Benjamin William Mkapa nimjuaye... - Page 3 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jamii Intelligence

Jamii Intelligence Serious reports & Discussions on Corruption, Politics etc recommended to our clients! Detailed discussions which you need not to miss

Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 2nd July 2009, 11:56 PM  
Benjamin William Mkapa nimjuaye...
Kaniki1974 Kaniki1974 is offline 2nd July 2009, 11:56 PM

Rais bora wa TZ next to Mwl. J. Nyerere

Aliingia madarakani kwa haki bila rushwa wala kununua vyombo vya habari. Alikuwa na hoja na alieleza WAZI nia yake ya kugombea urais.

Alianza kazi kwa kasi hakungoja wiki mbili au zaidi kupanga baraza la mawaziri.

Aliunda serikali ndogo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.

Alikuwa na falsafa binafsi, dira na msomi aliyependa kusoma na kujifunza.

Akapambana kijemedari kwelikweli na misukosuko ya Reli, MV Bukoba, Elnino na majanga mengine. Akapunguza mfumuko wa bei toka 48% 1994 na kubakia single digit enzi zote za utawala wake.

Akaboresha utumishi wa umma; kapunguza wafanyakazi hewa na kuboresha maslahi.

Akapunguza deni la nje na kuipa Tanzania heshima.

Akajenga miundo mbinu hususan barabara kwa kasi kubwa

Akavutia wawekezaji wenye tija kama TBL, NBC n.k

Akajenga EPZ alipanga zijengwe 22 nchi nzima

Akaimarisha majeshi yetu kwa kuwapatia motisha vitendea kazi na makazi.

Akajenga Uwanja wa Taifa

Akajenga Benki kuu Twin towers na kule Zanzibar. Twin Towers kama Bank of Canada, Toronto (kwa wanaojua)

Alikuwa na hoja zenye mashiko.

Alikuwa kiongozi kweli jasiri, mwenye kujiamini na hakuogopa mihadhara: iwe ya vyama vya siasa, vyuo vikuu au kimataifa. Alikuwa full of substance.

Ujasiri wake hata vita ingetokea enzi zake angetuongoza vyema sana kumshinda adui.

Hakuwa mwongo katika kauli na ahadi zake.

Alikuwa na maadili na na hekima na aliheshimu mamlaka na taratibu zilizopo.

Akawapa nguvu na haki zaidi wanawake.

Alipigania utandawazi kuwanufaisha wengi.

Alikuwa mchapakazi hakuwa mvivu.

Alikuwa makini na alipinga na kukwepa sana matumizi yasiyo lazima ya serikali.

Alisafiri ng’ambo pale tu ilipobidi. Alikaa ofisini na kufanya kazi.

Alijiheshimu hakuwa Fataki.

Hakuwa ombaomba, bali alipenda kujenga uwezo, kujitegemea na kuwasaidia ombaomba.

Akanunua ndege bora ya Rais, mafisadi wakaipinga.

Akanunua rada ya nguvu, mafisadi wakaipinga.

Alikuwa na vyeti vya nguvu na alifuzu vyema masomo yake. Alionyesha uwezo. Alikuwa na speech za kisomi.

Alihakikisha nchi inakaribia kupaa ndio akaikabidhi kwa JK. Tukadhani itapaa.

Na mengine mengi.

Huyo ndiye Benjamin William Mkapa, Rais ninayemkubali na kumrank second. Angekuwepo mpaka leo Tanzania ingekuwa emerging economy I am sure.

