Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Makomandoo wetu

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 52
    1. #1
      Makwarukwaru's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th March 2012
      Posts : 60
      Rep Power : 375
      Likes Received
      12
      Likes Given
      52

      Default Makomandoo wetu

      Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu.Komandoo ni askari aliepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.

      Zamani ilikua ukisikia komamdoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba,Misri na Israel.Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?

      Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera(kwani siamini kama bado tuko huru)?
      Kaa la Moto, r2ga and MICHAEL JOHN like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Makanyaga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2007
      Posts : 1,039
      Rep Power : 807
      Likes Received
      129
      Likes Given
      475

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By KakaJambazi
      Tatizo maelezo yenu yote yanaelezea eti jinsi gani watatupa kipondo sisi ambao hatuna mafunzo yoyote pindi tuwachokozapo kama justification ya u-fit wao na kwa wote watakaothubutu ulimwenguni, ,duu!
      KakaJahazi;
      Ni kweli ulilosema. Maana sasa tutashindwa kuwatofautisha na mtu mwingine ambaye ana uwezo wa kupigana hata na watu 40 wote wakagwaya. Issue hapa ni je, when it comes kwenye maswala ambayo wamekuwa trained kwa ajili yake, wako fit? Ila mimi kwa upande mwingine nadhani kwenye ukommandoor kuna international standards ambazo bado zinazingatiwa in a strict sense kwamba komandoo wa hapa, US, Israel, India, Pakistan, n.k. hawawezi kutofautiana ujuzi, labda vifaa vya kutumia, na pengine hawa wa kwetu sababu ni watu wanaozaliwa kwenye mazingira magumu tangu wakiwa watoto mchanga, wanaweza kuwa wako fit zaidi kwenye fierce situations kuliko hata wale wa mataifa makubwa, sema tu wanaweza kuzidiwa vifaa vya kutumia, ila kama ni bare foot, bare handed, nadhani hapa tunao wanaoweza kummninya hata chui ukafikiri wanaminya paka!
      anin-gift likes this.
      "Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide

    4. #22
      MD25's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 27th January 2012
      Location : Mugumu, Serengeti
      Posts : 1,914
      Rep Power : 0
      Likes Received
      540
      Likes Given
      66

      Default

      Quote By joely
      mkuu usiwe na mashaka sana, vijana wako sawa kule hakuna siasa.
      Lengo la maonyesho halikuwa kutisha watu, bali zaidi ni kusherehesha, na kunogesha sikukuu.

      Kama hawa mabwana wakifanya vitu serious tegemea yafuatayo
      1. Dar haitakalika
      2. Majirani zetu na maadui + mataifa ya nje watajua yale wasiyotakiwa kujua

      note: Wataalamu wa kijeshi wa mataifa wanaweza kuusoma mchezo kwa kumuangalia mwanajeshi jinsi anavyo tembea, shika siraha, ruka na kujua mengi kuhusu kikosi cahke haya lazima yazuliwe yasitoke nje
      Kwa hiyo mlipokuwa mnavunja tofali kwa kichwa siku ile pale uwanja wa taifa, mlikuwa mna-send message gani kwa hao 'outsiders'?

    5. #23
      joely's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 320
      Rep Power : 498
      Likes Received
      84
      Likes Given
      15

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By MD25
      Kwa hiyo mlipokuwa mnavunja tofali kwa kichwa siku ile pale uwanja wa taifa, mlikuwa mna-send message gani kwa hao 'outsiders'?
      sema walipokuwa sio mlipokuwa (uliniona), bila shaka walikuwa wanataka kuwapunguzia wabongo stress za maisha na kuwapa raha bila shaka ulifurahi sana kwani mpaka leo unakumbuka,

      omba Mungu uwepo tukifikisha Miaka 100, utaona mtu anatafuna chuma kwa meno, in short itakuwa zaidi ya mazingaombwe,

      I WILL BE WAITING YOU THERE
      @ 09/12/2061
      Kaa la Moto likes this.
      NAIPINGA CCM SI KWA SABABU NAICHUKIA BALI KWA SABABU NATAKA KUFAIDI NEEMA ZILIZOWEKWA NA MUNGU KATIKA TANZANIA YETU.

