Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri! - Page 3 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > International Forum

International Forum African & International Bloggers' home. Politics, Economics & News in General. Let's exchange our views on matters arising in this globe! YES, we can!

Reply
 
LinkBack Thread Tools Display Modes
Old 9th February 2010, 11:59 AM  
Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!
PakaJimmy PakaJimmy is offline 9th February 2010, 11:59 AM

Nelson Mandela anatimiza miaka 20 (11/02/2010)tangu aachiliwe kutoka katika Gereza alikotumiakia kwa mia ka 27!

Picha ya chumba(cell) cha Mandela akiwa Robben Island.

Hapo chumbani kuna vifaa 4 tu;
-Pa kulala, kitanda?/Kirago?
-Stuli ndogo
-Debe
-Sahani na kikombe!

Je, unalinganishaje umri alio nao huyu mzee hadi sasa(miaka karibu 91), na mateso haya aliyoyapata kwamiaka hiyo yote?

-Je Huenda mateso yale yalimkomaza mwili sana na akawa fit?

-Au kukaa bila kufanya kazi kwa muda mwingi kunasababisha mtu aishi zaidi, maana mwili unakuwa haukutumika?

-Ni nini siri ya umri mwingi wa mzee huyu?

Eee Mungu mbariki mzee huyu mwenye heshima na hekima, aishi miongo kadha mingine!
__________________
Whoever Knows Everything Is Expert In Nothing

Last edited by PakaJimmy; 11th February 2010 at 11:45 AM..

PakaJimmy's Avatar
PakaJimmy
JF Premium Member
Points: 503,915, Level: 100 Points: 503,915, Level: 100 Points: 503,915, Level: 100
Activity: 61% Activity: 61% Activity: 61%
Join Date: Wed Apr 2009
Posts: 2,889
Thanks: 696
Thanked 1,224 Times in 637 Posts
Views: 758
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to PakaJimmy For This Useful Post:
MaxShimba (9th February 2010)
  #21  
Old 9th February 2010, 12:31 PM
Ndahani's Avatar
Ndahani Ndahani is online now
Ndahani has no status.
JF Premium Member
Points: 122,886, Level: 100 Points: 122,886, Level: 100 Points: 122,886, Level: 100
Activity: 19% Activity: 19% Activity: 19%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Location: Somewhere
Posts: 1,474
Thanks: 163
Thanked 461 Times in 301 Posts
Rep Power: 24
Ndahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enoughNdahani will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
Nelson Mandela anatimiza miaka 20 (11/02/2010)tangu aachiliwe kutoka katika Gereza alikotumiakia kwa mia ka 27!

Picha ya chumba(cell) cha Mandela akiwa Robben Island.

Hapo chumbani kuna vifaa 4 tu;
-Pa kulala, kitanda?/Kirago?
-Stuli ndogo
-Debe
-Sahani na kikombe!

Je, unalinganishaje umri alio nao huyu mzee hadi sasa(miaka karibu 91), na mateso haya aliyoyapata kwamiaka hiyo yote?

-Je Huenda mateso yale yalimkomaza mwili sana na akawa fit?

-Au kukaa bila kufanya kazi kwa muda mwingi kunasababisha mtu aishi zaidi, maana mwili unakuwa haukutumika?

-Ni nini siri ya umri mwingi wa mzee huyu?

Eee Mungu mbariki mzee huyu mwenye heshima na hekima, aishi miongo kadha mingine!
Sio mchezo. Huyu jamaa pamoja na kulala chumba kisicho hata na meza aliwahimiza sana wenzake wajitume kujifunza na kwa kweli ile timu iliyotoka huko ilikuwa imekamilika.Hata taxi drivers waliweza kujiendeleza na kuwa professionals katika nyanja nyingine za kisomi. Kwa bahati mbaya kwa ajiri ya umri mkubwa visomo vyao wengi wanatumia kujiweka sawa kiafya nyumbani.
__________________
"I want to shoot the moon...and even if it happens that I fail, I will land among the stars"
Reply With Quote
  #22  
Old 9th February 2010, 12:33 PM
PakaJimmy's Avatar
PakaJimmy PakaJimmy is offline
PakaJimmy is a SUBJECT MATTER EXPERT!
JF Premium Member
Points: 503,915, Level: 100 Points: 503,915, Level: 100 Points: 503,915, Level: 100
Activity: 61% Activity: 61% Activity: 61%
 
