| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 862
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
The opposition's only hope is a run-off election, hopefully with the whole world scrutinizing every move.
Kibaka's people already said they will be ready if this will be coming from the court system.The KSh 1 Billion needed is already budgeted.The only issue is whether the court system is independent enough. Maybe this time Raila will get a sizable enough lead to make vote rigging out of the question. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
__________________
Huwezi kuona kitu kilipo na kujua kinakwenda kwa mwendo gani wakati huo huo,ukikiona kilipo huwezi kujua mwendo wake, ukijua mwendo huwezi jua kilipo |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
kijakazi nakupongeza kwa hilo,,kwanini wanawaabudu sana hawa wazungu yyyyyyyyyy???????weka kiswahili watu waelewe,,,si wote wamepitia oxford:
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Labda ni wakati kwa waswahili na sie tujifunze kile mzee Mwinyi alichokiita "Kiswahili cha dunia".Kuna wengine Kiswahili chao sio kizuri kama kiingereza, kuna wengine wanataka watu wengi zaidi wafikiwe na ujumbe -naambiwa tuna hadhira ya kimataifa humu ambayo baadhi yake hawaelewi kiswahili-
Kukuza Kiswahili ni muhimu, lakini kama tunataka kupanua uchumi na kuleta maendeleo ya kweli ni lazima tujifunze kiingereza.Ambao hatujapita Oxford tunaweza hata kwenda English course ya "Nimesema Maimuna" Matokeo ya kukazania Kiswahili bila kutilia maanani Kiingereza tunayaona, ndiyo hao kina kikwete wanaenda MSNBC na Paris Club kutia aibu za "yu knoo" "of koozi" nyiiiingi. 1.Kiswahili muhimu na inabidi kijengwe na kutumiwa ipasavyo.Hususan Kiswahili sanifu. 2.Watu waachiwe uhuru wa kutumia lugha wanayopenda ilmuradi hawachanganyi. 3.Kuna haja ya kuongeza ujuvi wetu wa Kiingereza |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
They shoud steadfastly stick to "International arbitration, a reconstituted court if they had to go that route, never ever to recognizing the legitimacy of a Kibaki administration, recounting of votes probably is no good now." Mwafrica: There is hope still for Kenya. Their situation is in many ways very different from all those other places you listed down. It all boils down to how ODM play their cards well. They have the majority of the population of Kenya behind them. The international community, especially these wazungus of the new colonial era are irrelevant when the population is solidly behind ODM.The big question is, can ODM rise to this challenge? Raila and his team should strategize carefully; Kibaki has no mandate to rule Kenya.,
__________________
'Mwalimu' Kasema: It can be Done. Play your Part. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
1. Mimi nimekuwa namuunga Kibaki tangu siku nyingi- uliza hata K-T na actuaaly tulishaafikiana this Jan naenda Naenda Nairobi kusherekea ushindi wa Kibaki- nae akesema nienda tunywe tusker kusherekea Ushindi wa Raila!
2. Kilichopo sasa ni haja ya kuwa serikali ya Pamoja kati ya Kibaki na Raila na hili mimi nimelisema tangu mwanzo. Kama alivyosema Mwafrika- sasa Kibaki ameapishwa kama raisi wa Kenya- hawezi kuachia tu kiti hivi hivi as he has state machinery and he is a sitting president! Jambo ambalo is not so clear is if Kibaki forced Kiviutu to announce him as a president! Hivi tulitarajia Kibaki afanye nini baada ya kutangazwa kuwa raisi? Angekataa kuapishwa? Je Wakikuyu nao wangekubali hivyo kirahisi? sasa kwani yeye aligombea uraisi ili nini? Wafuasi wake je wangemwelewa? 3. We need a Coalition Government- Kibaki Raisi, Raila Makamu na mawaziri wagawane nusu kwa nusu kuhakikisha amkabila yote ya Kenya yanashirikishwa! 4. Then Kenya baada ya hili they must resolve- other issues na kuwa na katiba mpya- na pia swali ya majimbo ni muhimu- so as each to get a fair share from the national Cake!
