International ForumAfrican & International Bloggers' home. Politics, Economics & News in General. Let's exchange our views on matters arising in this globe! YES, we can!
THIS THREAD IS INSPIRED FROM THREAD YA WAKENYA WAMKEJELI JK
On personal level i am alaways cautious when it comes to blind Patriotism which in times i view it as state funded Propaganda lakini naona nimeshindwa kujizuia maana huhitaji kuwa NASA scientist kujua kuwa sasa hao WAPUMBAVU juu hawataki Heshima na dawa yao ni ni kujibu hoja ambazo kwa iih-sani ya poster (JEI KEI ) alipost na link na naona it will be better to respond kwa namna amabavyo MBONGO yoyote anaweza kwani ndio as much JK anakasoro zake lakini he is still OURS
By the way hii QOUTE toka kwenye link aliyo post JEI-KEI -NOTE yeye naye aliipata sehemu
na kaamua kuleta attention kwetu tu hapa JAMBO FORUM
sijui watu wataijibuje? LAKINI NITAWAJIBU KAMA IFUATAVYO:
Quote:
On a more serious note consider the following facts;
• [B][I]At the moment there is much more instability in Tanzania with a crippling 12 hour power rationing regime (on a daily basis). Many businesses have closed down and hyper inflation is setting in. The power rationing going on in that country is unprecedented in East and Central Africa.
-WRONG
Quote:
• The serious economic crisis developing in Tanzania is a threat to the economic stability of the East African Community.
-WRONG & partly true kama umeme usipofanyiwa solution ya haraka
Quote:
• In a basket of major foreign currencies traded in Tanzania that includes the dollar, euros, pound sterling, yen etc. the Kenya Shilling is second only to the dollar in terms of daily volumes traded. (Serious Kenyan dealers have no idea what the Tanzanian shilling looks like). Kenya is also the foreign investor that has created the highest number of jobs in Tanzania…
-WRONG kwa sababu biggest Foreign investor in TZ ni WHITE SOUTH AFRICANS na pili serious business pple wouldnt have a problem of knowing a currency they are trading with..typical Kenyans! always arrogant na kujitia ujuaji tu
Quote:
• …And yet there is currently a deliberate (but quiet) policy by President Kikwete’s government to frustrate Kenyan investors and businesspersons operating in the country. Not to mention Tanzania’s stalling tactics at the East African community that is costing tax payers in all 3 East African countries a fortune…
-WRONG but the fact remains WATZ wengi hatujali sana hili suala la ONE SIDED east African community so Kenyans should get a grip na namuunga mkono JK kwa hizi jitihada za kuwabana wakenya na hili lisiishie kwa wakenya tu nadhani ingekuwa nzuri likaendelea kwa SA ili kulinda informal Secrtor TZ amabyo inakua katika SLOW pace after all not everything is for sale and Adam Smith would have agreed with me
Quote:
• There is plenty of evidence to suggest that many investors in Tanzania are dumping the rapidly depreciating Tanzanian shilling in favor of the more stable Kenyan shilling. So which country is more stable, Mr Bush?
-WRONG-With one of the highest levels of corruption in a country like Kenya even an idiot like Bush knows mchele ni upi na PUMBA ni zipi how about Kenyans sorting their problems with WHITE SETTELERS in RIFT VALLEY kabla hawajaanza kuingialia mambo ya watu? how about reading Human rights records toka AMNESTY na HUMAN RIGHTS WATCH?
Quote:
• Experts estimate that Tanzania is about 20 years behind Kenya in terms of development. Those who have visited the country and seen the lazy-yet-know-it-all attitude of the people put the real figure at closer to half a century-with no hope of catching up (especially with the attitude being displayed currently at the EAC).
-WRONG..i am deeply offended with "LAZY YET KNOW IT ALL ATTITUDE" if thats the case why cant Kenyans go to invest in Somalia why do they still invest in TZ? pili sijui report hiyo wameitoa wapi lakini according to UNDP-Human Index Report Tanzanian's are overall better than Kenyans..kwa nini hawajiulizi US haikuwaingiza kwenye AGOA? NA wajiulize kwanini UK imewakatia misaada..simple BAD GOVERNANCE .
Quote:
President Bush must have gotten his geography and facts a little mixed up. Poor guy, it’s been a very taxing 6 years as President of the most powerful nation in the world, especially with Osama breathing down his neck.
