Jamii IntelligenceSerious reports & Discussions on Corruption, Politics etc recommended to our clients! Detailed discussions which you need not to miss
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE: CCM magnates in the media
The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the government party on economic and financial issues, the businessman and MP Rostam Aziz has recently acquired a significant stake in the largest press company in the country, Habari Corporation Ltd (HCL).
And yet he is not a newcomer in the Tanzanian press sector, since during the 1990s he had launched the company Mwananchi Communications Ltd (MCL) in partnership with Ferdinand Ruhinda, a former ambassador turned businessman and close ally to former President Benjamin Mkapa.
Aziz and Ruhinda subsequently joined forces with the Aga Khan's Nation Media Group to launch a daily English language newspaper, The Citizen.
They later disagreed with their Kenyan partners over the coverage of Jikaya Kikwete's election campaign last year. A few months ago Aziz therefore sold a large proportion of his shares in MCL and purchased the stakes held by several journalists (Salva Rweyemamu, Jenerali Ulimwengu and William Shoo) in HCL. Since then this press group which was quite virulent under the previous regime has calmed down considerably with the present government. Other CCM dignitaries also have interests in the media. This is so in the case of Minister of Livestock, Anthony Diallo the owner of Sahara Communications Ltd which operates Star Television and Radio Free Africa as well as publishing the weekly magazine Msanii Afrika.
For its part, the IPP Media group (The Guardian Ltd, Media Solutions Ltd, Independent Television and Radio One Ltd) owned by the magnate Reginald Mengi has always been able to butter up successive governments. However, today he is in the line of sight of several CCM executives due to some of his news stories.
Kalamu na wananchi wenzangu, mi nadhani from now onwords, tuanze kufikiria si tuu kuwaidentify hawa wanaotuhujumu. Tuanze kustrategize kipi tunaweza kufanya katika hizi harakati. Kila mtu akitimiza wajibu wake. Hakika, mambo yatabadilika. Maana hawa mafisadi wameshakula vya kutosha mno. we cant afford any other minute of waiting. Tupeane mawazo katika hili.
Kazi ya kwanza, kama habari alivyotuletea mzalendo mwenzetu TazaniaNjema ni mhimu sana.
Kaziya pili ni kuwashambulia kwa kila njia hao wala peremende,akina Dr. nani huyo Shoo na mwenzake - hao ni saizi yetu kwa haraka haraka. Hao mafisadi wenyewe ndio shida kubwa kwani wana kinga ya wakubwa waliowaweka mifukoni mwao.
Hebu tukunevichwa, sisi kama wanaJF, tunaweza kufanya nini zaidi ya kuwapigia kelele na kuwaanika wananchi wawaone uchi?
Lakini ninakubali sana mawazo yako: tu-strategize, ni kipi tunachoweza kukifanya kuwakomesha hawa maadui wa nchi yetu?
Tukae na kufikiri kwa kina juu ya hatua madhubuti za kufaa kuchukuliwa dhidi yao kwani hawa jamaa sasa wanakotaka kutupeleka siko.
Nasikia pia huyu jamaa ametofautiana na jk na ndio maana magazeti yake siku hizi yameanza kuchomoza na makala za kumsifi a mkapa na mara kusma ooh mabilioni ya mkapa yanakuja n.k.
Huyu jamaa ndio mwiba mkubwa kwa kushuka kwa uchumi wa taifa hili na hili ni tatizo ,tutafute njia ya kuondoa kiini cha tatizo hili na sio vinginevyo.
JK anahitaji kulindwa na uchu na unyama wa hawa jamaa. Na ngome yake kuu ni hii imani inayotetereka ya watanzania walalahoi na walalahai wachache. Akiendelea kupoteza umaarufu atakuwa anajiweka katika makucha yao. Mungu tuepushie mbali....
Tanzanianjema
__________________ NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO
Last edited by omarilyas; 25th August 2007 at 06:26 PM..
