeti yaeanza rasmi jana na muda si mrefu baadhi ya magazeti yatalazimika kuongeza bei za magaeti yao ili kumudu gaharama hizo ambazo ni pamoja na printing,usafiri,nk.

  14. The Invincible's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2006
   Location : Online
   Posts : 3,215
   Rep Power : 1443
   Likes Received
   486
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By mugongo mugongo View Post
   Actually, Mwananchi ndio a better daily na ambalo criticism yake kwa Serikali inaweza kuwa more painful. Siku hizi Bongo, TD linachukuliwa kama "Uhuru" la CHADEMA, a mere propaganda rag, ambalo it is expected to be malicious...and with this drop in readership, it is becoming irrelevant.

   The Mbowe-Kibanda-Ngurumo trinity you mentioned is the most responsible for the current sad state of affairs at TD.
   Ningeweka Mwananchi nafasi ya pili baada ya Tanzania Daima. Kwa serikali inayopenda ujiko; na isiyovumilia kukosolewa kama hii ya JK, gazeti la Mwananchi lingekuwa mwiba kwao lingeshaonywa long time.

   Wewe unauona huo utatu (mtakatifu) kama sababu ya kushuka mauzo.....hapa pana utata.

   Mimi kadiri nisomavyo magazeti ya Bongo: Waandishi binafsi wakali, Kibanda ni mmojawapo. Ngurumo pia. Mbowe, labda sio mwandishi wa habari; lakini mjenga hoja mahiri. Kwa magazeti mengine wapo akina Mruma, Makwaia, Halimoja, nk.

   Wakati wewe unawaona hao kuwa ndiyo sababu ya kuharibika kwa biashara; mimi nawaona kama ndiyo roho au injini ya gazeti.
   Jiunge na timu ya kuondoa CCM madarakani

  15. Mtanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2006
   Location : UK
   Posts : 5,456
   Rep Power : 5734
   Likes Received
   499
   Likes Given
   123

   Default

   Jamani,

   Msiwe kama Mugabe, kama Bush aliiba kura na yeye ruhusa kuiba kura. Kila wakimwuliza suala la demokrasia anasema hata USA demokrasia si kamili.

   Kama wasomaji wa hilo gazeti wanapungua, hapo kuna issue. Huenda hilo si tatizo kwasisi kwasababu hatuna share huko lakini kwa management yao na hata wafanyakazi wao naona hapo kuna tatizo.

   Msianze kusema RAI nao nk. nk. Lini mtajifunza kukubali ukweli hata kama unauma?

  16. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,113
   Rep Power : 87995663
   Likes Received
   24668
   Likes Given
   13382

   Default

   Mtanzania unasema ambacho hata Mugongo hakikusema. Wewe unasema with authority "kama wasomaji wa gazeti hilo wanapungua, hapo kuna issue". Now how did you figure that out.. did you take into account kwamba watu wengine hawasomi magazeti ya karatasi na badala yake wanasoma online?

   Kumbuka hoja ya Mugongo siyo "wasomaji wamepungua" bali "uzalishaji umepunguzwa". Hizi ni hoja mbili tofauti. Mugongo amesema kuwa uzalishaji umepunguzwa toka 20,000 hadi 10,000; je hiyo ina maana usomaji umepungua? Inawezekana kuwa zile 10,000 zilikuwa hazisomwi anyway!

   So, tujaribu kuangalia kwa mapana yake.
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  17. Mugongo Mugongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2006
   Posts : 462
   Rep Power : 865
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   Mtanzania unasema ambacho hata Mugongo hakikusema. Wewe unasema with authority "kama wasomaji wa gazeti hilo wanapungua, hapo kuna issue". Now how did you figure that out.. did you take into account kwamba watu wengine hawasomi magazeti ya karatasi na badala yake wanasoma online?

   Kumbuka hoja ya Mugongo siyo "wasomaji wamepungua" bali "uzalishaji umepunguzwa". Hizi ni hoja mbili tofauti. Mugongo amesema kuwa uzalishaji umepunguzwa toka 20,000 hadi 10,000; je hiyo ina maana usomaji umepungua? Inawezekana kuwa zile 10,000 zilikuwa hazisomwi anyway!

   So, tujaribu kuangalia kwa mapana yake.

   Mzee Mwanakijiji,

   I think you are trying to stretch the argument, and it is becoming academic now. Kupunguza print order kwa kiasi hicho kunaweza kutokana na sababu kadhaa mojawapo ikiwa ni kwamba wasomaji wamepungua sana kwahiyo returned copies (copies ambazo mmechapisha na mmeziweka mtaani kwa matumaini ya kununuliwa lakini hazikununuliwa) ni nyingi kupita kiasi. A single digit return percentage rate is a healthy one na wachache sana wanafikia hiyo Bongo.