Mnaomsema vibaya mshindwe ka kulegea. Hamna shukrani. Ni kiongozi ambaye wanaokumbuka, tunamshukuru sana.
__________________
'The rich of the future are those who are rich in mind'. Winston Churchill

Kaniki1974's Avatar
Kaniki1974
JF Senior Expert Member
Points: 179,782, Level: 100 Points: 179,782, Level: 100 Points: 179,782, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
Join Date: Tue Dec 2008
Posts: 357
Thanks: 25
Thanked 9 Times in 8 Posts
Views: 4597
Reply With Quote
  #21  
Old 3rd July 2009, 10:20 AM
COMRADE44 COMRADE44 is offline
COMRADE44 has no status.
Senior Member
Points: 79,445, Level: 100 Points: 79,445, Level: 100 Points: 79,445, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jul 2007
Posts: 155
Thanks: 46
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 23
COMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enoughCOMRADE44 will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa

Aliruhusu mke wake aibe mchana na usiku hata hela za ngo ya kusaidia yatima na wamama wa kimaasai - "sawa kwa wote" so help us god.
Reply With Quote
  #22  
Old 3rd July 2009, 10:30 AM
MkamaP MkamaP is offline
MkamaP has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 293,065, Level: 100 Points: 293,065, Level: 100 Points: 293,065, Level: 100
Activity: 27% Activity: 27% Activity: 27%
 
Join Date: Sat Jan 2007
Posts: 2,588
Thanks: 48
Thanked 214 Times in 163 Posts
Rep Power: 29
MkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enoughMkamaP will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Mkapa alifanya kitu ambacho kama tungekuwa tunasapoti juhudi hai na endelevu basi tusingemsahau kwa mambo mazuri aliyoyafanya huyu jamaa.

JK anaonekana kutofanya kitu kwa sababu mapengo yanayohitaji kuonekana kama yamefanywa na kiongozi yalizibwa tayari na Mkapa.

Kinachotushinda saa hizi ni sisi wenyewe hakuna wa kumlaumu, matatizo yote ni sisi wenyewe wala hakuna wakulaumiwa, kwanza tujinyoshee vidole sisi wenyewe, sisi tuna matatizo makubwa ambayo hatutaki kuyakubali
Reply With Quote
  #23  
Old 3rd July 2009, 10:55 AM
The Farmer The Farmer is offline
The Farmer is a Scientist
JF Senior Expert Member
Points: 105,583, Level: 100 Points: 105,583, Level: 100 Points: 105,583, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Wed Jan 2009
Location: At the middle of the Farm Yard
Posts: 899
Thanks: 28
Thanked 31 Times in 23 Posts
Rep Power: 23
The Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enoughThe Farmer will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Unajua kuna uwezekano mkubwa sana vizazi vijavyo vikafukua makaburi yetu ili kufanyia uchunguzi mafuvu yetu na kuangalia tulikuwa wapumbavu kiasi gani mpaka mambo yote haya tuliweza kuyaacha tu. KIWIRA Coal Mine na Mkapa ni ndugu moja lakini wabunge wetu wamekaa kimya tu wa hawachukui hatua yoyote ile ya kisheria dhidi ya Mkapa.
__________________
Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb
Reply With Quote
  #24  
Old 3rd July 2009, 11:02 AM
Phillemon Mikael Phillemon Mikael is online now
Phillemon Mikael has no status.
JF Premium Member
Points: 644,482, Level: 100 Points: 644,482, Level: 100 Points: 644,482, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Sun Nov 2006
Location: mwanza,/uk/santa clara
Posts: 3,013
Thanks: 22
Thanked 331 Times in 152 Posts
Rep Power: 30
Phillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enoughPhillemon Mikael will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Quote:
View Post
Rais bora wa TZ next to Mwl. J. Nyerere

Aliingia madarakani kwa haki bila rushwa wala kununua vyombo vya habari. Alikuwa na hoja na alieleza WAZI nia yake ya kugombea urais.

Alianza kazi kwa kasi hakungoja wiki mbili au zaidi kupanga baraza la mawaziri.

Aliunda serikali ndogo kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.

Alikuwa na falsafa binafsi, dira na msomi aliyependa kusoma na kujifunza.

Akapambana kijemedari kwelikweli na misukosuko ya Reli, MV Bukoba, Elnino na majanga mengine. Akapunguza mfumuko wa bei toka 48% 1994 na kubakia single digit enzi zote za utawala wake.