    6. #24
      TANMO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Tanzagiza
      Posts : 5,046
      Rep Power : 7769
      Likes Received
      1808
      Likes Given
      3439

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By joely
      I WILL BE WAITING YOU THERE @ 09/12/2061
      Huo mwaka bado tutakuwepo kweli mkuu?
      Do Something......

    7. #25
      mageuzi1992's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2010
      Posts : 1,856
      Rep Power : 834
      Likes Received
      107
      Likes Given
      67

      Default Re: Makomandoo wetu

      kama hawapelekwi CUBA,CHINA,RUSSIA au US wapelekwe wakaongeze ma ujuzi maana kuna leo na kesho!

    8. Miaka 50

    9. #26
      MORIA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2011
      Posts : 450
      Rep Power : 489
      Likes Received
      149
      Likes Given
      86

      Default

      [QUOTE=joely;3818333][color=#ff0000][size=4]mkuu usiwe na mashaka sana, vijana wako sawa kule hakuna siasa.
      Lengo la maonyesho halikuwa kutisha watu, bali zaidi ni kusherehesha, na kunogesha sikukuu.

      Kama hawa mabwana wakifanya vitu serious tegemea yafuatayo
      1. Dar haitakalika
      2. Majirani zetu na maadui + mataifa ya nje watajua yale wasiyotakiwa kujua

      note: Wataalamu wa kijeshi wa mataifa wanaweza kuusoma mchezo kwa kumuangalia mwanajeshi jinsi anavyo tembea, shika siraha, ruka na kujua mengi kuhusu kikosi cahke haya lazima yazuliwe yasitoke nje
      QUOTE] Hiyo namba 2...'mataifa ya nje' mbona jeshi letu bado ni tegemezi ki technologia nk..miundombinu yake mingi ni ya kurithi kwa wakoloni..tunalo la kuwaficha kweli au porojo tu..viongozi wa jeshi wanaweka pesa ughaibuni, sijui kama siri za jeshi nazo ziko salama au?..

    10. #27
      Edward Teller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Area 51
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1120
      Likes Received
      570
      Likes Given
      612

      Default Re: Makomandoo wetu

      kuna wadau wangu wapo huko-mara ya mwisho kukutana naye hapo mdaula alikuwa ametoka mkoa wa pwani kwenye mafunzo waliyokuwa wakifanya pamoja na US army-AFRICOM,
      “Talk slowly but think quickly”

    11. #28
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1691
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: Makomandoo wetu

      tusubiri siku ya mechi(vita) ndio tutaelewa weledi wa makomando wetu.
      Makwarukwaru likes this.

    12. #29
      MD25's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 27th January 2012
      Location : Mugumu, Serengeti
      Posts : 1,914
      Rep Power : 0
      Likes Received
      540
      Likes Given
      66

      Default

      Quote By Jackbauer
      tusubiri siku ya mechi(vita) ndio tutaelewa weledi wa makomando wetu.
      Mkuu sisi waTZ tuendelee na kilimo kwanza chetu, mambo ya vita hatuyawezi. JWTZ lilikuwa 'Jeshi' enzi za Nyerere. Lkn sasa hivi wamekuwa manyang'au tu, wamekuwa wezi, majambazi na mafisadi, weledi wa jeshi haupo tena. Si unakumbuka Lt. Gen. Shimbo alivyokutwa na 3tril... Je, amezitoa wapi. Shimbo ni 'Chief of Staff' wa Jeshi, afu anakuwa fisadi, unategemea kuna jeshi? Mfano mwingine, si unaona JK anavyokumbatia mafisadi, mwisho serikali inakuwa kama aina mwenye, sasa na jeshi sasa hivi liko liko kama serikali ya JK. Kwa hiyo ikitokea vita, tutapigwa kama wachumba, hatuna jeshi sisi...
      Kaa la Moto likes this.

