Jamii IntelligenceSerious reports & Discussions on Corruption, Politics etc recommended to our clients! Detailed discussions which you need not to miss
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE: CCM magnates in the media
The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the government party on economic and financial issues, the businessman and MP Rostam Aziz has recently acquired a significant stake in the largest press company in the country, Habari Corporation Ltd (HCL).
And yet he is not a newcomer in the Tanzanian press sector, since during the 1990s he had launched the company Mwananchi Communications Ltd (MCL) in partnership with Ferdinand Ruhinda, a former ambassador turned businessman and close ally to former President Benjamin Mkapa.
Aziz and Ruhinda subsequently joined forces with the Aga Khan's Nation Media Group to launch a daily English language newspaper, The Citizen.
They later disagreed with their Kenyan partners over the coverage of Jikaya Kikwete's election campaign last year. A few months ago Aziz therefore sold a large proportion of his shares in MCL and purchased the stakes held by several journalists (Salva Rweyemamu, Jenerali Ulimwengu and William Shoo) in HCL. Since then this press group which was quite virulent under the previous regime has calmed down considerably with the present government. Other CCM dignitaries also have interests in the media. This is so in the case of Minister of Livestock, Anthony Diallo the owner of Sahara Communications Ltd which operates Star Television and Radio Free Africa as well as publishing the weekly magazine Msanii Afrika.
For its part, the IPP Media group (The Guardian Ltd, Media Solutions Ltd, Independent Television and Radio One Ltd) owned by the magnate Reginald Mengi has always been able to butter up successive governments. However, today he is in the line of sight of several CCM executives due to some of his news stories.
Re: Rostam Aziz of New Habari Corporation: The Reality about him
Tunaamini vyombo vya habari ni nguzo ya nne ktk kuendesha nchi. Je navyo vikitiwa mfukoni km bunde letu ktk mwaka 2006/2008 tutafika? Mie sijui labda tumwulize mzee wa CCM Makwaia Wa Kuhenga
Mimi nafikiri RA si wa kumlaumu kabisa...kama muwekezaji yoyote anataka pesa yake irudi na faida....Wa kulaumiwa ni JK na WaTanzania...
Mstahiki hapa kinachouma sio kua alitumia pesa zake kumuweka madarakani JK bali kitendo cha kuiba pesa zetu au kutumiwa kuiba pesa zetu HILI LINAUMA ZAIDI .Mfano chukulia ya kwamba mwizi kakuibia shilingi 1000 alafu mwizi huyohuyo anakusaidi shilingi 200 kama nauli kukufikisha nyumbani ni wazi utamshukuru na kumkumbuka kwa msaada wake,lakini ukija kugundua ya kua ni yeye ndie mwizi aliekuibia ni wazi mtazamo wako utakua mwingine.Kitu kingine ambacho naweza kukubaliana nawe inawezekana RA sio mwizi bali ametumiwa na CCM pamoja na JK kutuibia kwa maana nyingine mwizi hapa ni CCM pamoja na JK hii inadhihilishwa na ukimya na kumkingia kifua kwa CCM na JK MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mzee Mwanakijiji
anawashangaa wanaoitetea sheria mbovu
JF Premium Member
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 18,466
Thanks: 8,488
Thanked 4,668 Times in 1,309 Posts
Rep Power: 44
Re: Rostam Aziz of New Habari Corporation: The Reality about him
Rostam alikuwa Mweka Hazina wa CCM tangu lini; na JK alimchukua lini kuwa Meneja wa kampeni yake ya urais?
__________________ Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
Re: Rostam Aziz of New Habari Corporation: The Reality about him
Mwanakijiji,
Mkuu wangu navyofahamu mimi Rostam alikuwa mweka hazina wa CCM toka wakati wa Mkapa na ndiye aliyeshughulika na kampeni za uchaguzi..
Nakumbuka vizuri sana wakati FMES alipokuwa akitupa data za huyu jamaa kabla ya uchaguzi wa Kikwete, how powerful he is, na sisi wote humu tulikuwa tukimbishia sana FMES kuwa mtu mmoja hawezi kuwa na nguvu kama hizo kwa kutumia fedha..nikaingia site ya CCM na kuona alikuwa party treasurer..