WRONG-Another simplistic analysis....well Bush won 4 elections in a row sasa iweje asijue Geography,Dude might looks stupid but surely being a a YALE grad says it all...
Quote:
P.S. To add insult to injury Bush has promised to visit Tanzania soon. My advice to the Bush Presidential party. Do not forget two very important items. Namely plenty of generators to generate your own electricity and an interprator who understands Kiswahili, broken English and proper English.
WHAT AN ASS! Bush can go anywhere and last time he went to Pakistan he never cared about their English after all language is a non -issue in 2006 ...typical Kenyan SLAVE Mentality
Kwa leo ni hayo lakini natumai kuwa wengine wanaweza kuvent humu ndani on these stupid KENYANS
-GT
Last edited by Game Theory; 5th December 2008 at 07:52 PM..
Naona kazi kweli kweli na majirani zetu huko, ingekuwa wao wamefanyiwa hivi nadhani wangelipiza kisasi, lakini waTz tunarekebisha mezani.
Polisi Kenya wamuua Mtanzania
2006-10-12 08:42:32
Na Makubo Haruni, Tarime
Polisi nchini Kenya, wamekiri kuua mkazi wa kijiji cha Mangucha, jirani na Kata ya Nyanungu, wilayani Tarime, Bw. Marwa Chacha Wang’oso na kumteka Bw. Marwa Mwera Kitosikisha na kuwajeruhi watu wawili kwa kuwapiga risasi.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rift Valley nchini humo, Bw. Larry Kiyeng, alisema baada ya mauaji hayo, waliichukua maiti yake na kuitunza Kisii nchini humo.
Aidha, alisema wanatarajia kurudisha maiti na aliyetekwa na kuikabidhi kwa Serikali ya Tanzania.
Kamanda huyo alitoa kauli hiyo, baada ya kumaliza kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama cha Mkoa wa Mara nchini Tanzania, kilichokuwa kikijadili na kuweka muafaka juu ya mauaji hayo sambamba na wizi wa mifugo katika Wilaya ya Tarime na Trans Mara (Kenya), ambacho Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Robert Manumba, alikuwepo.
Kamanda Kiyeng alitoa kauli hiyo baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na kifo cha Mtanzania huyo.
Hata hivyo, Kamanda huyo alidai kuwa Mtanzania huyo aliuawa na mwenzake baada ya kukamatwa na kushikiliwa na polisi nchini Kenya, kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe, ambao hawajulikani walikuwa ni wa nani.
Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Bw. David Saibul, alisema mtu huyo aliuawa kwa kupigwa risasi katika Kijiji cha Mangucha nchini Tanzania na wala si upande wa Kenya kama ilivyodaiwa na Kamanda wa Polisi wa Rift Valley, Bw. Kiyeng.
Katika tukio hilo lililotokea wiki iliyopita, askari wa Kenya wakiwa kwenye magari wa kabila la Wakipsigis, walivamia kijiji cha Mangucha kwa lengo la kupora ng’ombe, lakini wakashindwa kutokana na mapigano ya saa moja kati yao na wakazi wa kijiji hicho waliokuwa wakijibu mashambulizi hayo kwa mishale.
Kufuatia vita hivyo, mtu mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili ambao ni Wantahe Ryoba na Mataro Mwita, wakapigwa risasi mgongoni na mkononi na wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, kwa matibabu.
Baada ya kikao hicho, kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Mara chini ya Mkuu wa Mkoa Isidore Shirima, waliwatembelea na kuwapa pole.
Akitoa taarifa ya majumuisho ya kikao hicho cha pamoja, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Isidore Shirima, alisema wamekubaliana kushirikiana kushughulikia uhalifu ukiwemo wizi wa ng’ombe na mauaji yanayotokea pande zote mipakani mwa nchi hizi mbili ili kudumisha ujirani mwema.
Bw. Shirima alisema makubaliano mengine ni kufanyika kwa vikao vya mara kwa mara vya kuzungumzia matatizo yanayojitokeza mpakani, ikiwa ni pamoja na uzoefu katika biashara, kwa lengo la kukuza uchumi.
Alisema kwamba vikao hivyo vifanywe pia na viongozi wa ngazi za vijiji, kata na tarafa zilizopo mpakani mwa Kenya na Tanzania katika Mkoa wa Mara na Rift Valley.