    13. #30
      kagame's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th December 2008
      Posts : 152
      Rep Power : 563
      Likes Received
      48
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By MD25
      Mkuu sisi waTZ tuendelee na kilimo kwanza chetu, mambo ya vita hatuyawezi. JWTZ lilikuwa 'Jeshi' enzi za Nyerere. Lkn sasa hivi wamekuwa manyang'au tu, wamekuwa wezi, majambazi na mafisadi, weledi wa jeshi haupo tena. Si unakumbuka Lt. Gen. Shimbo alivyokutwa na 3tril... Je, amezitoa wapi. Shimbo ni 'Chief of Staff' wa Jeshi, afu anakuwa fisadi, unategemea kuna jeshi? Mfano mwingine, si unaona JK anavyokumbatia mafisadi, mwisho serikali inakuwa kama aina mwenye, sasa na jeshi sasa hivi liko liko kama serikali ya JK. Kwa hiyo ikitokea vita, tutapigwa kama wachumba, hatuna jeshi sisi...
      Ushaamua kupiga makombora kwa baba ritz? Weye noma.

    14. #31
      BULOLE BUKOMBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2011
      Posts : 361
      Rep Power : 484
      Likes Received
      60
      Likes Given
      287

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By Makwarukwaru
      bila shaka utakua moja wao maana badala ya kunifafanulia with facts kama wenzako wewe unanitisha!!!
      Makwarukwaru hujatishwa umeambiwa ukweli au kwa lugha nyingine jambo ulilwta halistahili kujadiliwa humu linahusu usalama wa nchi siyo kila unachofikiri lazima ukiandike pata sifa za hao watu kupitia mazungumzo ya kawaida na watu mbalimbali siyo uanike kila kitu humu hatuendi hivyo baba.

    15. #32
      Iron Lady's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2008
      Location : Dar-es-salaam
      Posts : 2,317
      Rep Power : 5535
      Likes Received
      575
      Likes Given
      259

      Default Re: Makomandoo wetu

      makomandoo wetu wamepata mafunzo ya kutosha na wapo imara hawawezi kuonesha hadharani ujuzi wao wote kwani majirani wataona na kujua level ya ujuzi wao na inaweza hatarisha usalama wa nchi yetu ndio maana siku zote huwezi kuwasikia ovyo ovyo ila hujifunza ndani na je ya nchi pia hata nchi rafiki wanajua kuwa tuna jeshi makini na makomandoo pia tunao makini.
      ila nawaombea wasichakachuliwe na wanasiasa na kutumika ndivyosivyo.

    16. #33
      Mabulangati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Posts : 354
      Rep Power : 496
      Likes Received
      37
      Likes Given
      4

      Default Re: Makomandoo wetu

      Kwa kweli nimeamini waswahili hatukosi la kusema hata kama ni vitu serious kama ulinzi tunajikosoa wenyewe yaani dahh si mchezo.

      Labda nieleze kwa uwelewa wangu mdogo tu kuwa unavyozunguzia komandoo unazumzia mlinzi maalumu mwenye kila aina ya mafunzo ya kivita na siyo kama profesa ambaye amespecialize labda kwenye mifupa au siasa au geography au vinginevyo. Hivyo ili kupata mafunzo ya aina zote ni lazima aende sehemu mbalimbali kujifunza namna ya kujilinda kulinda nchi kwa mwili, mabomu, akili na propaganda. Hivi vyote ni lazima uwe navyo na ndiyo maana wataalamu wa vita wansema komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 1000. Amefuzu katika anga, majini, ardhini, misako, intelgence na all maujana ya ukombozi na ndiyo maana tuliona wapo wanajeshi zaidi laki moja afghanistan lazi walitumwa makomandoo at most 10 tu kumtoa roho osama na hiyo ni kwasababu yule bwana ni field mashal ambaye ni hatari kuliko komandoo mwenyewe ujue. Wewe unasema kuvunja tofali badala na kuona wale vijana kam 15 waliopita wamevaa kofia kama majani walivyo wakakamavu, waliokua wanapitisha ndege kutoa saluti wanaizungusha hapo juu inabinuka hukuona?