Sina kumbukumbu tu ni lini Marehemu Salome Mbatia alishika nafasi ya Rostam na kisha kurudi tena kwa Rostam kwa sababu marehemu hayupo tena duniani kukana lolote linalohusiana na madai ya Rostam...Bila aibu mtu huyu yuko radhi kumlaumu marehemu kuwa ndiye mhusika mkuu wa mikopo ya EPA inapofikia swala la chama na kibaya zaidi chama kimemtupa kabisa marehemu, wameshindwa kumtendea haki kwa kuweka rekodi sawa...
Taarifa hizi zimefutwa kabisa na sii rahisi kuzipata tena isipokuwa through watu wa CCM wenyewe..
....
Sina kumbukumbu tu ni lini Marehemu Salome Mbatia alishika nafasi ya Rostam na kisha kurudi tena kwa Rostam kwa sababu marehemu hayupo tena duniani ......
Re: Rostam Aziz of New Habari Corporation: The Reality about him
Wakuu Rostam hakuwahi kuwa mweka hazina wa CCM taifa kabla ya JK kuwa rais. Rostam hakuwa mjumbe wa CC kabla ya JK kuwa rais. Kipindi cha kutafuta mgombea wa CCM na baadae Urais wa nchi, mweka hazina wa CCM taifa alikua marehemu Salome Mbatia.
Katika kikao maalum cha CCM ambapo mkapa aliamua kung'atuka uenyekiti wa chama kabla ya wakati(nafikiri ilikua february 2006) na kumkabidhi chama JK, JK aliunda sekretariate yake mpya kwa kumteua makamba(KK), rostam(treasurer), Migiro(mambo ya nje ccm),jaka mwambi (naibu KK), na sikubuki nani uenezi. Kipindi hiki Rostam alishachota za Kagoda. Rostam alikuja kutemwa utreasurer baada ya JK kuunda sekretariate mpya baada ya uchaguzi mkuu wa chama 2007. Na kipindi hiki ndio kuna vikampuni vingi sana vilichota za rejareja (between 2-4billion per cycle) EPA. Ukaguzi wa EPA ungepanuliwa kidogo watu wangeshikwa na butwaa. Na kipindi hikihiki huyu jamaa ndio alikua hakauki Hazina kwa mama Meghji, mpaka maafisa wakampa code ya waziri kivuli wa fedha. Kina Lukaza na Maranda wote wamepewa michongo ya kuchota EPA na huyu bwana. Yeye kama kawaida, kazi yake ni kupush ubadhirifu bila jina lake kuonekana kwenye makampuni yaliyochota.
Wakuu Rostam hakuwahi kuwa mweka hazina wa CCM taifa kabla ya JK kuwa rais. Rostam hakuwa mjumbe wa CC kabla ya JK kuwa rais. Kipindi cha kutafuta mgombea wa CCM na baadae Urais wa nchi, mweka hazina wa CCM taifa alikua marehemu Salome Mbatia.
Katika kikao maalum cha CCM ambapo mkapa aliamua kung'atuka uenyekiti wa chama kabla ya wakati(nafikiri ilikua february 2006) na kumkabidhi chama JK, JK aliunda sekretariate yake mpya kwa kumteua makamba(KK), rostam(treasurer), Migiro(mambo ya nje ccm),jaka mwambi (naibu KK), na sikubuki nani uenezi. Kipindi hiki Rostam alishachota za Kagoda. Rostam alikuja kutemwa utreasurer baada ya JK kuunda sekretariate mpya baada ya uchaguzi mkuu wa chama 2007. Na kipindi hiki ndio kuna vikampuni vingi sana vilichota za rejareja (between 2-4billion per cycle) EPA. Ukaguzi wa EPA ungepanuliwa kidogo watu wangeshikwa na butwaa. Na kipindi hikihiki huyu jamaa ndio alikua hakauki Hazina kwa mama Meghji, mpaka maafisa wakampa code ya waziri kivuli wa fedha. Kina Lukaza na Maranda wote wamepewa michongo ya kuchota EPA na huyu bwana. Yeye kama kawaida, kazi yake ni kupush ubadhirifu bila jina lake kuonekana kwenye makampuni yaliyochota.
