Jamii IntelligenceSerious reports & Discussions on Corruption, Politics etc recommended to our clients! Detailed discussions which you need not to miss
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE: CCM magnates in the media
The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the government party on economic and financial issues, the businessman and MP Rostam Aziz has recently acquired a significant stake in the largest press company in the country, Habari Corporation Ltd (HCL).
And yet he is not a newcomer in the Tanzanian press sector, since during the 1990s he had launched the company Mwananchi Communications Ltd (MCL) in partnership with Ferdinand Ruhinda, a former ambassador turned businessman and close ally to former President Benjamin Mkapa.
Aziz and Ruhinda subsequently joined forces with the Aga Khan's Nation Media Group to launch a daily English language newspaper, The Citizen.
They later disagreed with their Kenyan partners over the coverage of Jikaya Kikwete's election campaign last year. A few months ago Aziz therefore sold a large proportion of his shares in MCL and purchased the stakes held by several journalists (Salva Rweyemamu, Jenerali Ulimwengu and William Shoo) in HCL. Since then this press group which was quite virulent under the previous regime has calmed down considerably with the present government. Other CCM dignitaries also have interests in the media. This is so in the case of Minister of Livestock, Anthony Diallo the owner of Sahara Communications Ltd which operates Star Television and Radio Free Africa as well as publishing the weekly magazine Msanii Afrika.
For its part, the IPP Media group (The Guardian Ltd, Media Solutions Ltd, Independent Television and Radio One Ltd) owned by the magnate Reginald Mengi has always been able to butter up successive governments. However, today he is in the line of sight of several CCM executives due to some of his news stories.
.....WEWE HUJAJUA TU MWAFRIKA WA KIKE ? NENDA PALE MWAMBIE HUYO JAMAA WA RESEARCH APITE PALE ATAPATA KILA KITU LAKINI KWA KUANZIA ANZA KUANGALIA
Asante SHY,
Nilichotaka mimi kujua sio ramani na mahali ambapo kuna madini bali na nini kiko ndani ya mkataba kati ya serikali na kampuni na kigeni za kuchimba madini....kitu ambacho serikali ilikataa kabisa kutoa hizo information kwa madai kuwa kuna makubaliano ya biashara za kimataifa yanawazuia wananchi wa Tanzania kujua ni nini serikali yao inaingia kwenye mkataba kwa ajili yao!
Sijui kama hilo linapatikana hapo mineral center
__________________ Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Naijutia kura yangu kwa huyu Muungwana, matarajio yangu yameyeyuka. Nilitegemea kiama cha mafisadi lakini naona wanatesa kwa saaana. Mungu atupe uhai 2010
RA ninayemuongelea mimi ni yule wa before 2005. Pesa zake ambazo nasema ni halali ni zile zilizotokana na bahati yake ya ku-secure contract na mining companies in Tanzania to supply them with production inputs. Thats what his business did and still does.
RA wa 2005 and beyond ndio namsikia humu na spin politics zake. Na ukweli unabakia pale pale kwamba kama yote yanayosemwa humu ndani ni sahihi na yana ushahidi, something has to be done kukiokoa chama.
Muhimu zaidi ni kwamba, hoja zote hizi kuhusu RA zitapigiwa kelele weee na wana forum, many members trying to present evidence na pia kulalama kwa uchungu, then the topic will die and move to something else. Kwa mwendo huu, JF cant make any difference zaidi ya kuwa alert wahusika kwamba wananchi, especially waishio nje na wenye access to mtandao wana idea of whats going on. Na itaishia hapo.
Kama tuhuma hizi ni za kweli, something has to be done in a very organised way kukiokoa chama na kama chama hakitaweza okolewa, then kuikoa nchi.
RA ninayemuongelea mimi ni yule wa before 2005. Pesa zake ambazo nasema ni halali ni zile zilizotokana na bahati yake ya ku-secure contract na mining companies in Tanzania to supply them with production inputs. Thats what his business did and still does.
RA wa 2005 and beyond ndio namsikia humu na spin politics zake. Na ukweli unabakia pale pale kwamba kama yote yanayosemwa humu ndani ni sahihi na yana ushahidi, something has to be done kukiokoa chama.
Muhimu zaidi ni kwamba, hoja zote hizi kuhusu RA zitapigiwa kelele weee na wana forum, many members trying to present evidence na pia kulalama kwa uchungu, then the topic will die and move to something else. Kwa mwendo huu, JF cant make any difference zaidi ya kuwa alert wahusika kwamba wananchi, especially waishio nje na wenye access to mtandao wana idea of whats going on. Na itaishia hapo.