Haya yote JK anayajua wanatuchezea ngoma tu wote wamoja hawa
__________________ Ni rahisi kujenga Butcher ya nyama ya nguruwe Saudi Arabia kuliko kupata kibali cha kuingiza madawa ya binadamu Tanzania ,TFDA punguzeni kasi ya kuomba rushwa jamani Tanzania haina kiwanda cha madawa
How far are we sure kuwa Muungwana is not part of the game? yaani ambacho kila wakati ninachokiona ni kwamba umma unamuona JK ni mtakatifu sana, lakini kumbuka kuna msemo "samaki huoza kuanzia kichwani". Yaani kama kweli JK ni mwadilifu how comes he appointed a pack of "watu wenye uchu na unyama" can it really be a coincidence? lazima kuna kitu hapo wazee. Wakati wa mchakato wa urais, umma wa WaTz tulidanganywa na spinning ambazo zilimpamba sana Muungwana na kuficha what was behind that so called handsome face. Kazi kubwa ipo, uchumi ndio huo unayoyoma kwenda shimoni.
__________________ "Be not afraid of growing slowly, be only afraid of standing still." Old Chinese Proverb
mTz Jk is not clean at all and is part of this dirty game. Ushahidi upo mwingi na wa kila aina . Mfano ni kwamba juzi kaenda Buzwagi huku nyuma ofisi yake inasema alijua juu ya Karamagi na move zote leo utasema JK anaponzwa ? Wale alio waweka pale ndiyo genge lake hasa . If he is serious mwambie amwajibishe mmoja wapo uone ngoma itakavyo mgeukia .
__________________ Ni rahisi kujenga Butcher ya nyama ya nguruwe Saudi Arabia kuliko kupata kibali cha kuingiza madawa ya binadamu Tanzania ,TFDA punguzeni kasi ya kuomba rushwa jamani Tanzania haina kiwanda cha madawa
Jamani niliwahi kusema kuhusu RA, EL na Karamagi. Uzito ambao Zitto na sisi sote tunaangalia ni mapambano dhid ya hili kundi linaloitwa UTATU mtakatifu, RA,EL na Karamagi. EL alikua akiishi nyumba moja na RA, nyumba ambayo sasa anaishi Karamagin na RA... RA anamiliki Habari Corporation na ndio maana siku ambayo Zitto aliwasilisha hoja na kufungiwa, gazeti la Mtanzania liliandika habari kubwa ya kumponda Zitto, tofauti kabisa na magazeti mengine, habari yenyewe ikiwa imeandikwa na Mwandishi maalumu.. Kwa kawaida Mwandishi Maalumu huandikwa ikiwa mwandishi wa habari wa Rais, Waziri Mkuu ama wa Chama anapoandika habari na hivyo hapendi jina lake litokee.. Habari ile iliandikwa ikiwa na maelezo ya KAMARAGI pekee bila hata kuhusisha habari ya Zitto alichowasilisha na mutikio wa umma. Kwa kifupi Zitto amefungua ukurasa mpya kwa mapambano dhidi ya UFISADI na kwa hakika lazima tuhakikishe tunaweka wazi kuhusu uovu wa RA... Niliwahi kuweka haoa kuhusu makala za Kama ningekua Rais zinazotoja Kila Jumatano katika gazeti la Tanzania Daima.. Katika makala hizo, kuna mtu anaitwa CHOTAMALI, ambaye anatajwa kama mfanyabishara anayeongoza nchi ya UREMBO anavyotaka. hebu muangalieni sana munaposoma hizo makala kwani naona anafanana sana na RA kitabia.
Juzi RA ameanza kusambaza SMS inayotaka kumchafua Zitto lakini badala yake SMS hiyo inaoneyakana pia kummaliza Karamagi.. SMS hiyo ambayo RA anasambaza, inadai kwamba eti Zitto na Kamaragi walikuwa wakigombea mwanamke... Sasa Zitto hajaoa, Karamagi kaoa, kama rafiki yake mpenzi anasema hivyo, kwanza amepoteza mwelekeo kuingiza hoja za KIJINGA katika hoja nzito yenye kugusa maslahi ya Nchi, lakini pia anaonyesha kwamba yeye na rafiki yake masuala hayo ndio MWISHO wa upeo wa FIKRA zao... Ni aibu watu wa aina hiyo kukwepa hoja muhimu kwa kutumia hoja za KITOTO..