Hii issue naikumbuka mkuu hadi watu wakazushia rostam kamwoa meghji coz alikuwa hakosi ofisini kwa huyu mama!! Jakaya Mrisho Kikwete Ulaaniwe uongozi hautafutwi kwa namna hii ngoja utoke madarakani 2015 ...it wont be the same generation in power..hatukuachii wewe..wewe ndo utakuwa raisi wa kwanza tanzania kuona mahakama!!
__________________
"When the Authorities ask for your shirt, you give them your jacket aswell" Pattni Goldenberg Scandal Architect
Re: Rostam Aziz of New Habari Corporation: The Reality about him
Uuwiano maalum,
Mkuu napotosha kipi tena?..
Mimi nimesoma mahala wakisema kwamba Rostam alikuwa mweka hazina wa chama baada ya Marehemu, sehemu nyingine inasema pindi Kikwete alipoibadilisha sektretariet yake...Nikashangaa kwani nimewahi kusoma ktk site ya CCM kwa mara ya kwanza kumjua Rostam ni nani ndani ya chama hicho wakati Mkapa akiwa kiongozi na hekaheka za uchaguzi ndani ya chama zimeanza na tukizungumzia Boyz to Men....Kumbukumbu yangu haiwezi kuwa imepotea kiasi hicho..
Ndio maana nimesema sielewi ni lini Rostam aliondoka na kurudi tena iwe baada ya marehemu Mbatia au wakati Kikwete alipobadilisha sektretarieti ya chama..Na kama Mbatia alikuja kuwa mweka hazina nadhani hakushika nafasi hiyo kwa miaka miwili kama sio mwaka tu. Je, nani alikuwa mweka hazina wa chama CCM kabla yake?..nachopinga mimi ni hizi taarifa zinazomfanya Rostam kuwa mweka hazina wa CCM wakati wa Kikwete tu.. sii kweli alikuwa kabla ya hapo!..
Kwa sababu wakati fedha za EPA zinatoka Rostam alikuwa mweka hazina wa chama na nakumbuka mimi kuzungumzia hilo ktk malumbano ya utawala wa Mkapa na uongozi wake as one of my strong evidence za Ufisadi wa Mkapa...licha ya hapo kabla marehemu hajafariki aligusia kutohusika na wizi wa EPA..Iweje marehemu aseme hakuhusika wakati yeye ndiye alikuwa mweka hazina wa chama, jambo ambalo Rostam leo pia anadai yeye hakuwa mweka hazina wa chama isipokuwa marehemu..maneno haya anayasema baada ya kifo cha marehemu lakini nakumbuka nyuma kabla ya kifo cha Bi. Mbatia aliwahi kukubali...Huoni kama hapa tunapigwa bao mkuu wangu..
Re: Rostam Aziz of New Habari Corporation: The Reality about him
Mkuu Mkandara,
CCM national treasurer ni mjumbe wa CC. Rostam hakuwahi kuwa mjumbe wa CC wakati wa Mkapa. Kwenye hivi vikao vya CC kuelekea uchaguzi mkuu wapambanaji wa JK pamoja na mwenyewe, walikua Emmanuel Nchimbi, Mama Meghji na Mzee Ngombale.
Aliyekuwa treasurer CCM taifa 1997-2002 alikua Abdallah kigoda, na baada ya mkutano mkuu wa CCM 2002, treasurer CCM taifa alikua marehemu Salome Mbatia, mpaka baada ya uchaguzi mkuu wa 2005, ambapo sekretariat yao nzima iling'atuka na Mkapa kwenye mkutano maalum 2006 wa kumpa JK chama kabla ya wakati.
Rostam alikua mweka hazina wa mtandao, na kulikua kuna issue za uratibu wa campaign ya urais kwa mgombea wa CCM JK kuratibiwa na ofisi mbili na Mangula alilalamika kuwa sidelined, ofisi moja rasmi, na nyingine sio rasmi under Rostam. During this time kumbuka hawa jamaa walisha assume power hata kabla mtu wao hajaapishwa. Na ndipo Kagoda ilipofanya vitu vyake BoT. Balali na hata Kitilya wa TRA wanajua mikwala ya huyu bwana kuelekea uchaguzi mkuu 2005. Maana ilikua ni either unacooperate au you will payback come JK akishaapishwa 2005.