   Hii habari kwamba prints zimepungua kwasababu wasomaji wengi ni wa kwenye internet, I don't buy it.

  18. Mzee Mwanakijiji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2006
   Location : Kijijini
   Posts : 32,113
   Rep Power : 87995663
   Likes Received
   24668
   Likes Given
   13382

   Default

   mugongo katika ulimwengu wa biashara mambo mengi yanawezekana...that is all am saying
   [email protected]
   The Best of Tanzanian Socio-Political Blogging - http://www.mwanakijiji.com

  19. Mtanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2006
   Location : UK
   Posts : 5,456
   Rep Power : 5734
   Likes Received
   499
   Likes Given
   123

   Default

   Mwanakijiji,
   Nafikiri unajua wazi mambo ya supply and demand. Kama wamepunguza idadi ya copies wanazo print kwa siku ina maana moja tu kwamba hata wasomaji au wanunuaje wamepungua.

   Kwa mtu aneyejua uchumi atakuambia hapo wanajaribu kupunguza variable cost.

   Kwa wahandisi wanasema kama kinafanya kazi usikiguse. Kama hao wenye gazeti wameamua kupunguza copies ina maana kuna issues.

   Sasa kwanini wasomaji wamepungua? Hilo ndilo jambo la pili. Lazima ukubali kuna tatizo ndio unaweza kuanza kufanya uchunguzi wa kina. Huo uchunguzi wa kina ndio utakuambia kama sio kwamba wasomaji wamepungua bali wengi wanasoma online, sasa kama wengi wanasoma online utafanyeje ili kulinda maslahi ya stakeholders?

   Kuendelea kukataa hata ukweli ambao unajulikana ni yale yale ambayo tunawalaumu kila siku akina Lowassa. Kama alichosema Mugongo Mugongo ni sahihi basi hao Tanzania Daima wana matatizo na wanahitaji hatua za haraka kuyatatua.

   Sisi tunaweza kubishana hapa lakini hizo ni kazi na pesa za watu, kwahiyo Tanzania daima inabidi waanze kuchukua hatua na sio kufikiria tu hata RAI nao wamepunguza print nk. nk. Hutatui tatizo kwa kuchekelea weakness ya jirani yako.

  20. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1592
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default

   Wandugu!
   1. Credibility of data- of declining readership Tanzania Daima 100%. What is the reliability of data source? Because in relation to BoT scandle kuna wadau wnasema limenunulika zaidi!
   2. Wanaotumia mtandao Tz ni kiduchu- ni elite wachache tu wa Dar, Ar, Mz na Ms. What is the proportion ya wasomaji online in relation to total readership?
   3. May be watu hawana pesa kununua gazeti (hali ngumu eti!)- so there may be no correlation kati ya kupungua readership (100%?) ya TD na kupungua kwa skills za uandishi.
   4. Other factors be constant- time may give us some more light!
   Je mwaonaje?

  21. BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,970
   Rep Power : 429505982
   Likes Received
   26189
   Likes Given
   28962

   Default

   Nimewahi kusoma kwamba magazeti mengi yenye heshima duniani katika nchi mbali mbali circulation yake imepungua sana. Katika nchi za magharibi inadaiwa ni kwa sababu ya mtandao kwani mengi yanapatikana huko hivyo wasomaji wa magazeti hayo hawaoni haja ya kuyanunua. Kwa hiyo basi inawezekana kabisa wasomaji wengi wa Tanzania Daima wanasoma gazeti hili kwenye mtandao badala ya kununua na hivyo kuaffect mauzo ya gazeti hilo.

   Kuna mengine yameanza kucharge mtandaoni kwa zile habari wanazodhani zina mvuto mkubwa kwa wasomaji wengi. Huwezi kusoma article walizozuia mpaka uwe mteja wao wa kulipia mtandaoni, lakini wasomaji nao wamekuwa wajanja ukiona article ambayo huwezi kuisoma basi unachukua kichwa cha habari unagoogle na articles kibao zitakuja ambazo unaweza kusoma bila kulipia.

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Gazeti la Mbowe TANZANIA DAIMA
   By woyowoyo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 20
   Last Post: 20th September 2011, 14:35
  2. Gazeti la Tanzania daima
   By everybody in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 11
   Last Post: 25th April 2011, 15:33
  3. Gazeti la Tanzania Daima Linahujumiwa
   By STEIN in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 14
   Last Post: 1st March 2011, 14:19
  4. Uongo wa gazeti la Tanzania Daima
   By BULLDOZZER in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 97
   Last Post: 21st January 2011, 13:28
  5. Tanzania daima ni gazeti la udaku au?
   By Freetown in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 16
   Last Post: 27th October 2008, 22:07

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...