| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 698
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hii habari ingenoga sana kama aliye uawa angekuwa ni mgala!
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Wajerumani hawakuanza ubaguzi leo; tangu enzi za Hitler. Lakini hao Nazi people wanapoteza muda wao bure sasa hivi; kwa sababu kuna Waturuki wengi Waislamu ambao wanaishi Ujerumani. Chuki yao itawapa nguvu zaidi Waislamu kuwa united against Nazi. Kazi kwao Nazi peoples..
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
You are right mkuu Wajerumani wana kuaga wabaguzi sana. Bila kusahau Waingereza na Wafaransa.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
na ubaguzi wa wajerumani sio kwa waislamu tu, wakati wa Hitler Wakristo wengi tu waliuwawa
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Oh dear!
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Suala la uvumilivu kati ya jamii ni la msingi saana. Jamii zote katika dunia zinategemeana, hakuna jamii inayoweza kusimama bila kutegemea nyingine. Katika hali ya aina yoyote hakuna mauaji ya kufurahisha aidha yanagusa mtu mmoja mmoja au imani ya kundi fulani. Kwa wale wapenda amani, haki na usawa mara nyingi na zote hawafurahishwi na hukemea yale yote yanayoashiria muelekeo wa machafuko au visasi. Naamini ni fundisho kwa Taifa hilo na si kuhusu waislam pekee bali na jamii nyingine zoote zenye haki ya kuishi
|
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hili jambo ni hatari sana. Lakini tunahitaji kuliangalia jambo hili kwa mapana zaidi. Inaelekea kuna upepo unavuma all over the world juu ya jamii ngeni kuingia katika taifa fulani na wenyeji kuanza kuwa na wasiwasi juu ya uwezekano wa kumezwa na wageni na hata taratibu zao za maisha kuanza kubadilika ili nao wageni watambuliwa kwa taratibu zao.
Nini kinaendelea Ufaransa na hutuba kali ya Rais wa aliyoitoa bungeni juu ya mavazi ya kiislam?? Nini kinaendelea Australia juu ya waislam/waarabu kutakiwa kuheshimu taratibu za Australia na kama hawapendi basi sio mahala pao pa kuishi?? Na haya tena Ujermani! Kuna hofu kuwa nchi ya Uingereza kwa miaka hamsini ijayo kuna hatali majority wakawa Waarabu/Wapakstani/Wahindi na uislam ukatake over culture ya Uingereza nzima>
__________________
nsololi |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwa kweli koti Ugermani wanishangaza kama nimelewa hiyo article vizuri ni kwamba kitendo hicho kilifanyika kotini...??? wat..how come???, kwa kawaida lazima kuenda through security check kabla hujaingia kotini, mi natafsiri kesi kotini ugaibuni na lazima wanicheki kwa makini, nilikuwa na dawa za maumivu kwenye mkoba wangu hiyo pia walichukua na kunihifadhia mpaka nitakapo toka, so kwa kweli its unbeliveable......
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Nachukia sana ubaguzi wa namna yoyote ile.
Nchi za Scandinavia, walimu wa kike wa Kiislamu wanaovaa Kininja wakificha nyuso zao huwa hawapewi kazi za kututana na watu kama vile ualimu, udaktari n.k. Sababu ni kwamba mtu anayehudumia jamii lazima aonekae uso ili watu wasitishike. Nilishangaa sana lkn ndio ukweli halisi. Wao wanahalalisha ubaguzi huu kwa kusema kwamba ukiishi kwa mtu lazima ufuate sheria zake, or else!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:10 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||