      Ndugu yangu nafikiri tuache kujidharau tujiamini na cha msingi ni kushauri kujitanua zaidi kutumia jeshi letu na idara ya usalama wa taifa kuijenga nchi kupambana na uwizi wa mali ya umma na ulaghai wa wanasiaga wa kuivuruga nchi badala ya kusubiri mambo ya haribike ndiyo waingilie kati kwa coup.

    17. #34
      chitanda.nyoka's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 195
      Rep Power : 395
      Likes Received
      32
      Likes Given
      0

      Default Re: Makomandoo wetu

      hao makomandoo wa bongo muwasikie tu hvyo hvyo wanafanya mazoezi ya hatari me nna mdogo wangu alichaguliwa akaenda morogoro kapigishwa zoezi kajua akitoka kule full komandoo atapata angalau bawa moja kamaliza mafunzo karudi home hoi kaambulia kofia nyekundu anaambiwa hyo basic training,mbona kaacha jeshi sasa hv anamalizia degree ya uhasibu kaona arudi shule hao watu ni hatari.

    18. #35
      Pitz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2011
      Posts : 4,969
      Rep Power : 1411
      Likes Received
      519
      Likes Given
      48

      Default Re: Makomandoo wetu

      Ivi na wale wanao mzungukaga jk ambao mara nying unakuta wamevaa suti nyeusi,nao ni makomando au askari wa kawaida?

    19. #36
      Sabayi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th December 2010
      Posts : 1,305
      Rep Power : 690
      Likes Received
      423
      Likes Given
      923

      Default Re: Makomandoo wetu

      Wakuu wengi mmekuwa mkielezea jinsi gani hao makomandoo walivyofit ukilinganisha na mtu wa kawaida anayeshinda baa kula bia na nyama choma tu hata ukiampa mechi ya kitandani anachemka,Mi nadhani tupaswa kuwalinganisha na makomandoo wenzao wa nchi nyingine na kwa vile ni ngumu kupata facts ya wa nchi nyingine basi kuwaongelea hawa ni porojo za vijiweni tu.Tukizungumzia ufit wa jeshi kiujumla mimi nina wasiwasi sana na jeshi letu kutokana na serikali legelege tuliyokuwa nayo # commander in chief legelege na ukijumlisha na ukosefu wa uzalendo tuliokuwa nao kuna wajeda wengi tu wanaweza kula kona kikiwaka,sidhani kama tunaweza kusimama na kagame sasa hivi au Wakenya wenye vifaa vya kisasa sana (military expenditure yao kwenye kununua silaha ni x 10 ya kwetu) uimara ya jeshi/Makomandoo enzi za leo ni teknolojia sio uwezo wa kuvunja vyuma/matofali kwa vichwa na ukizingatia ufisadi mkubwa uliokuwepo sasa hivi na usiri wa ununuzi wa silaha jeshini sina shaka kuwa hizo hela huwa zinaishia kwenye accounts za akina shimbo na mwamunyange na kujenga magorofa badala ya kununua silaha au kununua sub-standards silaha.NI BORA TUJIFANYE KUWA BUSY NA KILIMO KWANZA NA KUOMBA TUSIVAMIWE HATUNA JESHI SASAHIVI NA WALA HATUNA SERIKALI IMARA LET'S CHANGE OUR POLITICS FIRST
      Kaa la Moto likes this.

    20. #37
      LexAid's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 997
      Rep Power : 598
      Likes Received
      288
      Likes Given
      601

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By Makwarukwaru
      Napata ukakasi sana hasa nikiwaza hichi kitu.Komandoo ni askari aliepitia mafunzo ya kijeshi na ya hali ya juu mno.

