Tazama msafara wa Obama unavyokuwa umetengenezwa huwezi kujua yupo gari gani!!
http://cdn.theatlantic.com/static/mt...ade-1200px.jpg
Tazama msafara wa Obama unavyokuwa umetengenezwa huwezi kujua yupo gari gani!!
http://cdn.theatlantic.com/static/mt...ade-1200px.jpg
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Kaka hata motorcade ya Raisi wetu imetulia. Huwezi jua yuko gari gani! Sometimes anakuwa kwenye ambulance
du ya hawa jamaa ni kali ile mbaya
jamaa amejaribu kuiga iyo ya oboma ila naic imemshinda 2kianza na zile BMW ...... ambapo zilibidi ziwe spare care na stage car ... vile vile czani kama kuna ndinga yeyote katika izo yenye uwezo wa kudectect izo mambo za ma chemical na kadhalika
huyu wetu anavopenda kuchekacheka na kugawia watoto pipi ...mbona hata kwa manati unamuuwa tu..kwanza anapenda kuangalia angalia nje
Huo msafara wote hata hayumo... Hao wanasepa unakuta kabaki afu anavaa kilocal tu then anakuja na ka usafiri ka kawaida akiwa amepiga cap na mindevu huwezi kujua
imetulia sana
KAMA MAPENZI NI PESA , FUNGA NDOA NA BENKI.
Inabidi muangalie HAPA ndio mtaelewa mavitus ya Icadon, Mchaga na Moshe Dayan
Binafsi uwa siafikiani na tabia ya wanausalama wetu kuiga ulinzi wa marais wa nje. Kwa sababu hata ukiangalia level ya vitisho ni tofauti kabisa kwa kila rais hapa duniani. Marais wetu wanaweza kutembea kwa miguu mitaani na wasifanywe lolote na mtu!
Kwa msingi huo, utaona kuwa kwetu suala la usalama linatumia gharama nyingi sana unneccessry! Ukawii kusikia inaagizwa hata gari ya kugundua shambulio la kemikali!!!! Unacheza na bongo?
You can't change the past, but you can influence the future
watatembeaje mtaani na kura walizoiba au ushindi wao wa mazabe?fikiria wafuasi wa kiiza besigye wanakutana na museveni mtaani,kibaki akutane na wa odinga,mugabe akutane na wale wa mogani,achilia mbali wa hapa kwetu ambako dr slaa alikubali yaishe kuepusha rabsha,ila nadhani nae akigombea 2015 hatakubali kuchezewa mchezo uleule tena na watu walewale
kufa kwa kiu baharini ni ujinga
kwa anayefahamu anielekeze jinsi ya ku-upload picha na size KUBWA ili kuondoa bugudha ya ku-preview
Ndani huwa inakuwa hivi.
![]()
Follow Us Here