Join Date: Wed Apr 2009
Posts: 2,889
Thanks: 696
Thanked 1,224 Times in 637 Posts
Rep Power: 26
PakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enoughPakaJimmy will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
yah nimeweka rangi,naikubali hoja yako kama ulivyosema kwakweli maana naona pia kama watu wenye hekima mara nyingi huishi muda mrefu sana wala si uongo,tatizo ninachojiuliza sasa ni je tutaendelea kupata watu wenye hekima kama hawa na wengineo tena?maana naona kadri siku zinavyokwenda maadili yanazidi kuponyoka kwa kasi kubwa;mfano tu rejea hapohapo south na kwa rafiki mkubwa wa mandela
prezidaa jacob zuma mambo yake.
Nadhani watu hawa huwa wanaumbwa wachache sana, kwa nia maalum. Mungu anawaweka watu hawa ili wawe taa katika jamii za ulimwengu!
Mandela kwa umri alio nao sasa hafanyi kazi ambazo ni phyisical sana, lakini uwepo wake tu ni kemeo kali kabisa kwa maovu mengi.
Hivi kwa hapa Tanzania tuna nani aliyebakia wa jamii hii?
__________________
Whoever Knows Everything Is Expert In Nothing
Reply With Quote
  #23  
Old 9th February 2010, 12:40 PM
babukijana's Avatar
babukijana babukijana is offline
babukijana kikolo
JF Senior Expert Member
Points: 228,574, Level: 100 Points: 228,574, Level: 100 Points: 228,574, Level: 100
Activity: 50% Activity: 50% Activity: 50%
 
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 730
Thanks: 67
Thanked 195 Times in 137 Posts
Rep Power: 22
babukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
Nadhani watu hawa huwa wanaumbwa wachache sana, kwa nia maalum. Mungu anawaweka watu hawa ili wawe taa katika jamii za ulimwengu!
Mandela kwa umri alio nao sasa hafanyi kazi ambazo ni phyisical sana, lakini uwepo wake tu ni kemeo kali kabisa kwa maovu mengi.
Hivi kwa hapa Tanzania tuna nani aliyebakia wa jamii hii?
nakubali mkuu,halafu wala hajakaa sana madarakani kawaachia wengine!!,kuna watu wanaumbwa na roho duniani mzee,sipati picha kama mugabe ndio angekuwa kakaa jela namna hiyo halafu atoke awe president kama mandela hakyanani hata angekufa maiti yake ingeng`ang`ana kuendelea kuwa president wa nchi.
Reply With Quote
The Following 3 Users Say Thank You to babukijana For This Useful Post:
Bujibuji (9th February 2010), Dark City (9th February 2010), PakaJimmy (9th February 2010)
  #24  
Old 9th February 2010, 12:41 PM
bht bht is offline
bht I am counting my blessings!
JF Premium Member
Points: 182,139, Level: 100 Points: 182,139, Level: 100 Points: 182,139, Level: 100
Activity: 100% Activity: 100% Activity: 100%
 
Join Date: Thu May 2009
Posts: 4,627
Thanks: 1,445
Thanked 1,710 Times in 1,296 Posts
Rep Power: 30
bht will become famous soon enoughbht will become famous soon enoughbht will become famous soon enoughbht will become famous soon enoughbht will become famous soon enoughbht will become famous soon enoughbht will become famous soon enoughbht will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
Nadhani watu hawa huwa wanaumbwa wachache sana, kwa nia maalum. Mungu anawaweka watu hawa ili wawe taa katika jamii za ulimwengu!
Mandela kwa umri alio nao sasa hafanyi kazi ambazo ni phyisical sana, lakini uwepo wake tu ni kemeo kali kabisa kwa maovu mengi.
Hivi kwa hapa Tanzania tuna nani aliyebakia wa jamii hii?
TZ sikuhizi kama hm washua wamesafiri vile!! kila mtu ndani mbabe anafanya atakacho......
__________________
You dont have to win every Argument, Agree to Disagree
Reply With Quote
  #25  
Old 9th February 2010, 12:44 PM
Balantanda's Avatar
Balantanda Balantanda is online now
Balantanda Arsenal damu
JF Senior Expert Member
Points: 408,998, Level: 100 Points: 408,998, Level: 100 Points: 408,998, Level: 100
Activity: 49% Activity: 49% Activity: 49%
 
Join Date: Sun Jul 2008
Location: Kusadikika
Posts: 2,537
Thanks: 769
Thanked 1,136 Times in 654 Posts
Rep Power: 28
Balantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enoughBalantanda will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Tafuta movie na Documentary hizi zinaelezea vizuri sana maisha ya Madiba

__________________
Amantium irae amoris integratio est
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Balantanda For This Useful Post:
bht (9th February 2010)
  #26  
Old 9th February 2010, 12:46 PM
Pearl's Avatar
Pearl Pearl is offline
Pearl has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 267,106, Level: 100 Points: 267,106, Level: 100 Points: 267,106, Level: 100
Activity: 80% Activity: 80% Activity: 80%
 
Join Date: Wed Nov 2009
Location: banda la kuku
Posts: 1,637
Thanks: 947
Thanked 638 Times in 389 Posts
Rep Power: 24
Pearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enoughPearl will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

kwaiyo cc kula bata kwa hela zetu na raha zetu ww unakeeeeeeerwa?
Quote:
View Post
si mmeanza kuchati??????????/

mkitoka hapo mnaanza kuongelea masuala ya bata, wakati ishu ni maisha marefu ya mandela!!!!!!!!!!!

sometimes muwe mnaona aibu
__________________
Forever young!I wanna be!
Reply With Quote
  #27  
Old 9th February 2010, 01:02 PM
Magulumangu Magulumangu is online now
Magulumangu Avumaye baharini.....
Senior Member
Points: 56,280, Level: 100 Points: 56,280, Level: 100 Points: 56,280, Level: 100
Activity: 7% Activity: 7% Activity: 7%
 
Join Date: Thu Jan 2010
Posts: 135
Thanks: 0
Thanked 36 Times in 29 Posts
Rep Power: 21
Magulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enoughMagulumangu will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
Nelson Mandela anatimiza miaka 20 (11/02/2010)tangu aachiliwe kutoka katika Gereza alikotumiakia kwa mia ka 27!