Akaboresha utumishi wa umma; kapunguza wafanyakazi hewa na kuboresha maslahi.

Akapunguza deni la nje na kuipa Tanzania heshima.

Akajenga miundo mbinu hususan barabara kwa kasi kubwa

Akavutia wawekezaji wenye tija kama TBL, NBC n.k

Akajenga EPZ alipanga zijengwe 22 nchi nzima

Akaimarisha majeshi yetu kwa kuwapatia motisha vitendea kazi na makazi.

Akajenga Uwanja wa Taifa

Akajenga Benki kuu Twin towers na kule Zanzibar. Twin Towers kama Bank of Canada, Toronto (kwa wanaojua)

Alikuwa na hoja zenye mashiko.

Alikuwa kiongozi kweli jasiri, mwenye kujiamini na hakuogopa mihadhara: iwe ya vyama vya siasa, vyuo vikuu au kimataifa. Alikuwa full of substance.

Ujasiri wake hata vita ingetokea enzi zake angetuongoza vyema sana kumshinda adui.

Hakuwa mwongo katika kauli na ahadi zake.

Alikuwa na maadili na na hekima na aliheshimu mamlaka na taratibu zilizopo.

Akawapa nguvu na haki zaidi wanawake.

Alipigania utandawazi kuwanufaisha wengi.

Alikuwa mchapakazi hakuwa mvivu.

Alikuwa makini na alipinga na kukwepa sana matumizi yasiyo lazima ya serikali.

Alisafiri ng’ambo pale tu ilipobidi. Alikaa ofisini na kufanya kazi.

Alijiheshimu hakuwa Fataki.

Hakuwa ombaomba, bali alipenda kujenga uwezo, kujitegemea na kuwasaidia ombaomba.

Akanunua ndege bora ya Rais, mafisadi wakaipinga.

Akanunua rada ya nguvu, mafisadi wakaipinga.

Alikuwa na vyeti vya nguvu na alifuzu vyema masomo yake. Alionyesha uwezo. Alikuwa na speech za kisomi.

Alihakikisha nchi inakaribia kupaa ndio akaikabidhi kwa JK. Tukadhani itapaa.

Na mengine mengi.

Huyo ndiye Benjamin William Mkapa, Rais ninayemkubali na kumrank second. Angekuwepo mpaka leo Tanzania ingekuwa emerging economy I am sure.

Mnaomsema vibaya mshindwe ka kulegea. Hamna shukrani. Ni kiongozi ambaye wanaokumbuka, tunamshukuru sana.

mkapa ni stainles steel spoon...haipati kutu ikichafuliwa unaosha ..then twende kazi...kila siku tunatumia na kuichafua lakini inasafishika!!!

wanaompinga mkapa walikuwa na ajenda ya siri ...na walifikiri kazi ya kuongoza nchi ni rahisi...wamegundaa kuwa hafunikiki kwa hila wanaaza kujikomba kwake...tunawajuwa..na kila kitu kinajulikana ....MUNGU ANAMSIMAMIA!!!...hapo ieleweke wazi kuwa mkapa pia si malaika ni mtu ..anayo makosa na alikiri alipoaga...lakini asilani hastahili kusutwa na wajinga wasiojuwa kazi zaidi ya kuongea....ukitaka kumsuta mkapa fanya kazi zaidi yake .....msute kwa kujenga uchumi na miundombinu na maendeleo kwa ujumla .....zaidi ya hapo ni mikingamo isiyokwisha....ukweli utasimama!!...

HONGERA MKAPA ..TUPO NYUMA YAKO WENGI KAMA PISHI LA MCHELE!!!

