Re: The US 08 Elections: Obama in the History making
Jamani twendeni kulia na kushoto,hawa jamaa wanaipenda sana nchi yao, hivi ni kwa nini sisi uzalendo haupo??
maana hawa jamaa wanaweza kukuvutia uende ukaishi huko moja kwa moja usirudi TZ ATI??
__________________
‘’I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians’’. Charles De Gaulle (1890 - 1970)
|