Jamii IntelligenceSerious reports & Discussions on Corruption, Politics etc recommended to our clients! Detailed discussions which you need not to miss
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE: CCM magnates in the media
The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the government party on economic and financial issues, the businessman and MP Rostam Aziz has recently acquired a significant stake in the largest press company in the country, Habari Corporation Ltd (HCL).
And yet he is not a newcomer in the Tanzanian press sector, since during the 1990s he had launched the company Mwananchi Communications Ltd (MCL) in partnership with Ferdinand Ruhinda, a former ambassador turned businessman and close ally to former President Benjamin Mkapa.
Aziz and Ruhinda subsequently joined forces with the Aga Khan's Nation Media Group to launch a daily English language newspaper, The Citizen.
They later disagreed with their Kenyan partners over the coverage of Jikaya Kikwete's election campaign last year. A few months ago Aziz therefore sold a large proportion of his shares in MCL and purchased the stakes held by several journalists (Salva Rweyemamu, Jenerali Ulimwengu and William Shoo) in HCL. Since then this press group which was quite virulent under the previous regime has calmed down considerably with the present government. Other CCM dignitaries also have interests in the media. This is so in the case of Minister of Livestock, Anthony Diallo the owner of Sahara Communications Ltd which operates Star Television and Radio Free Africa as well as publishing the weekly magazine Msanii Afrika.
For its part, the IPP Media group (The Guardian Ltd, Media Solutions Ltd, Independent Television and Radio One Ltd) owned by the magnate Reginald Mengi has always been able to butter up successive governments. However, today he is in the line of sight of several CCM executives due to some of his news stories.
TEHE.....TEHE....TEHE......! mrembo Asha kuwa mpole bibie kutajiwavogue umekuwa mkali hivyo!!!!!!
Basi hatusemi tena mambo ya vogue & nssf hivi ni kweli mbowe kafeli?????
kuongeza size ya post sio uthibitisho wa point... inaonekana karibu utamtafuta Makamba maana naona huyu ROstam Aziz "hawatoshi kabisaaaa"
mtainama weeeeeeeeee mtainuka na kukuta mmelowa!
JF bado inapeta na habari corruption mtakoma ubishi. Kaondoka Lowaasa, anafuata Rostam... get ready!
__________________ Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Re: Huyu ndiye Rostam Aziz wa New Habari Corruption!
tehe...tehe...tehe.........!!!!!
I repeat...........mbowe(vogue&nssf) & rostam(richmond)=mafisadiiii
tehe....tehe.......
NAWAKARIBISHA WATETEZI WA MAFISADI HAWA WAWILI JAMVINI!!!!
TEHE....TEHE...TEHE.....!!!!

kwi kwi kwi...
umeanza kukaribisha wengine tena... usiombe Rostam akusikie
__________________ Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
TEHE.....TEHE....TEHE......! mrembo Asha kuwa mpole bibie kutajiwavogue umekuwa mkali hivyo!!!!!!
Basi hatusemi tena mambo ya vogue & nssf hivi ni kweli mbowe kafeli?????
Wana JF
nawashangaa mnaanza kuingia katika mtego wa wajinga hawa . Hawa wapuuzi wamekuwa wakitumia hata chaguzi kusema mambo ya Rwanda na Burundi bila ya kujua kwamba wao ndiyo chanzo kama ilivyo kuwa huko, then wamekuja Kiteto na habari za Kenya kumbe wao ndiyo waliku wa matatizo ya Kenya ambayo yanafanana na ya Zanzibar , then wanakuja kwa jina la udini nk mwisho Mwenyekiti wa Chama chao anawaipa watu serious kama Slaa na Zitto kwamba wale watani wetu . BS hakuna cha utani kenye biashara serious .Sasa nyie mnaanza kuleta utani na huyu mahesabu anachukua muda wenu wa kujadili ishuzi hapa na kuanza utani .Ignore the kid huyu ni kila kulala ana lake jambo anakuha ku poza speed yenu ya kuangalia issue za maana .

Ignore huyu dizani ya KadaMpinzani nakundi lake .
Asante Murangira!
This guy is now officially ignored
__________________ Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Re: Huyu ndiye Rostam Aziz wa New Habari Corruption!
We skip the party (funny from Mahesabu the kid) and we go straight to bufeet!
Kuna rafiki yangu mmoja alinieleza majuzi kuwa alisoma na Rostam darasa moja, Huyo rafiki yangu alikuwa kichwa darasa zima na rostam alikuwa ndiye kilaza wa darasa, walikuwa marafiki wakubwa kweli, ila walipofanya national exams, jamaa akastukia kuwa alikuja kufeli na watu waliofaulu alikuwepo rostam ambaye ni rafiki mkubwa sana, hivyo jamaa alinihakikishia kuwa rostam alianza ufisadi tangu akiwa teenage, ndiyo maana haogopi grand ufisadiz. Kazoea sana kuexploit na jamaa ni mafia hatari hivyo lazma kwenda naye kwa tahadhari....
__________________ ......2010 ndo hii lakini SINA IMANI kama utafanya maamuzi sahihi OKTOBA.... - Msanii
We skip the party (funny from Mahesabu the kid) and we go straight to bufeet!
Kuna rafiki yangu mmoja alinieleza majuzi kuwa alisoma na Rostam darasa moja, Huyo rafiki yangu alikuwa kichwa darasa zima na rostam alikuwa ndiye kilaza wa darasa, walikuwa marafiki wakubwa kweli, ila walipofanya national exams, jamaa akastukia kuwa alikuja kufeli na watu waliofaulu alikuwepo rostam ambaye ni rafiki mkubwa sana, hivyo jamaa alinihakikishia kuwa rostam alianza ufisadi tangu akiwa teenage, ndiyo maana haogopi grand ufisadiz. Kazoea sana kuexploit na jamaa ni mafia hatari hivyo lazma kwenda naye kwa tahadhari....
Rostam kuna mengi ya kwake yatawekwa hapa karibuni...
kumnunua Balile hakutoshi, atanunua wangapi!
JF, watch for this space!
__________________ Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Wana JF
nawashangaa mnaanza kuingia katika mtego wa wajinga hawa . Hawa wapuuzi wamekuwa wakitumia hata chaguzi kusema mambo ya Rwanda na Burundi bila ya kujua kwamba wao ndiyo chanzo kama ilivyo kuwa huko, then wamekuja Kiteto na habari za Kenya kumbe wao ndiyo waliku wa matatizo ya Kenya ambayo yanafanana na ya Zanzibar , then wanakuja kwa jina la udini nk mwisho Mwenyekiti wa Chama chao anawaipa watu serious kama Slaa na Zitto kwamba wale watani wetu . BS hakuna cha utani kenye biashara serious .Sasa nyie mnaanza kuleta utani na huyu mahesabu anachukua muda wenu wa kujadili ishuzi hapa na kuanza utani .Ignore the kid huyu ni kila kulala ana lake jambo anakuha ku poza speed yenu ya kuangalia issue za maana .
Ignore huyu dizani ya KadaMpinzani nakundi lake .
Lugha hizo...
__________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk." Vituko Vya Zenj