NAUNGA MKONO HOJA!!
__________________
Reply With Quote
  #25  
Old 3rd July 2009, 11:26 AM
Mfamaji's Avatar
Mfamaji Mfamaji is offline
Mfamaji Is Very very serious against Ufisadi
JF Senior Expert Member
Points: 131,811, Level: 100 Points: 131,811, Level: 100 Points: 131,811, Level: 100
Activity: 6% Activity: 6% Activity: 6%
 
Join Date: Tue Nov 2007
Posts: 546
Thanks: 13
Thanked 96 Times in 44 Posts
Rep Power: 24
Mfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enoughMfamaji will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa

Quote:
View Post
Ben Mkapa,

Alimkabidi mkewe mama Mkapa aka first lady funguo za ikulu yetu akawaenzi akina Maro, akutuibia kwa kutumia mifuko ya kiserilikali, akawapa nduguze tender za kiwizi, akajenga majumba ya kifahari kwa kodi zetu.
umenikumbusha ile kampuni ya S.Africa iliyokuwa inaendesha TANESCO ambapo Maro anasadikiwa kuwa Mkurugenzi. E Bana e
Reply With Quote
  #26  
Old 3rd July 2009, 11:27 AM
Josh Michael's Avatar
Josh Michael Josh Michael is offline
Josh Michael has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 529,142, Level: 100 Points: 529,142, Level: 100 Points: 529,142, Level: 100
Activity: 40% Activity: 40% Activity: 40%
 
Join Date: Fri Jun 2009
Location: Kibandani
Posts: 2,007
Thanks: 1,189
Thanked 197 Times in 152 Posts
Rep Power: 25
Josh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enoughJosh Michael will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Alikuwa ana uwezo wa kufikiria na kurusha makombora kwa wapinzani wake kuwa wana wivu wa Kike, Japo Mkapa alikuwa kiongozi mzuri ana mapungufu yake na haya matatizo yote yanamtoa kuwa Kiongozi hodari na kuwa kiongozi mla rushwa na ufisadi, madudu yote
1 Anben, fonisick, Bank M, Meremeta, EPA, Kuuza nyumba za Serikali, na Madudu mengine kibao ndio yanamtoa Mkapa katika ulingo wa Siasa,
Jamani WanaJF, Hivi wakati ule walitoa watu walikuwa wanamsifu Mkapa kuwa Kiongozi safi mara baada ya kutoka haohao wanaanza kusema kuwa alikuwa Mla Rushwa mkubwa?? Najua hata Mzee mzima wa Kaya JK atakapotoka Madarakani watakuja kusema alikuwa mla rushwa kwasababu serikali katika kipindi hicho iliangushwa na ufisadi wa Richmond, Sisi tunataka watoke sasa na sio Kesho. tuache kuwa Wanafiki kiasi hicho katika siasa zetu
Reply With Quote
  #27  
Old 3rd July 2009, 11:28 AM
PJ PJ is offline
PJ has no status.
Senior Member
Points: 80,419, Level: 100 Points: 80,419, Level: 100 Points: 80,419, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Wed Oct 2007
Posts: 107
Thanks: 18
Thanked 37 Times in 21 Posts
Rep Power: 23
PJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Tatizo la nchi hii hakuna hata kiongozi mmoja mwenye vision. Hakuna ambaye anawaza kwenye akili yake tunataka kujenga Tanzania ya namna gani! Hakuna kiongozi ambaye anafikiria Nitaifanyia nini nchi yangu!! Wanachofikiria ni nini nitapata katika muda nitakaokuwa madarakani!!

