| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 232
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tanzania hata wakitangaza mishahara ya nafasi za juu serikalini haisaidii sana. Wale wanao jilimbikizia mali siyo kwamba inatokana na mishahara bali side deals. Utakuta mishahara inayo tangazwa siyo mikubwa kama tunavyo dhani.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kumbuka sasa hivi ukimshutumu mtu kuwa ni mla rushwa ataanza kukuambia,wewe unajua nalipwa kiasi gani hadi nile rushwa ya vijisenti hivyo.Lakini tukijua mapato yake tutamwambia mbona kipato chako hakiendani na matumizi yako MHESHIMIWA
__________________
Problem well stated is a problem halve solved |
|
#4
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Mkuu you are right hapa. Nakubaliana na hoja yako.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 10:34 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||