__________________
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa! |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Binafsi, siziamini siasa za Kenya kuwa zinaweza kwua a role model katika Central and East Africa, nimekuwa very dis-appointed na NARC, kwahiyo sikuona ajabu kwa yaliyotokea juzi kwa sababu so far politically nothing worthy to be learned kwetu waa-Afrika wengine, the whole thing is a political joke,
Under serikali ya Odinga na Kibaki, wananchi wa Kenya walikataa referendum ambayo wangeikubali ingemsaidia sana Odinga kwenye huu uchaguzi, kwa nini then Odinga hakuweza kuliona hilo na kulifanyia kampnei lipite? Wananchi wa Kenya waliikataa kwa sababu waliona kuwa ni njama za wanasiasa wao Odinga included za kutaka kuwazamisha na kuwaibia zaidi. Ni kweli Demokrasia huko Kenya this time imepigwa chini, historia ya uchaguzi huko inaonyesha kuwa wannchi wa Kenya wana tabia ya kutowapa kura viongozi hao hao kwa muda mrefu, the matter of fact katika the last 10 years, viongozi 300 wametolewa kwenye madaraka kwa sababu wananchi waliamua kuwa wamechoka nao, wanataka waingie wengine, regardless of what they did and did not do kwenye majimbo yao, kwa hiyo ni kweli walipiga kura za kumtoa Kibaki, lakini in the big picture kumtoa Moi, kumuingiza Kibaki, halafu kumtoa Kibaki na kumuingiza Odinga, to me does not sound kama ni wananchi wanaojua wanachokifanya au wanachokitaka, nilifikiri kuwa the lesson of no significant changes under Kibaki, kwa wananchi wa Kenya litakuwa lime-sink in, The US walikuwa tayari wako na Kibaki, kwa sababu he is one of a very few Afrikans leaders wanaopokewa kwa red carpet kule White House, kwa sababu Kibaki ni the devil they know, as opposed na Odinga ambaye hawamfahamu, ingawa political history yake inaonyesha kuwa ni mtu anayependa power at any cost, na hii ilianzia na baba yake, sisemi kuwa ni sababu nzuri ya kumuibia kura, lakini binafsi I do not like wote walioko kwenye national politics za huko, ninaamini kama Tanzania, wanahitaji watu wapya kabisa na ku-do away na the old establishment, Kibaki ameshaapishwa kama katiba ya nchi inavyosema, anaweza kung'olewa tu iwapo wabunge wengi wakiibatili sheria, lakini je Kibaki na Wa-Kikuyu watakubali? Kinachowafanya the West ku-side na Kibaki ni sababu moja tu nayo ni the fear of Kikuyus, kwa sababu wana nguvu zaidi ya makabila yote huko, wana uwezo financially, na the most vicious people katika makabila yote ya Kenya, meaning kwamba pamoja na demokracy na siasa, bado siasa za Kenya ni lazima ziwe reduced to nguvu za makabila, ndio maana ninasema this kind of demokracy is not worhty of any respect form other Afrikan's nations, na hasa sisi Tanzania! |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Una uhakika na hili? Maana kwenye referendum Wakenya walikataa ile katiba ambayo Kibaki alitaka kuwaletea baada ya kukataa katiba ya maana ambayo ilitungwa na wananchi wengi. Wakenya wangepitisha ile katiba wangekuwa wamepoteza hasa maana afadhali sasa hawana katiba ya maana na kuna siku watakaa pamoja na kutengeneza nyingine. Ukipitisha katiba mbovu kwa kutumia wananchi wote kupiga kura, jua hapo mmefungwa bao na hakuna katiba ya maana tena. Katiba wanayotaka Wakenya ni hii ambayo Raila aliwaambia atawaptia within six months, of course kama na yeye hageuki kama Kibaki maana tunawajua hawa watawala wetu kwa kuwa vigeugeu. |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Mwafrika, I also hate myself to think that the ODM maybe running out of steam! But the only hope I have is the bravery and perseverence of Mr Odinga. This man (Raila) is a different character, he is far looking and so much determined. I am sure he foresaw the possibility of vote rigging well before the election took place and therefore must have made several counter plans. So far we have only seen one plan in action. I believe many are to come. As much as we may start being dissapointed and Kibaki maybe relaxing now, I am sure there is something that Raila is "cooking" that will be a last blow to Kibaki.
My only worry is that if Kenya fails to turn around this vote rigging and Kibaki stays in power undisturbed, it will have set a very bad precedence to the rest of Africa and particularly to Tanzania; it will be very much to the rejoice of CCM especially in so far as Zanzibar elections are concerned. If they can rig an election in a vigilant Kenya, what can happen in a sleeping Tanzania? I don't want to think that this story is over as it is. The worst we can hope is a Zimbabwe scenario where the west will have to put utter sanctions on Kibaki and his cronies; at least this can send a strong warning message to CCM and other such mornachy parties in the continent.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:42 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||