International ForumAfrican & International Bloggers' home. Politics, Economics & News in General. Let's exchange our views on matters arising in this globe! YES, we can!
Pamoja na kumpongeza lakini bado wako Wamarekani wengi weupe Republicans and Democrats mbao wanasema 'America is not ready for a black president or a woman president' pamoja na kuwa watasherehekea miaka 232 ya uhuru wao hapo July 4, 2008.
Huo ndio ukweli. Itakuwa ni maajabu ya hali ya juu kama mgombea wa Democrats akiwa Obama halafu apite katika uchaguzi hapo Nov, 2008.
Na katika kuweka mambo saw ani kuwa BWANA masatu huyu jama anaitwa KEITH ELISON ni Musilam tena siyo NOI ni orthodox Muslim na alishinda uchaguzi na sasa hivi ni Congressman. The man is not MWARABU or anything else but rather ni AFRICAN AMERICAN na aliapishwa kwa kutumia QUR'AN
Love them or hate them lakini sometimes Americans can always show us the way in certain things
Mkuu GT Heshima mbele,Huyu Jamaa Keith nafahamiana nae,Nami kila siku namfananisha na Bwana Obama,na kama ajabu wana urafiki Mkubwa na huyo Obama,Wamefanana kwa mengi labda pengine kwa sababu wote ni Lawyers na watu wa Human Rights.Huyu Jamaa ameweza kuingia kwenye Congress kwa kupitia Mji wa Minneapolis (Wazungu wengi)na pia ni Red State,na hivi sasa amekuwa muhimu huko,kwa sababu ndio kiungo kati ya Wamarekani na Waarabu,anadai kila siku kwamba siasa za Wamarekani dhidi ya Waarabu ndio zinazochafua Amani duniani,kwa kipindi kifupi alichokuwa kwenye Congress keshafanya Ziara kwenye Nchi 14 za kiarabu ili kuleta Nuru Mpya ya Wamarekani iliyoharibika huko Kwa Waarabu.
Pia ni mmoja wa Congressman anayejua mengi kuhusu Tanzania,Ni mmoja kati ya wamarekani wachache walioona documents za Ufisadi wa BOT,Ili kujifunza mengi kutoka kwakemnaweza kuwasiliana nae,ni social na mtu mpenda kujifunza.Wale Ndugu zangu mliopo Minneapolis/St.Paul Tafuteni muda wa kuonana na huyu Jamaa anapatikana kirahisi ukiweka appointment.Ukipata wasaa wa kuzungumza nae utajifunza mengi..
__________________ Its not enough to do good if you can do better.
Ni kweli kuna safari ndefu na ngumu mpaka ashinde Urais wa Marekani lakini matunda yaliyoonekana kule Iowa jana ni moja ya statement nzuri to the rest of the United States of America kuwa Black Person/Minority electability is possible amongst constituents with majority white voters.
Pamoja na kumpongeza lakini bado wako Wamarekani wengi weupe Republicans and Democrats mbao wanasema 'America is not ready for a black president or a woman president' pamoja na kuwa watasherehekea miaka 232 ya uhuru wao hapo July 4, 2008.
Huo ndio ukweli. Itakuwa ni maajabu ya hali ya juu kama mgombea wa Democrats akiwa Obama halafu apite katika uchaguzi hapo Nov, 2008.
Mkuu GT Heshima mbele,Huyu Jamaa Keith nafahamiana nae,Nami kila siku namfananisha na Bwana Obama,na kama ajabu wana urafiki Mkubwa na huyo Obama,Wamefanana kwa mengi labda pengine kwa sababu wote ni Lawyers na watu wa Human Rights.Huyu Jamaa ameweza kuingia kwenye Congress kwa kupitia Mji wa Minneapolis (Wazungu wengi)na pia ni Red State,na hivi sasa amekuwa muhimu huko,kwa sababu ndio kiungo kati ya Wamarekani na Waarabu,anadai kila siku kwamba siasa za Wamarekani dhidi ya Waarabu ndio zinazochafua Amani duniani,kwa kipindi kifupi alichokuwa kwenye Congress keshafanya Ziara kwenye Nchi 14 za kiarabu ili kuleta Nuru Mpya ya Wamarekani iliyoharibika huko Kwa Waarabu.
Pia ni mmoja wa Congressman anayejua mengi kuhusu Tanzania,Ni mmoja kati ya wamarekani wachache walioona documents za Ufisadi wa BOT,Ili kujifunza mengi kutoka kwakemnaweza kuwasiliana nae,ni social na mtu mpenda kujifunza.Wale Ndugu zangu mliopo Minneapolis/St.Paul Tafuteni muda wa kuonana na huyu Jamaa anapatikana kirahisi ukiweka appointment.Ukipata wasaa wa kuzungumza nae utajifunza mengi..