__________________ "Be not afraid of growing slowly, be only afraid of standing still." Old Chinese Proverb
Mkandara umenena. Ninao wengine hapa inabidi waTz tuwasaidie kusoma dissertation ili kunyoosha lugha, maana hawana uwezo kabisa wa kuandika kiingereza cha ki-academia. Mjinga ni yule asiyejua kuwa yeye ni mjinga!
Enyi watanzania tuache brabra na porojo hata kama wakenya hawatupendi lakini ile katuni ya TZMEDIA kumlamba miguu Kiwete ni fundisho kubwa kwa waandishi wa habari TZ wanaojipendoekeza kwa JK. TZMEDIA wanatuficha ukweli wa mambo ya ubabaishaji yanayotokea serikali yetu. Tupo Gizani, shillingi kila siku inashuka, watoto wetu wananyima udhamini helimu ya JUU na matatizo mengine chungu tele kama kuongezeka kwa idadi ya "wasanii" kutokana na ufinyu wa ajira..Wanaacha kuyatangaza hayo wanakimbilia kumtangaza Kiwete na kauli za vitisho na brabra za Lowasa.
Tuache porojo ni wakati sasa wa kuangalia matatizo ya nchi yetu. Porojo hizi hazitusaidii.
Alles,
Ebu nambie hizo habari ulizozisema wewe hapo juu kuna Mtanzania gani asiyezifahamu?..Hizi sio news kwetu ni hali halisi ambayo JK anatakiwa kuiona. Huko kizani ktk news labda wewe lakini sisi tunafahamu sana matatizo yetu na through hao media tunaweza kuona jinsi serikali hii inavyoyaacha mambo muhimu wanaendekeza Chagua Chako Mapema. Waandishi wetu wanatumia lugha ya kiusanii ili wewe upate kuelewa kwamba JK hana muda na matatizo yako anasifiwa kipwani (kiswahili) kama hufahamu. Sii media ambao wataondoa matatizo yetu isipokuwa ni JK. Wakenya wanzungumzia matatizo yao hadi wanakera na kila nchi inawakimbia. Na sisi tunaanza kushtukia hiyo EAC kjwa sababu hawa jamaa wote wana matatizo makubwa sana na Ukabila wao umeota mizizi. Hivi sasa wapo ktk depression wakisikia JK kazungumza na Bush basi wanachojua ni kusimangwa tu.
Hakuna mtu anaye msujudia JK isipokuwa unachopewa wewe ni vurugu la utwangaji, unachotakiwa ni kuchambua uongozi wa JK upate mchele toka ktk pumba. Wewe Unatazama ni kinu kilichotwanga mchele huu hali hii sii hoja kwetu isipokuwa kwa Wakenya wanaotaka waandishi wetu watumie jiwe la kusaga. Hapa mshikaji utapata unga wa mchele uliochanganyikana na pumba.
__________________
Exploration of reality
Last edited by Mkandara; 15th October 2006 at 06:41 PM..
Wakenya waponea dawa za ukimwi Tanzania
Ni kutokana na kutolewa bure na serikali
Quote:
KUMEKUWA na kasi kubwa ya waathirika wa ukimwi wanaoingia nchini kutoka nchi jirani ya Kenya kwa lengo la kupatiwa huduma ya dawa za kurefusha maisha (ARVs), ambazo hapa nchini zinatolewa bure na serikali.
Inaelezwa kasi ya waathirika hao kuja nchini ni kufuata unafuu wa dawa hizo, kutoka katika vituo mbalimbali vya huduma ya afya vinavyotoa dawa kwa waathirika wa ukimwi mkoani Kilimanjaro.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mtumwa Mwaka mwishoni mwa wiki alizungumzia hali hiyo na kusema ongezeko la waathirika kutoka nchi jirani limeshamiri kwa kasi kwenye hospitali mbalimbali na vituo vya afya mkoani hapa ili nao kuweza kupatiwa huduma hiyo.
Aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa siku moja ambao uliwakutanisha watu wanaoishi na virusi vya ukimwi mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kujadili mbinu za ushiriki wao wa kupambana na ugonjwa huo.
Alisema moja ya sababu zinazosababisha kuwa na ongezeko la wagonjwa hao kutoka Kenya inatokana na serikali ya Tanzania kugharamia dawa hizo na kuzigawa bure kwa waathirika na ukimwi hapa nchini.