Kama tuhuma hizi ni za kweli, something has to be done in a very organised way kukiokoa chama na kama chama hakitaweza okolewa, then kuikoa nchi.
1. Siyo kwamba pesa zote alizonazo RA ni chafu, lakinmi chafu ni nyingi, hata kabla ya ya 2005. Kumbuka, baadhi ya pesa hizi ndizo zilitumika kutafuta na kununua urais wa Kikwete kwa miaka 10; na huko ndiko alikoanzia spinning. Usidhani amekuwa spin-doctor majuzi baada ya 2005.
2. Baada ya 2005, Kikwete amemzawadia miadi mingi katika madini kimyakimya. Hata Richmond na Dowans anahusika moja kwa moja. Kwa hiyo, huyo siyo mtu anayepaswa kuaminiwa katika suala hilila madini kwa sababu ana interests za moja kwa moja; na mwenza wa Karamagi katika biashara kadhaa ikiwamo TICTS. Hivyo anamtetea rafiki yake, haangiki na maslahi ya taifa.
3. Naona unakipenda chama sana , kiasi ch akukitanguliza kabla ya taifa. Hiki chama hakiokolewi tena mikononi mwa manyang'au. Jitihada za kukinusuru zilishindikana pale alipoangushwa Dk. Salim, kikanyakuliwa na wasanii. Utaanzia wapi kukiokoa chama kinachoongozwa na Kikwete, Makamba na Rostam?
4. Hatuwezi kukubali yaishe, wala hatuwezi kuishia hapa kwenye mtandao. Jawabu ni kuhsiriki siasa moja kwa moja kila mmoja kwa sehemu anayoweza au kupiga kelele kupitia forum zinazowafikia wananchi kama anavyofanya Mkjj. Sauti hizo hazipotei bure, bali zinasaidia kuongeza elimu kwa umma pale walipokuwa hawajui,, nakuwapa moyo kwamba wanaweza. Zinawaasha waliolala kwa ajili ya mapambano mapya.
Kichwa Maji
Una hoja nzuri sana kwamba hata before 2005, kambi ya Jk ilikuwa inajijenga na RA was behind it. Lakini hii haina ubaya wowote. Mtu kama una legal money yako na unasaidia kambi yako as a friend ishinde urais, its not a problem as long as hizo hela for most part ni za halali. Ila swala linakuja on what happens after huo urais unapatikana. Na kama yanayosemwa humu kuhusu RA post 2005 ni kweli, hii ni hatari sana kwa chama na serikali.
Sio kwamba nina mapenzi zaidi na chama kuliko nchi yangu but ukweli unabaki kwamba the only party that can move us forward is CCM. BUT, kiwe in the right hands. Wapinzani wote ni wasanii, na siwezi vipa heshima vile kama ni vyama, they are just pressure groups. Hawaja graduate kufikia kuwa vyama in my view.
Cha muhimu ni kukiweka chama cha mapinduzi in the hands of the right people na pia serikali in the right people's hands, especially wizara ambazo zina direct effect na maendeleo ya nchi.
Dr. Salim wouldnt have made a good president. Nchi ingeenda kubaya sana kutokana na ZNZ kutomtaka kabisa awe mtawala wao. And they have a very good point on that ambayo hata Nyerere aliikubali na alikuwa bado anaendelea kuibembeleza isamehewe both 1985 na 1995 bila mafanikio. Sasa kama Salim aliona hiyo haikuwezekana na pia kama aiona wazi kwamba hatakiwi kuwa kiongozi wa juu pale aliporudi toka AU na kukaa kidogo then pakawa na nafasi ya makamu wa rais ambayo huwa inaenda kwa mpemba na yeye ni mpemba na hakupewa, isnt that a sign kwamba hutakiwi?
Pia watu walishachoka uongozi wa Nyerere. Salim angerudisha kambi yote ya Nyerere ambayo wengi walishaichoka kwa maovu yao. Kila uongozi una maovu yake. Vice president angekuwa Warioba - nyerere's peer; Butiku labda angekuwa waziri wa foreign au fedha or even chief secretary...the list goes on. Hii ingeleta tensions mbaya sana in the party na serikali kwa jumla. Watanzania hawajui ni jinsi gani tulivyonusuriwa kwa kumpa JK na kambi yake uongozi. They are not perfect but atleast ubaya wao ni on things they are creating for themselves after they got in power, not things prior to that kama vile ingekuwa salim.
Mwandosya would have made a good second choice ingawa na yeye ilionyesha ni mtu wa jazba zaidi ya logic. Sumaye angeharibu sababu angekuwa busy to prove people wrong.
