JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 31 of 31
  1. nyakashenyi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th January 2013
   Posts : 138
   Rep Power : 441
   Likes Received
   48
   Likes Given
   148

   Default Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Wadau kama mnakumbuka ijumaa iliyopia Bunge la Zambia liliondoa kinga ya kutoshtakiwa kwa mtu aliyefanya makosa akiwa madarakani ,sasa mchana huu aliyekuwa Rais wa Zambia Mzee Rupia Banda yuko chini ya jeshi la polisi.What is the lesson for Tanzania??
   Last edited by nyakashenyi; 18th March 2013 at 19:13. Reason: Kuweka kumbukumbu sawa kuwa Mzee Rupia Banda alikuwa Rais wa Zambia na sio Malawi,Samahanini sana!


  2. Ralphryder's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 16th November 2011
   Posts : 4,598
   Rep Power : 0
   Likes Received
   722
   Likes Given
   92

   Default

   Quote By zumbemkuu View Post
   watajua wenyewe huko, sisi ya kwetu yanatushinda.
   Na kweli.

  3. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,568
   Rep Power : 22380
   Likes Received
   1250
   Likes Given
   1121

   Default re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   LUSAKA (Reuters) – Former Zambian president Rupiah Banda appeared before an official investigation panel on Monday to answer allegations of corruption during his three years in charge of Africa's biggest copper producer. Police barricaded roads leading to the national anti-drugs offices, where Banda underwent more than two hours of questioning behind closed doors before the session adjourned until Tuesday. After his release, Banda, who was stripped of his immunity from prosecution last week.
   Full details pitia hapa Rupiah Banda - Zimbio
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  4. Songoro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2009
   Posts : 4,164
   Rep Power : 0
   Likes Received
   942
   Likes Given
   59

   Default re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Quote By THE COMMISSIONER View Post
   Bubu Msemaovyo,

   Mchaka mchaka kama utatokea mara baada ya 2015 kwa hapa TZ kwani kwa wakati huo nyinyiemu hawatakuwa madarakani.

   Baba Mwana Asha ataeleza anaijuaje Tan Gold, Deep Green, Meremeta na Kagoda. Mzee wa utandawzi atajibu hao wanyama wametoka wapi na Richmonduli atahenya kueleza ukweli wa Richmond.

   Kwa sasa tunavuta pumzi tu.
   Mtangoja sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaa!
   "Mimi na Mh.Rais Kikwete Hatujakutana Barabarani"-Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  5. nyakashenyi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th January 2013
   Posts : 138
   Rep Power : 441
   Likes Received
   48
   Likes Given
   148

   Default re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Ahsante mkuu,nimesharekebisha tayari na samahani kwa usumbufu uliotokea kwa taarifa hiyo!

  6. kitenuly's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 337
   Rep Power : 558
   Likes Received
   51
   Likes Given
   193

   Default re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Quote By zumbemkuu View Post
   watajua wenyewe huko, sisi ya kwetu yanatushinda.
   Usione vinaelea vimeundwa


  7. SILVANUS NJENGA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th February 2012
   Posts : 174
   Rep Power : 533
   Likes Received
   13
   Likes Given
   0

   Default re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   haki sawa mbele sheria:::::::::::::::::::::::: :::::::::::::::::::::::::::::: :::::::::::::: MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UFISADI NDANI YA ZAMBIA YAMESHIKA HATAMU KWELIKWELI NA BILA SHAKA HATA SISI HAPA TZ TUTAIGA ILO KWA MANUFAA NA FAIDA YA UMMA WA TZ.

  8. Rwabugiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2007
   Posts : 3,040
   Rep Power : 1350
   Likes Received
   171
   Likes Given
   138

   Default re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Quote By Kijakazi View Post
   Mimi yaani kuna Mademu walikuwa wananing'ang'ania niwalete Dar, hawajawahi kufika lkn wanasikia stori zake, kwa jamaa zao waliokuwa Dar, yaani shida tupu, kwa kweli nimejifunza Bongo yetu utaanza kuikubli ukitoka nje ya Mipaka yetu, jamaa wanatuona tuko juu!


   Yah, hasa wakisha jua kwamba bongo ni wataalamu wa kungoa meno na kucha bila ganzi lol!