Damn man!
I am very impressed na hili.Sasa zile documents za BOT zingemfikia Jendayi Freizer lakini dont expect alot from her...looks like she was under JK's spell kama Condi
hivi unajua kam Keith Elison kakubalika mpaka na Mayahudi? vile vile tusisahu kam Minesota ni Homebase ya WASOMALI ...
Quote:
In it's endorsement of Ellison, the AJW wrote: http://njdc.typepad.com/njdcs_blog/2...alls_on_a.html
“… Ellison acted as the lawyer for the House DFL caucus in an ethics proceeding against former representative Arlon Lindner, who contended that gays were not victims of Nazi oppression in the Holocaust. Ellison understands the importance of guarding against Holocaust denial and revisionism, and links the lessons of the Shoah to more recent cases of genocide in Rwanda and Darfur. Further, he supports the State of Israel and the continuation of U.S. aid to Israel. He holds to the mainstream position of a negotiated two-state solution regarding the long-standing Israeli-Palestinian conflict.”
“We all know that nobody is perfect and no political candidate is without shortcomings. We are now in Elul, the last month of the Hebrew year and the month preceding Rosh Hashanah and Yom Kippur… During this period of heightened spirituality, we find ourselves considering the choices before us as citizens of a free nation. We cannot take our civil liberties for granted, especially in the face of well-reported government actions to curb our constitutional rights and consolidate political power. In the trying times ahead, we will need courageous political leadership and we must hold our elected representatives accountable.
“We think that Keith Ellison has the attributes to be a dynamic and effective representative in Congress. In Ellison, we have a moderate Muslim who extends his hand in friendship to the Jewish community and supports the security of the State of Israel. He is a person with a vision of a more humane and equitable society and he is the candidate we favor in the Fifth District DFL election.” (September 1, 2006)
Ellison on Hamas and Terrorism: "… Hamas represents the greatest obstacle to [peace between Israel and in the Middle East], and… [u]ntil Hamas denounces terrorism, recognizes the absolute right of Israel to exist peacefully and honors past agreements, it cannot be considered legitimate partners in this process… Terrorism is the greatest impediment to peace. At this point the Palestinian Authority (PA) has yet to dismantle the terrorist infrastructure in Gaza and the West Bank. The United States cannot support any government that condones or embraces terrorism." (http://www.keithellison.org/issues-israel.htm)
Ellison on Iran: "The other serious threat to the security of the region is Iran's pursuit of nuclear weapons. This must be stopped. A nuclear-armed Iran would upset the strategic balance in the region and pose a clear threat to world peace. Iran's sponsorship of international terrorism as well as financial aid to terrorist organizations endangers peace around the globe." (http://www.keithellison.org/issues-israel.htm)
Ellison on Peace in the Middle East: "The United States should encourage dialogue with peaceful Palestinian leaders that recognize Israel, condemn terrorism, and honor past accords… Only with a democratic Palestinian state alongside a secure Israel can the safety of the entire region be assured." (http://www.keithellison.org/issues-israel.htm)
Nathani GT na Choveki mmeshindwa kumuelewa Masatu.
Back to the topic...Obama has done great to say the least. Sina matumaini wala uhakika sana kuwa atashinda New Hamp na States nyingine mpaka asimamishwe rasmi na Democrats for Nov election. Ila kwa hapo alipofikia anastahili pongezi sana, amefungua macho Weusi wengi USA na duniani kwa namna moja au nyingine. Laiti kama weusi wa UK nao wangekuwa wamepiga hatua kiasi hiki..
Akifanikiwa kusimamishwa rasmi na Democrats nitakuwa na furaha sana kuweza kupata nafasi ya kushuhudia historia ikiwekwa kwenye nafasi ya Uraisi USA....
Out of topic...kwa UK natabiri kuwa mtu mweusi ambaye atakuja kufikia au kukaribia mafanikio ya Obama...90% atakuwa na damu ya ki-Nigeria au Ghana...!!
__________________ "Our cherished rights of liberty and equality depend on the active participation of an awakened electorate.", Barack H. Obama. Presidential Announcement Speech, Springfield, Ill, Feb 10, 2007.
Every journey starts with a zero mile, ni kuwa kama kuna mtu kaanza safari basi ni kuwa Obama kaanza vizuri hata kama akishindwa atakuwa kwenye record kuwa alianza vizuri.