Jambo la msingi WATANZANIA TUWAFAHAMU NA TUSEME KWA NGUVU ZETU ZOTE BILA KUCHOKA KWANI HAO WANASEMA WATATAWALA HADI 2025.
How far are we sure kuwa Muungwana is not part of the game? yaani ambacho kila wakati ninachokiona ni kwamba umma unamuona JK ni mtakatifu sana, lakini kumbuka kuna msemo "samaki huoza kuanzia kichwani". Yaani kama kweli JK ni mwadilifu how comes he appointed a pack of "watu wenye uchu na unyama" can it really be a coincidence? lazima kuna kitu hapo wazee. Wakati wa mchakato wa urais, umma wa WaTz tulidanganywa na spinning ambazo zilimpamba sana Muungwana na kuficha what was behind that so called handsome face. Kazi kubwa ipo, uchumi ndio huo unayoyoma kwenda shimoni.
Its called POWER POLITICS. Presidency is one thing lakini power ni kitu kingine kwa hiyo usishangae yuko nao hawa manyang'au wapya na hata wale wengine wazoefu waliokuwa kwa Mzee Ben. Kumubuka wengine walimdanda miaka kumi kabla. Usisahau kuwa moja ya makubaliano ya kuokoa jahazi la CCM pale Chimwaga ilikuwa ni kuasure Consistency ambayo alilazimika kuiongelea siku ile alipokabidhiwa kile zamani tungelisema Jembe na Nyundo.
Kaka Urais ni shughuli na sio lelemama, mojawapo ya shughuli ni kuwa tayari kuply containment strategy na manyang'au. Actually wakati mwengine inaweza kuserve maslahi ya wananchi endapo haitakuwa stretegy ya kudumu.
Sio kuwa namtetea lakini ndio muono wangu na ni kutokana na ufuatiliaji wangu wa mambo. Yawezekana najidanganya hivyo niko tayari kuelimika zaidi..
Tanzanianjema
__________________ NYENYERE ANAPO "MDHIBITI" SISIMIZI MBELE YA MSAFARA WA TEMBO
Its called POWER POLITICS. Presidency is one thing lakini power ni kitu kingine kwa hiyo usishangae yuko nao hawa manyang'au wapya na hata wale wengine wazoefu waliokuwa kwa Mzee Ben. Kumubuka wengine walimdanda miaka kumi kabla. Usisahau kuwa moja ya makubaliano ya kuokoa jahazi la CCM pale Chimwaga ilikuwa ni kuasure Consistency ambayo alilazimika kuiongelea siku ile alipokabidhiwa kile zamani tungelisema Jembe na Nyundo.
Kaka Urais ni shughuli na sio lelemama, mojawapo ya shughuli ni kuwa tayari kuply containment strategy na manyang'au. Actually wakati mwengine inaweza kuserve maslahi ya wananchi endapo haitakuwa stretegy ya kudumu.
Sio kuwa namtetea lakini ndio muono wangu na ni kutokana na ufuatiliaji wangu wa mambo. Yawezekana najidanganya hivyo niko tayari kuelimika zaidi..
Tanzanianjema
Ndiyo muono wako lakini wenye utetezi. Hayo yangekubalika kama JK na RA, JK na EL, JK na NK na wengine wasingekuwa marafiki. Kundi lililomweka yeye madarakani ni chafu, yeye hawezi kuwa safi, wala msidhani kwamba waliomtangulia ni wachafu kuliko yeye. Ugumu wa urais tunaujua kweli lakini huyu ameyataka mwenyewe kwa maana haw andio waliomuandaa kwa miaka 10. Alikosa watu wa maana wa kushirikiana nao? Naye ni mwizi tu kama wao.
Hii nayo imetuthibitishia kwamba hauna rais mwema kuanzia sasa atakayetokana na CCM maana wanapenda kuendeleza mnyororo wao na kulindana. Bora hata wewe Tanzanianjema unaweza kuwa rais bora kuliko wahuni hawa! Shit!