| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 705
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ndugu yangu mpadmire,
Mimi huwa najiuliza swali sipati jibu sahihi, kwamba sisi waafrika tuna matatizo gani? Je ni laana gani tuliyonayo? Maana hata kama una rasilimali kama ilivyo kwa Tanzania lakini maendeleo hakuna. Iangalie Nigeria na utajiri wao wa mafuta na gesi lakini hali ni mbaya tu. Katika nchi za Kiafrika viongozi wanagombea nafasi ili wakajilimbikizie mali na si kuwasaidia wananchi wao. Ufisadi wa kutisha unaoambatana na mikataba ya kinyonyaji. Ukikuta nchi ya Afrika imeendelea lazima utakuta kuna mkono wa mzungu inatia uchungu sana. Angalia Afrika ya Kusini maendeleo waliyonayo ni kwa sababu ya wazungu na kama wangekuwa tu wazulu wangekuwa na hali mbaya sana. Ukija kwa upande wa Kenya, ni kwamba Kenya Airways inamilikiwa na KLM kwa asilimia 26 pia wako wawezezaji wengine wa ndani na nje. Kwa maana nyingine wana wawekezaji wenye uzoefu mzuri kwenye sekta hiyo. Kumbuka pia kuwa Kenya lilikuwa koloni kwa ajili ya makazi kama ilivyokuwa Zimbabwe kwahiyo wazungu wameweka base kubwa Kenya na hata wamiliki wa mashamaba makubwa yenye rutuba huko ni wazungu, wananchi wa kawaida wanateseka hawana ardhi ya kutosha yenye rutuba. Viwanda vingi pia vinamilikiwa na wazungu wakati kwetu hapa kuna wahindi ambao ni wezi na matapeli wasiotaka hata kulipa kodi na viongozi wetu wanacheka nao tu. Pia international organizations nyingi ziko Kenya yote haya yanachangia maendeleo yao. Bandari ya Mombasa, reli na barabara nzuri pia kwa kiasi kikubwa zianchangiwa na biashara za wazungu huko Kenya. Ni wakati wa viongozi wetu sasa kubadili nia zao na kumrudia MUNGU waache ufisadi waonyeshe uzalendo kwa nchi yao ili taifa letu lipate kupona.
__________________
Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34) |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
ILI TUENDELEE TUNAITAJI VITU VITANO,
1:WATU (WATANZANIA_WAAFRIKA) 2:ARDHI 3: SIASA SAFI 4: UONGOZI BORA na 5: MZUNGU |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Karagebaho |
|
#5
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
kwenye kujali nchi yetu,watanzania tumefulia except Dk.SLAAAAAAAA |
|||||||||||||||
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
sijawahi kuona nchi iliyoendelea kutokana na investments za wahindi ukiacha india yenyewe. Sasa ajabu CCM yetu inakumbatia watu ambao wanahifadi pesa zao canada.....Nadhani CCM na watu wake ni vichaa.....sina hakika
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
hakuna anayesema tujitenge na jirani zetu, nadhani mtoa thread anaonyesha hasira kwamba kama wenzetu wametuzidi kiasi hicho hatutaweza kwenda nao sambamba inabidi tujiandae then twende sawa
|
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kama kweli tunataka kujifunza na kuratibu maendeleo yetu mahali pa kuanzia kujifunza na kujifananisha na kujiona sisi tuko mkiani siyo Kenya.
Wakenya wanajitahidi sana lakini siyo nchi iliyomfano wa kuigwa na Watanzania. Tuna nchi nyingi za dunia ya kwanza ambazo zina mambo mengi tuwezayo kujifunza na kutengeneza utaratibu wetu wenyewe. Wachina walizinguliwa na maendeleo ya 4 Tigers, lakini walipo azimia kubadili mambo walifunza kutoka Dunia ya kwanza. Watanzania tuna hamu moja tu kujaza mapesa mifukoni mwetu kwa kuuza sehemu ya Uhuru wetu na urithi wetu mkuu, Ardhi. Hatuwezi kuendelea kupona njaa kwa kujitafuna viungo vyetu wenyewe. Sisi wananchi hatuna hamu ya kujenga nchi. Viongozi wetu walio sehemu yetu pia hawana hamu ya kjenga nchi. Kila mtu katika umoja wake anadhani akishiba yeye, barbara zitajijenga, uchumi utajipiga fimbo, nidhamu ya kazi itajisimika yenyewe zaidi taifa litasonga mbele bila mawaa.
__________________
Jamii ya Kitanzania itazidi dumu mkiani kwa kuenzi UTEGEMEZI.Maendeleo ya kweli yatakuja Tanzania kwa KUIMARISHA UWEZO WETU WENYEWE na kufuta kabisa tabia ivizayo ya kuOMBAOMBA |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Tanzania pia tunayo reli ambayo tumeiunganisha na Zambia, na kuna wazambia wengi tu na wacongo wanatumia bandari yetu kuagiza magari. reli ya tazara imeeenda hadi kaprimposhi zambia. tatizo ni nini kwani? ni kwasababu hatujaunganisha na uganda kama walivyofanya kenya? au ni ubovu wa reli?
Reli mbovu tz ni reli ya kati, reli ya tazara ni nzuri na inaridhisha at least. kwa habari ya bandari, nakubaliana na wewe, viongozi wetu hawana akili, kichwani wamejaa ukoko. wanachowaza ni kwenda tu kuzindika uchawi wao wa zindiko la taifa kule Lindi, na kuzindika ili waendelee kuwepo madarakani, lakini sio kufanya mambo mazuri ili wa prove kwamba wamefanya kitu katika uongozi wao. hakika muda umefika, watz tunatakiwa kuwaondoa hawa viongozi na ikiwezekana na chama chao kabisa cha ccm. hapo ndo uponyaji wetu, kwasababu tunaumia, tunateseka, hatuendelei, na tunapigwa changa la macho kama watoto. ukiona wamevaa mavazi ya kijani, hadi kwenye damu yao ni damu ya kijani, fikiri wewe ni daktari unamfanyia mtu operation unakutana na damu za kijani?| hahahah utakimbia sana. hivyo ndivyo walivyo viongozi wetu wanaodumisha chama chao. Mungu awasamehe lakini awaondoe madarakani kwa namna yoyote ile hata ya kuwapiga pressure tu. tumechoka kwakweli, na watu mtaani wamechokaaaaa. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Siasa safi( weka upinzani) Uongozi bora( katiba mpya) Mzungu (Masoko)
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:00 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||