  9. PSALM_1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2013
   Posts : 289
   Rep Power : 509
   Likes Received
   93
   Likes Given
   472

   Default Re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Quote By Mzizi wa Mbuyu View Post
   Zambia bwana(Sio Malawi), iko juu sana! sio kama Kenya, TANZANIA wala Uganda!!!
   Kwanza wenyewe Uchaguzi unakuwa huru toka enzi za Kaunda hakuna kuchakachua!! yeyote atakaeshinda ndie huyohuyo...akichemka akiwa madarakani..akiondoka lazima shria imfuate!!

   Kikwette jiandae... kwa mauaji ya mwangosi, kuteswa kwa Dr Ulimboka , Kibanda, Kubenea n.k
   na ufisadi wa deep green finances!! nk nk!!
   Nakumbuka Moi(rais wa kenya enzi hizo) aliongea kwenye vyombo vya habari kuwa anashangaa sana rais aliyeko madarakani kushindwa uchaguzi, akiwa na maana kwamba Kaunda hakustahili kushindwa kwa sababu yeye ndie aliyekuwa madarakani.

  10. PSALM_1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2013
   Posts : 289
   Rep Power : 509
   Likes Received
   93
   Likes Given
   472

   Default Re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Quote By THE COMMISSIONER View Post
   Bubu Msemaovyo,

   Mchaka mchaka kama utatokea mara baada ya 2015 kwa hapa TZ kwani kwa wakati huo nyinyiemu hawatakuwa madarakani.

   Baba Mwana Asha ataeleza anaijuaje Tan Gold, Deep Green, Meremeta na Kagoda. Mzee wa utandawzi atajibu hao wanyama wametoka wapi na Richmonduli atahenya kueleza ukweli wa Richmond.

   Kwa sasa tunavuta pumzi tu.
   hayo ni mchache tu kati ya ambayo yataifanya ccm ing'ang'anie madaraka milele. Kuing'oa ccm ikulu ni kazi kuliko vile watu wanavyoongea. ccm hawawezi kuachia nchi kirahisi, hatuombei damu kumwagika lakini inaweza kutokea hivyo.

  11. MABAGHEE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2010
   Posts : 674
   Rep Power : 698
   Likes Received
   101
   Likes Given
   1

   Default Re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Kuna tofauti kati ya nchi na nchi. Kwa jinsi watanzania tulivyo kwamba hatupendi makuu nahisi hata chama cha upinzani kikipata madaraka marais waliotangulia watasamehewa makosa yao. Lazima tujivunie kuwa uvumilivu wetu si kwasababu sisi ni wajinga la hasha ila tu kwamba kila nchi inajengwa kwa misingi yake na nikutokana na hiyo misingi yake nchi inapata utambulisho wake. Mimi najivunia kuwa mtanzania kwasababu tunaweza kuongelea mambo yetu, matatizo yetu nk kwa amani na utulivu. Ingawa kuna dalili kuwa baadhi ya mambo hayaendi sawa. Ndo maana humu JF tumekuwa tukiandika udhaifu unaoonekana kutokea kipindi hiki cha kuteka na kutesa baadhi ya watu na hata mauaji vifanyiwe kazi, mambo kama haya yanachafua nchi. Nchi zetu hizi za kiafrika zina matatizo mengi na demokrasia haiji mara moja kwa nchi maskini hivi. Hata nchi zilizoendelea maendeleo hayakuja kama mvua yalichukua muda. Inatakiwa tu nasi tujisahihishe pale tunapokosea.

  12. Mzizi wa Mbuyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th May 2009
   Posts : 4,702
   Rep Power : 1701
   Likes Received
   985
   Likes Given
   813

   Default Re: Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

   Quote By PSALM_1 View Post
   Nakumbuka Moi(rais wa kenya enzi hizo) aliongea kwenye vyombo vya habari kuwa anashangaa sana rais aliyeko madarakani kushindwa uchaguzi, akiwa na maana kwamba Kaunda hakustahili kushindwa kwa sababu yeye ndie aliyekuwa madarakani.
   Ndiyo maana nchi zetu haziishi machafuko tofauti na Zambia...
   Wanausala wote wako bize kuhakikisha CCM inaendelea kutawala ...akili hii??
   Ukweli ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha usiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...