| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1559
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Serikali ya Marekani siku zote haioni dhambi zake inaona za wngine. Siku zote hutaka nchi zingine zifuate mfumo wake(kisa cha "Cold War"). Unajua Marekani kupitia CIA huwa wanafanya uchochezi? Kama kura ziliibwa au la hiyo kazi wawaachie wenyewe Iran. Iran ina kiongozi wa kidini ambae ni Ayatollah na huwa ana maamuzi ya mwisho katika kila kitu na yeye kashaa muunga mkono Mahmoud Ahmadinejad. Vyombo vya magharibi viseme vinavyo taka ila jamaa ndiyo wanae tena.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Iran Ayatollah ana nguvu zote. Je una fahamu kwamba kabla mtu hauja gombea uraisi ni lazima upate baraka za Ayatollah? Iran raisi si kitu na wala si muendeshaji mkuu wa maswala ya taifa ni Ayatollah. Kama kweli watu wana tatizo na matokeo pamoja na hao Wamarekani wakumfuata ni Ayatollah ambae ana nguvu za kukubali au kukataa matokeo. Wananchi wa kawaida hawawezi kuinua sauti kumsema Ayatollah na Marekani wanajua madhara ya kumsema Ayatollah. Ayatollah atakua na sababu zake za kumtaka Ahmadinejad aongoze na kama asingemtaka sasa hivi Ahmadinejad angejiandaa tu kuachia ngazi. IN IRAN THE ALL POWERFUL IS THE AYATOLLAH......WHAT AYATOLLAH SAYS IS LAW.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Unafiki tu,
Hivi wanasahau Bush alivyoiba kura kule Frorida 2000??
__________________
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa! Last edited by Mzalendohalisi; 14th June 2009 at 09:44 AM.. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu ilikuwa 2000 dhidi ya Al Gore na siyo 2004.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
__________________
Change begins with YOU ![]() |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
You know this system ina uzuri wake na ubaya wake. Uzuri ni kwamba kwenye system kama hiyo mambo yanaenda haraka na hamna haja ya kukaa muda mrefu bila maamuzi. Kukuwa na important decision Ayatollah ana amua imetoka. Ni kama kwenye nyumba baba ata shauriana na mama but at the end of the day, when it comes down to it baba can end the argument na mambo yana kwisha. Tatizo ni kwamba if all powers rest in one man basi akiwa corrupted there is nothing you can do about it. So i think this only works when the man with power is a great leader la sivyo umuweke JK kuwa Ayatollah mumekwisha. I think in a situation like Iran it comes down to who is the Ayatollah, if he is a wise man than this system works perfectly if not.....
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK. |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
__________________
Change begins with YOU ![]() |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
We already have such a system sema it's not official and the power is not vested in one man per say but in one party. Serikali ni ya CCM, bunge 80% in CCM. Raisi tayari ana nguvu nchi which can not be challenged. Mahakama ambacho kingekua chombo cha kutetea haki za wananchi bila kuogopa viongozi nayo ina influence ya CCM. CCM has all the power in the country and whoever controls CCM is the Ayatollah of Tanzania. Nchi isipo kuwa na checks and balances jua kuna mtu mmoja au kikundi kimoja chenye all the say. Personally nataka system ya checks and balances Tanzania because history has proven us time and time again that we can't trust one man to have all the power in Tanzania.
__________________
"Ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country"-JFK.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:22 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||