So any of the candidates angekuwa na mapungufu mengi tu na tungekuwa busy leo hii ku argue on hayo mapungufu.
Inawezekana RA anahusika na baadhi au yote yaliyojengewa hoja humu lakini ukweli unabaki kwamba hela zake before 2005 alizipata kwa njia yake halai kabisa, hakuibia mtu.
Kuhusu link ya Karamagi, RA na wengine waliotajwa, kuna ushahidi gani? tunauomba tafadhali ili tuzidi kuelewa nini kinaendelea. Sijaona popote kwenye magazeti kuhusu RA kuwa mwizi, mla rushwa etc. Uwezekano upo ila tunaomba ushahidi. Kuna kina thisday, mwanahalisi etc na wanaweza kabisa kutuwekea bayana majambo haya.
Hata Nyerere alisema "CCM si baba wala mama,nitaacha kama itakosa mwelekeo"
CCM ya leo tayari imeshakosa mwelekeo na labda wakati umefika
wa kupigwa mweleka.
Upinzani wanaanza kujifunza, Na ni mategemeo yangu kwamba kweli wanajifunza na wataendelea kujifunza.
Tanzania ya leo ina pande mbili ambazo zote ni dhaifu, CCM dhaifu kimaadili na Upinzani dhaifu kifikra. Sio rahisi CCM
kubadilika sasa maana lundo lao limejaa kila aina ya uozo. Inatakiwa washindwe kwanza labda ndio watajisafisha na vijana
wenye imani na yale aliyokusudia Nyerere wanaweza kushika usukani na kukitengeneza chama upya.
Upinzani ni dhaifu kwasababu wana kundi dogo sana la watu ambao
angalau unaweza kuwaamini.Kuongoza nchi kunahitaji watu wengi za ya hao. Lakini wanajifunza na hilo ndilo zuri. Kama wataendelea kujifunza bila kugombana, kuna muda wa kutosha kuweza ku recruit sio tu wananchi lakini pia watu ambao wanaweza kushirikiana nao.
Somo la maana zaidi ni kwamba CCM wakigundua upinzani wanaungana, wao pia wataamka na hapo faida itakuwa kwa Tanzania na watanzania wengine kama sisi ambao tunataka kuona mapambano ya fikra bungeni na kwenye jamii yetu na sio personalities.
Ningelikuwa mimi upinzani hizi sentensi mbili za Nyerere, ningezitumia kwenye kila mkutano:
"CCM si baba wala mama,nitaacha kama itakosa mwelekeo" Aliyoyatabili mwalimu yametimia, CCM sasa imekosa mwelekeo.
Atueleze mali amezitoa wapi? (kuhusu Lowassa)
Mimi naona ni kupoteza muda kwa upinzani kumwongelea RA, japo ana nguvu CCM lakini wanaomjua ni wachache. Lazima juhudi kubwa ielekezwe kwa Lowassa mwenyewe.
naam kweli kazi ipo,I really never trusted this Muungwana,mnaona mambo yamemshinda na anakimbilia mikoani tu,it seems to him Dsm in now really hot...hata huko mikoani atakumbana tu na hasira za wananchi,si mnanona wananchi wa Buzwagi walivyompokea?na bado Zitto ndo anazidi kumfutilia huko koete anakopita Muungwana...bust as the saying goes,"NOTHING LASTS FOREVER" ndivyo inavyoelekea kuwa hapa Tz kwa CCM
mwisho nina swali:inakuwaje Ulimwengu auze Rai kwa huyo RA halafu akae kimya?you know now I really doubt the personal integrity of Ulimwengu...kama ni mtu msafi kwa nini hajaanzisha gazeti jingine ilim kupambana na hao mafisadi aliowauzia HCL?tafadhali waungwana nisaidieni hapo.
mwisho nina swali:inakuwaje Ulimwengu auze Rai kwa huyo RA halafu akae kimya?you know now I really doubt the personal integrity of Ulimwengu...kama ni mtu msafi kwa nini hajaanzisha gazeti jingine ilim kupambana na hao mafisadi aliowauzia HCL?tafadhali waungwana nisaidieni hapo.
Good question. Ulimwengu started that company from scratch na alipewa fedha na donors 100% kutokana na ku present project nzuri sana on RAI na donors wakaona ni kitu kitachosaidia sana maendeleo Tanzania. RAI did good as we all know, it did very well.
Sitamlaumu kwa kuacha RAI sababu he went through a lot na hakuwa na msaada wa maana. He sold RAI for a reported figure of USD 3 Million.