      Zamani ilikua ukisikia komamdoo mpaka damu inasisimka na wengi wao katika jeshi letu walikua wanapata mafunzo yao nje ya nchi kama Cuba,Misri na Israel.Je sasa hawa wanaotoka pale Morogoro wana sifa kama zile za wale?

      Au ndo wale waliotufanyia show ya kupasua tofali kwa kichwa pale uwanja wa taifa siku ya miaka 50 ya kupata bendera(kwani siamini kama bado tuko huru)?
      Vita zenyewe ziko wapi Siku hizi? Tukiwapeleka nje wanatumalizia hela tuu. Bora tuwape "MalandCuiser" watulie hapa hapa. Kimyaaa!

    21. #38
      Shark's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th January 2010
      Posts : 4,573
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      245

      Default

      Quote By 124 ali
      mi nimepitia madojo si rasmi tokea enzi za miaka 80 -kwa watu wa dar watawakumbuka akina kiringo , Santana , (MwambaZero Jimmy Castro- marehemu hawa )Abdala Master sikuwa na rank yeyote zaidi ya kuwa najua kutifua ugomvi wa haja, miaka ya mbele uzeeni kwangu nika kutana ni vijana na mikanda yao kamasi ziliwatoka nawengine wakijidai wamechukua mafunzo kutoka nje au walimu wa nje.
      Mikwara mbuzi tu hiyo!!

    22. #39
      Rubuye123's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2009
      Location : mahali flani
      Posts : 531
      Rep Power : 585
      Likes Received
      120
      Likes Given
      285

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By Makanyaga
      KakaJahazi;
      Ni kweli ulilosema. Maana sasa tutashindwa kuwatofautisha na mtu mwingine ambaye ana uwezo wa kupigana hata na watu 40 wote wakagwaya. Issue hapa ni je, when it comes kwenye maswala ambayo wamekuwa trained kwa ajili yake, wako fit? Ila mimi kwa upande mwingine nadhani kwenye ukommandoor kuna international standards ambazo bado zinazingatiwa in a strict sense kwamba komandoo wa hapa, US, Israel, India, Pakistan, n.k. hawawezi kutofautiana ujuzi, labda vifaa vya kutumia, na pengine hawa wa kwetu sababu ni watu wanaozaliwa kwenye mazingira magumu tangu wakiwa watoto mchanga, wanaweza kuwa wako fit zaidi kwenye fierce situations kuliko hata wale wa mataifa makubwa, sema tu wanaweza kuzidiwa vifaa vya kutumia, ila kama ni bare foot, bare handed, nadhani hapa tunao wanaoweza kummninya hata chui ukafikiri wanaminya paka!
      masikhara kwenye mambo ya msingi nakuomba sana sana sana sana.kwa jina la mungu uache!!i have come face to face with that thing....u dont know how it feels kukutana nalo na kwamba linaweza kukutafuna just like that!wacha kabisa bana wwe!
      if it seems too good to be true , it probably is........!

    23. Iza
      #40
      Iza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2009
      Location : palipo na Internet
      Posts : 1,637
      Rep Power : 856
      Likes Received
      232
      Likes Given
      368

      Default Re: Makomandoo wetu

      Quote By Sabayi
      Wakuu wengi mmekuwa mkielezea jinsi gani hao makomandoo walivyofit ukilinganisha na mtu wa kawaida...
      Huu ni mlinganisho potofu, kupasua jiwe kwa kichwa bila ya mbinu nyingine za kisasa za kupigana iwe ana kwa ana au kwa vifaa ni bure..wanaweza kuwa wanafundishwa kutafuna mawe lakini wakikutana na makomandoo wenzao wanachakazwa kama watoto..kuna kisa cha komandoo mmoja alifariki dunia kule Comoro kwa kushindwa kuogelea ni moja ya mifano ya kutokung'ang'ania kupasua mawe kwa vichwa wakati mahitaji ya kikomandoo ni zaidi ya hapo..!
      Kaa la Moto likes this.
      Fikiria kwa u-makini...!

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...