Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mawakili wanahusikaje na noti bandia?

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. #1
      Godfrey Electronics's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th March 2012
      Posts : 187
      Rep Power : 399
      Likes Received
      24
      Likes Given
      2

      Default Mawakili wanahusikaje na noti bandia?

      1. Kuna rafiki yangu aliwahi kupewa pesa bandia na aliyempa hiyo pesa 100% alikuwa ni WAKILI.
      2. Kuna watu wawili waliwahi kupelekwa kituoni na wakadai kwamba zile pesa walipokea kutoka kwa mtu, yule mtu alipoulizwa ametoa wapi moja ya watu ambao walimpa pesa ni WAKILI
      3. Niliwahi kupewa noti za bandia na mtu aliyenipa ana ukaribu sana na WAKILI
      4. Kuna kesi inaendelea arusha ya pesa za bandia na anaetuhumiwa ni wakili.
      huo ni uchunguzi wangu.
      je kuna uhusiano wowote?
      Last edited by Godfrey Electronics; 15th June 2012 at 16:43.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Bufa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2012
      Posts : 342
      Rep Power : 428
      Likes Received
      56
      Likes Given
      161

      Default Re: Mawakili wanahusikaje na noti bandia?

      Hapana jua ila ukiunga hizo dots there must something na hawa jamaa.

    4. #3
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,388
      Rep Power : 1264
      Likes Received
      1208
      Likes Given
      1253

      Default Re: Mawakili wanahusikaje na noti bandia?

      may be kuna something..ila nachojua mie ni coincidence tuu

    5. #4
      stroke's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 1,427
      Rep Power : 0
      Likes Received
      153
      Likes Given
      4

      Default Re: Mawakili wanahusikaje na noti bandia?

      HII KESI ya huyu jamaa si money laundering ama ni wa pesa bandia??

    6. #5
      M-bongotz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2010
      Location : Kwa Mtogole
      Posts : 1,521
      Rep Power : 780
      Likes Received
      245
      Likes Given
      13

      Default

      Quote By mkaliwakitaa
      HII KESI ya huyu jamaa si money laundering ama ni wa pesa bandia??
      Waelezee,wakumbushe pia kuwa usilolijua ni kama usiku wa kiza

    7. Miaka 50

    8. #6
      Laigwanan76's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2010
      Posts : 503
      Rep Power : 531
      Likes Received
      98
      Likes Given
      61

      Default Re: Mawakili wanahusikaje na noti bandia?

      Lakini hebu tuambizane,maana kuna siku nimmenda benki kufanya deposit kumwekea mshkaji malipo ya pango,katika hizo elfu kumi moja nikaambiwa feki....jamaa akaipiga matobo na punching machine fasta fasta (mind you hizi hela nimetoka kutoa kwenye counter bank yangu na zimehesabiwa na money counter naona),nikiangalia ngoma noti imetulia kabisa water marks kila kitu poa....kwakweli nilishindwa kuelewa,au kuna hela ambazo bandia amlost genuine?

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...