Picha ya chumba(cell) cha Mandela akiwa Robben Island.

Hapo chumbani kuna vifaa 4 tu;
-Pa kulala, kitanda?/Kirago?
-Stuli ndogo
-Debe
-Sahani na kikombe!

Je, unalinganishaje umri alio nao huyu mzee hadi sasa(miaka karibu 91), na mateso haya aliyoyapata kwamiaka hiyo yote?

-Je Huenda mateso yale yalimkomaza mwili sana na akawa fit?

-Au kukaa bila kufanya kazi kwa muda mwingi kunasababisha mtu aishi zaidi, maana mwili unakuwa haukutumika?

-Ni nini siri ya umri mwingi wa mzee huyu?

Eee Mungu mbariki mzee huyu mwenye heshima na hekima, aishi miongo kadha mingine!
baba Mandela yuko fit sana mie nadhani mazoezi nayo yanampa nguvu sidhani kama hafanyi mazoezi mpaka sasa angalau hata kunyoosha mikono juu chini mbili tatu zinamtosha kwa sasa,tuje kwetu baba nkapa anafanya hayo mazoezi?Baba wa Taifa pia alikuwa fit mungu tu alimuwahisha..Pia tunuku za mwenyezi Mungu..Bungu libariki Bara la matumain 2012..
__________________
Mla halwa
Reply With Quote
The Following User Says Thank You to Magulumangu For This Useful Post:
PakaJimmy (9th February 2010)
  #28  
Old 9th February 2010, 01:06 PM
FirstLady1's Avatar
FirstLady1 FirstLady1 is offline
FirstLady1 mwanangu hii ndio dunia!!!
JF Premium Member
Points: 420,119, Level: 100 Points: 420,119, Level: 100 Points: 420,119, Level: 100
Activity: 100% Activity: 100% Activity: 100%
 
Join Date: Wed Jul 2009
Posts: 4,623
Thanks: 1,070
Thanked 1,411 Times in 940 Posts
Rep Power: 30
FirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enoughFirstLady1 will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

umri ni thawabu toka kwa mungu ..sidhani kama uvumilivu na umri vinaendana
__________________
2010 niko kikazi zaidi
X*X*X*X*X*X*X*X*X*X
Reply With Quote
The Following 2 Users Say Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:
Dark City (9th February 2010), PakaJimmy (9th February 2010)
  #29  
Old 9th February 2010, 01:34 PM
Bujibuji's Avatar
Bujibuji Bujibuji is offline
Bujibuji NABII
JF Senior Expert Member
Points: 663,551, Level: 100 Points: 663,551, Level: 100 Points: 663,551, Level: 100
Activity: 29% Activity: 29% Activity: 29%
 
Join Date: Wed Feb 2009
Location: NYUMBANI PANONO
Posts: 1,709
Thanks: 175
Thanked 492 Times in 293 Posts
Rep Power: 25
Bujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enoughBujibuji will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
uvumilivu ndio msingi ya hayo maswali yote dia,alivumilia na kamwe hakukata tamaa
miaka 27 bila kunjunji sio mchezo..
nasikia pia kunjunji kunapunguzapunguza siku za kuishi.
__________________
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Reply With Quote
  #30  
Old 9th February 2010, 01:35 PM
babukijana's Avatar
babukijana babukijana is offline
babukijana kikolo
JF Senior Expert Member
Points: 228,574, Level: 100 Points: 228,574, Level: 100 Points: 228,574, Level: 100
Activity: 50% Activity: 50% Activity: 50%
 
Join Date: Tue Jul 2009
Posts: 730
Thanks: 67
Thanked 195 Times in 137 Posts
Rep Power: 22
babukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enoughbabukijana will become famous soon enough
Default Re: Nimeamini....Wenye Hekima Hulipwa Umri!

Quote:
View Post
kwaiyo cc kula bata kwa hela zetu na raha zetu ww unakeeeeeeerwa?
mmh;tukaribishane basi hao al,bata.plz
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
hekima, hulipwa, nimeaminiwenye, umri

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Sera Ya Vijana; 'inaeleweka?' John Mnyika Habari na Hoja mchanganyiko 6 10th August 2008 09:54 AM
Umri wa urais wapingwa Jembajemba Jukwaa la Siasa 12 5th April 2007 07:27 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 04:14 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com