| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 4591
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwani kosa ni lako basi...!
Hujui mwanga kama hujaona giza. kwenye shairi lako hukumalizia vizuri, kuwa ulishawahi kula chakula cha mchana kwake...! Pale umaandika njaaaaa tu mshikaji...! Unahitaji fimbo kama mtoto wa shule, |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Shairi ungeanza:-
ALiuza mashirika yote ya Tanzania. Akajipa mgodi wa Kiwira. Akajipa nyumba za serikali. Akawapa Wazungu migodi yetu na ardhi ya bure wachimbe madini. Akauza Kilimanjaro Hotel mara tatu na huku sasa twalipa fidia wale wawili wa mwanzo. Akawapa Wajanja kiwanja cha ndege cha KIA kwa bei ya dola 1,000/ kwa mwaka. aka-EPA hela zetu bale BoT. Aka DEEPGREEN hela zetu. Aka MEREMETA hela zetu na madini. Kama hiyo haitoshi, akaanza kushirikiana na wajanja wachache kuuza silaha ili majirani zetu wachinjane huku akilitumia JWTZ na usalama wa Taifa. Akitumia JWTZ, alinunua RADAR kwa bei ya juu kuliko inavyotakiwa. Akajinunulia na dege bofu bofu. Alim-fisadisha Mzindakaya ili a-shut up. Na hii yote na yote uliyoandika na yale yote hatukuyaandika, ALILIPWA MSHAHARA WA WALIPA KODI. Makonde siku moja atakiona cha ntema kuni njomba.
__________________
.... hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye nimiongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za rostam wakati wa kampeni (By: Game Theory) |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Alikuwa Amiri jeshi mkuu wa majeshi na wapiganaji aliyeongoza kwa ufanisi mkubwa mauwaji ya raia wasiokuwa na hatia Januari 26/27/2001, kule kisiwani Pemba, huku vikosi vyake vya Polisi vikitembeza bakora,vigongo na mabomu ya kutoa machozi katika mitaa ya Darajani na Mtendeni.
Mauwaji ya Waislamu wa Mwembechai hayatafuta sifa yake nzuri ya ukatili wa utawala wake. Manyanyaso kwa wanataaluma na waandishi wa habari waliotumia haki yao ya kidemokarasi ya uhuru wa kutoa maoni hayatasahaulika hasa madhila ya kutaabishwa katika nchi yao wenyewe akina Jenerali Ulimwengu na Mar. Adam Mwaibabile Mwana R.I.P. |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
ni raisi mstaafu wa tanzania ambaye atakufa na laana ya watanzania kama hato omba/kutubu dhambi zake akiwa hai
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kaniki,
Ungemalizia kwa kibwagizo kuwa huyu ni kuku aliyekula mayai yake mwenyewe. Hapo ungeeleweka. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nakuunga mkono kuhusu uwezo alioonesha Benjamin Mkapa katika utawala wake, hasa kurudisha sifa ya Tanzania nje. Alijaribu na kufanikiwa kutupaka mafuta. Alihubiri demokrasia, alihubiri uwazi na uwajibikaji, alihubiri kuchukia rushwa na aliweza kudhibiti mfumuko wa bei.
Lakini miaka michache ya uongozi wake alionesha udhaifu mkubwa wa uenyekiti wa chama, urais na alituvuruga sana na kutuwekea matatizo ambayo mpaka sasa tunaendelea nayo. Under his watch Tanzania imepata uongozi wa ajabu sana, sasa hivi tunakuwa kama watoto. Kwa hiyo lazima tumuangalie kwa pande zote. Kwake kupambana na ufisadi kulilenga zaidi kupambana na rushwa wanayopokea mahakimu, au rushwa ndogondogo lakini ufisadi ni kama aliubariki. |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kaniki,
Kwanini unapenda kujiunganisha kwenye laana ya Watanzania dhidi ya Mkapa? Hututakuhukumu kwa sasa, inaonekana wewe hauishi TZ kabisa. Kama Nyerere alivyosema, ikulu ni mahali patakatifu- Mkapa alipafisadi pale! Angalia mawaziri na maofisa wa serikali yake, wako mahakamani! Hata hizo statistics unazotoa, mfano inflation- aliyekuwa anazitoa si Balali? Zimepikwa tu kuwadanganya wananchi. Mkapa has a case to answer, hakuna immunity hapa! |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Inawezekana huyu mtoa aliwahi kula lunch ya huyu jamaa, yaani madudu yote ya che Nkapa hayaoni? Simulazimishi kuyaona ila mzee angalia hata mahali pa kutetea,sikulaumu kama ambavyo simlaumu mbunge wa Kgm mjini alivyomtetea jana bungeni. Mkapa ana mambo mengi ya kujibu.
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Good post kaniki.
Unajua ninachofurahi ni kuwa huyu jamaa anayelaumia yupo, anaishi, anadunda, vongozi waliokuwa wamkamat kaa amekosea wapo nao wanaishi! Tutaendelea kulalamika na kulaumu tu hapa, TUNA RAIS YUPOYUPO TU KAMA SANAMU, watu watasubiri kumlaumu akitoka kwenye uongozi. JK huwazi ku-mquote kila siku anatoa pumba JK hana unaloweza kujivunia kuwa tuna kiongozi IQ ya JK is remotely far lower than BMW. KWA MIMI MTANZANIA MMOJA, NINAPOONA KUWA WATANZANIA WENZANGU WALIMWEKA JK! then MTU AKANIPA NAFASI YA KU-COMPARE KATI YA HAWA WAWILI, MKAPA KWAMWACHA MBALI SANA JK! Kuhusu kuuzwa viwanda kosa lilifanyika na akina Mwinyi kukubali globalisation! BWM alikuwa mkweli , mchapakazi na ailsimamia maamuzi yake hii ndio sifa ya kiongozi, hatukuona ujinga wa kujadili mahakama ya kadhi au ya kikristo hakuwa ana muda huo Tutatukana na kusema lolote, tukubali kuwa sisi wenyewe watanzania ndio tuna makosa SASA KAMA MTU ALIONA MKAPA ANA MATATIZO NDIO MKAMKWEKA JK KUREKEBISHA?????????????????????LOL! Tujadili mzizi wa matatizo, system zetu, sheria zetu lakini kwa yeyote mwenye akili BWM hatasahaulika kwa mazuri aliyotenda TZ. Na kama kuna mabaya mimi siamini mpaka aende jela! ndio nitaamini VIZAZI VIJAVYO VIKITUULIZA KUWA ETI MKAPA ALIIBA?? TUTASEMA NDIO?? NA WAKITUUULIZA JE WALE VIONGOZI WALIOKUJA BAADA YAKE WALIFANYA NINI walimshtaki?? kimya!!!!! bado mnalaumu wezi Mtanzania bila aibu anasema eti aombe msamaha! haya mawazo ya kifisadi pia! eti MKAPA KAMA KWELI ALIIBA AKIOMBA MSAMAHA BASI IS OK! bado tunasema tatizo ni viongozi hapa?? watz siku zote wajuaji tunamuhitaji MKAPA MWINGINE! Unaweza ukampa MAXIMO cheo cha urais na akafanya vizuri zaidi kuliko JK! Tatizo sisi, mwakani JK anaweza akasema hagombei tunaweza kumpa urais Sofia Simba! sisi!
__________________
‘’I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians’’. Charles De Gaulle (1890 - 1970)
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 03:10 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||