Hivyo kampeni za sasa za kujaribu kufunika mabaya yake zinazofanywa na watawala ni njia ya wao vile vile kufunika mabaya yao ili ionekane ni utaratibu wa kawaida na halali kuiibia nchi wakati ukiwa madarakani!!!
Reply With Quote
  #28  
Old 3rd July 2009, 11:41 AM
PJ PJ is offline
PJ has no status.
Senior Member
Points: 80,419, Level: 100 Points: 80,419, Level: 100 Points: 80,419, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Wed Oct 2007
Posts: 107
Thanks: 18
Thanked 37 Times in 21 Posts
Rep Power: 23
PJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enoughPJ will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Quote:
View Post
Jamani WanaJF, Hivi wakati ule walitoa watu walikuwa wanamsifu Mkapa kuwa Kiongozi safi mara baada ya kutoka haohao wanaanza kusema kuwa alikuwa Mla Rushwa mkubwa?? Najua hata Mzee mzima wa Kaya JK atakapotoka Madarakani watakuja kusema alikuwa mla rushwa kwasababu serikali katika kipindi hicho iliangushwa na ufisadi wa Richmond, Sisi tunataka watoke sasa na sio Kesho. tuache kuwa Wanafiki kiasi hicho katika siasa zetu
If you win a hundred times people will keep showering prise on you. If you loose once the same people will forget they ever know you
Reply With Quote
  #29  
Old 3rd July 2009, 11:47 AM
JosM's Avatar
JosM JosM is offline
JosM where do we go? what do we know?
JF Senior Expert Member
Points: 152,694, Level: 100 Points: 152,694, Level: 100 Points: 152,694, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Sat Oct 2008
Location: Dar es salaam/Kampala/lam
Posts: 638
Thanks: 8
Thanked 6 Times in 6 Posts
Rep Power: 23
JosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enoughJosM will become famous soon enough
Default Re: Benjamin William Mkapa nimjuaye...

Wengi wetu tuna mtupia Mkapa lawama nyingi mno,ni kweli amefanya mengi mazuri sana ya kukumbukwa,na amefanya mengi ambayo sasa ndio tunaona hadhari zake.kwangu binafsi naona Mkapa ni rais ambae ametutoa kwenye hali mbaya ya umaskini na kutufikisha hapa tulipo sasa.Mkapa uwezi kumlinganisha na JK.Jamani tusiwe wachoyo wa fadhila,tuangalie ni uhuzo alioufanya mkapa kwenye kipindi chake cha miaka kumi,na tuangalie uhozo uliofanyika kwa kipindi cha miaka 4 ya JK.Hapo ndipo utakapo pata jibu sahihi.
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.

Last edited by JosM; 3rd July 2009 at 11:58 AM..
Reply With Quote
  #30  
Old 3rd July 2009, 11:55 AM
Invisible's Avatar
Invisible Invisible is offline
Invisible is around but busy!
Robot
Points: 6,323,727, Level: 100 Points: 6,323,727, Level: 100 Points: 6,323,727, Level: 100
Activity: 10% Activity: 10% Activity: 10%
 
Join Date: Sat Feb 2006
Location: Here...!
Posts: 6,045
Thanks: 505
Thanked 1,445 Times in 430 Posts
Rep Power: 100000
Invisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of lightInvisible is a glorious beacon of light
Send a message via MSN to Invisible
Default

Pamoja na matatizo yote ya Mkapa, kuna mtu anaweza kutupa walau mambo 10 tu ambayo rais wetu mpendwa JK amelifanyia taifa hili tunapoelekea kufikisha mwaka wa tano?

Binafsi nasema JK is a failure compared to Mkapa. Hata kina Mpendazoe ambao Phillemon Mikael anawakandia wanatumiwa na JK kumwandama Mkapa ili kuficha mapungufu ya JK.

Nipende au nichukie lakini binafsi sifurahishwi na utendaji wa serikali ya JK ambayo ilikuwa inatafuta namna zote za kumpunguza Magufuli lakini Mungu wa Israel na Mungu wa Yakobo bado anamsimamia mtumishi wake Pombe Magufuli.
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
Waliochangia 2010: <--- (click to read)
JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)

24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com

Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
benjamin, mkapa, nimjuaye, william

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Je tuhahitaji tena Ze Utamu? Gembe Habari na Hoja mchanganyiko 420 4th May 2009 06:02 AM
Mkapa amuangukia Kikwete Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 11 24th April 2009 06:12 PM
Tumekusikia Steve Mkapa! Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 15 20th June 2008 02:05 AM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 10:28 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com