| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 134768
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
haya labda wazungu wakisema tutasikiliza
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
ok nishaipata hiii link lakini kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Guardian,FT na The Times wanaweza kuirun hii story lakini hiyo kamati ya bunge nasikia kuna hao ma self appointed messiahs of Africa wako all out and fuming about this deal
http://www.exacteditions.com/exact/b.../412/1751/3/13 will keep u posted as time goes by |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Bongo nao washaidaka...
Ununuzi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Tanzania kuchunguzwa 2006-11-13 16:20:55 By Radio One Habari Viongozi wa Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu utata wa uuzaji kwa Tanzania mtambo mmoja wa kuongozea ndege miaka minne iliyopita. Wizara yao ya Mambo ya Ulinzi imesema kwa kushirikiana na polisi inachunguza jukumu lililofanywa na kampuni yake ya ulinzi BAE Systems kuhusu tenda hiyo iliyogharimu dola milioni 50. Habari kutoka London zilizosikika mjini Dar es Salaam leo zinasema Tenda hiyo iliidhinishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bwana Tony Blair. Gazeti la Times la Uingereza limesema uchunguzi unaangalia madai ya rushwa yaliyolipwa na kampuni ya BAE Systems kwa serikali ya Tanzania. Kampuni hiyo imesema inashirikiana kikamilifu na wachunguzi lakini imesema haikufanya jambo lolote baya. SOURCE: Radio One
__________________
____________ Ili Tuendelee Tunahitaji Dikteta mwenye Uzalendo na Visheni _____________ "UTU BUSARA UJINGA HASARA, "TUPINGANE BILA KUPIGANA" |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
now this is interesting...
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mzee Nani,
Bravo kwa hizo data, yaani ngoja tule data zaidi weka mwanangu! |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Waa!!! this is killing me!
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo Last edited by Kichuguu; 14th November 2006 at 12:28 AM.. |
||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
by the way hii mes sio ya JK lakini itabidi aiclean up
nashangaa kwa nini hawakureview hii contract na BAE SYSTEMS au at least kuifanyia amendments Yaani of all people sielewi Mkapa aliingia vipi kwenye hii trap |
|
#9
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
__________________
Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo |
|||||||||||||||
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
sasa ubalozi London sijui utatoa statemenr gani au ndio tutegemee kumuona Bwana Ambukile akitoa msimamo wa serikali yetu kwenye BBC NEWS 24 maana balozi hayupo au ndio tena Mama Radhia Msuya atachukua uskani kwani hii ni BAD PR kwa nchi especially katika muda ambao sisi hatuna umeme na hayo ma skendo ya Richmond,IPTL,madini etc etc
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:46 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||