Mganga Mkuu aliongeza unafuu huo wa upatikanaji wa dawa hizo bure umekuwa chachu ya ongezeko la waathirika wanaohitaji dawa hizo zinazotolewa hapa nchini bure kwa ufadhili wa serikali.
Hata hivyo, Mganga Mkuu huyo hakueleza tatizo linaloweza kuukabili mpango wa serikali wa kuwapatia waathirika dawa za kurefusha maisha, kutokana na ongezeko la wagonjwa wa ukimwi kutoka Kenya wanaofika nchini kupatiwa dawa hizo.
Katika hatua nyingine, Mganga Mkuu huyo ametoa changamoto kwa wagonjwa wanaoishi na virusi vya ukimwi nchini kuwa wazi na akahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupima ili kujua afya zao.
Mtumwa alisema katika mkakati wa serikali wa kushiriki kwenye mpango wa kupambana na ongezeko la waathirika wa virusi vya ukimwi hapa nchini, Hospitali ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro kupitia Shirika la Axios Foundation kutoka Marekani ziko katika mpango wa utoaji wa dawa za kurefusha maisha kwa wagonjwa wenye virusi vya ukimwi.
Inaelezwa kuwa mkoa wa Kilimanjaro kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa mwaka jana 2005, zaidi ya wagonjwa 17,000 waligundulika kuugua magonjwa ya zinaa kufuatia vipimo vilivyofanywa kwenye vituo kadhaa vya afya mkoani hapa.
Hadi mwaka 2005 mkoa wa Kilimanjaro uliripotiwa kuwa na zaidi ya wagonjwa 169,000 wenye virusi vya ukimwi katika vituo vya afya mkoani hapa, ambapo wilaya ya Hai inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi zaidi.
Takwimu zinaonyesha wanawake wenye umri wa kati ya miaka 25 hadi 34 na wanaume wenye umri wa kati ya miaka 30 hadi 39 ndio walioathirika zaidi.
Je endapo itabainika katuni ya wakenya kumdhalilisha kiongozi wetu, ilikuwa na support toka uongozi wa juu kenya! Tuueleweje huo ushirikiano wa EAC? Tutafika?
................................. :U Can't Change The Nature:
US clears air on JK-Bush talks
ISAYA LWECHUNGURA
Daily News; Thursday,October 26, 2006 @00:08
THE United States has put the record straight on President Jakaya Kikwete's meeting with President George W. Bush last month.
It has also cleared the air regarding Kenya's concern that the Tanzanian leader ''undeservingly'' discussed it (Kenya) during his talks with the American leader.
The US Ambassador to Tanzania, Mr Michael Retzer, explained in Dar es Salaam yesterday that Kenya only featured ''in the realm of a stream of issues on Africa for which President Bush had chosen to consult the Tanzanian leader''.
Mr Michael told the 'Daily News' in the sidelines of a US mid-term elections teleconference that the talks between presidents Bush and Kikwete in Washington were ''never accidental but rather a merit on the latter's ambitious agenda to serve its people.
The talks between the two presidents in the sidelines of the UN General Assembly sparked dissatisfaction in some quarters in the Kenyan government for ''being undeservingly discussed''.
"I was present in the US at the time when the two heads of state held talks. A broad base of issues were discussed with regard to what goes on in Africa as President Kikwete was the only head of state from the continent who was consulted," Mr Retzer pointed out.
He added: "Remember, time is always limited for all presidents, President Bush being one. He was given names of more than 10 heads of state from Africa but out of his own discretion, he honoured your leader (Mr Kikwete) in view of the hope in his government's drive to open up for greater development".
The envoy said that a wide range of issues, including an overview of major economic activities, political development and social changes in a number of countries were discussed, including those of Tanzania's neighbouring countries (he did not single out Kenya).
Another US senior officer, East African Affairs Office Deputy Director, Ms Deborah Malac, hinted that Mr Kikwete's shining star in Washington was never hollow as Washington is 'indeed impressed with his top gear drive to serve his people in a more transparent way.'
Ms Malac said: "We are likely to increase our funding to this country in not a distant future far beyond the 2005/06 figures of 215 million US dollars. Our help will be seen through the budget support and those handed down through civil societies."
Ms Malac foresaw major breakthroughs for Tanzania in the horizon in terms of increased trade and foreign direct investment ''on top of what we already have on the ground.''