Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...
Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA
Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...
Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA
na sasa anatembelea JESHI LETU kukagua madhara ya MABOMU................. Hii ndio Tanzania yetu, nchi ya watu wa ajabu sana nikiwamo mimi
Tanzania 'njema' inawezekana!
EL - Ukitaka Watanzania tukusamehe kama tunavyowasamehe wengine walivyotukosema - fanya haya yafuatayo
1. Gawa Nusu ya Mali yako kwa maskini
2. Kama ulichukua kitu cha mtu kwa wizi, utapeli, unyanganyi, ufisadi nk. rudisha mara mbili yake
3. Then ukimaliza hayo tubu kwa mungu wako then njoo utufuate tuwe wamoja.
Surely, Kwa staili hii tumekwisha... Maana hata JK amemuandaa Ridhiwani kwa style hii hii
"Don't argue with a fool , as people might not notice the difference!"
Nimesoma Nimekuta machozi yanatoka, eamamKu Lowasa!
Siku Rais wangu akiingia Madarakani MAFISADI WOTE wananyongwa!
Wadau anayeweza aitume kwenye magazeti ili itolowe kwa kiswahili wadau wengi waisome!
Ha ha haa Lowassa eeh
Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
Kweli watu wamejipanga kuimaliza nchi hii!!
Halafu mtu kama huyu ana pata nguvu bila aibu kabisa eti anasupport mapinduzi ya Misri kwa kusema eti ni matokeo ya viongozi kujiribikizia mali na ku create pengo kubwa baina ya tajiri na masikini!
Well mtu kama EL hana haja ya kupima upepo unaelekea wapi, kama ni upepo wa yeye kurudi kwenye peak ya siasa, basi ni wazi upepo unavuma tofauti naye, ni watu kama Serukamba ndio wanafikiri EL bado anafaa.
Na mimi nina uhakika EL haamini kile alichosema yeye mwenyewe maana yeye na Mubarak hawana tofauti yoyote!
Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' |Click HERE for Details
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Sina la kusema coz attachment hii inaeleza kila kitu.
Lowassa-the Son.pdf
Huwezi kumshawishi nyani mzee kwamba asali ni tamu kuliko ndizi mbivu.
amesafishawa na maji gani? au ame safiswa na maji ya betri?
ukiwa partner wa Rostam huwezi kuwa kiongozi mzuri na bora wa mfano,Rostam ni mavi ukiambatana naye utanuka tu.
Kwani mlikua hamuamini aliyosema Nyerere, kwamba huyu kijana mdogo mali zote hizi kapata wapi! Ni mwizi wa kutukuka huyu mtu
" Counting down on CCM downfall.
Follow Us Here